Mbowe awakimbia wana habari: Clouds TV wamtafuta bila mafanikio, asemekana kujificha!

Hao Clouds Media ni tawi la CCM kama walivyo gazeti la Uhuru,Tanzanite nk
Mbona hawahoji kuhusu kutolewa fomu moja ya urais?
 
Unaweza kututhibitishia ni lini huyu msukuma mwenzetu wa Magogoni na asiyejua kuongea kiingereza amewahi kushiriki mdahalo hata ulioandaliwa na TBC?
 
Ukiweka mihemko pembeni na kutumia akili zako sawa sawa ndio utapata kuziona rangi halisi za wanasiasa wa nchi hii...,
 
Watanzania wengi ulifanya tafiti? Mimi nina Watanzania 137 wanaonitegemea,sijawahi kuona wala kusikia wakisikiliza hicho kituo cha radio,zaidi ya Efm,EA Radio na Radio One. Ushahidi ninao.
 
Hakuna media inayojikomba kwa Meko kama hii ya Clouds.
Kuna jamaa anaitwa Hassan Ngoma, anajikomba hadi watazamaji wanaona kinyaa.
 
Watanzania wengi ulifanya tafiti? Mimi nina Watanzania 137 wanaonitegemea,sijawahi kuona wala kusikia wakisikiliza hicho kituo cha radio,zaidi ya Efm,EA Radio na Radio One. Ushahidi ninao.
Aisee.. Hili nalo tuanze kubishana?

Haya basi clouds haina wasikilizaji kabisa! Na Mbowe akiitwa kuongea asiende kabisa,!

Nisamehe sana bhana

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Unaweza kututhibitishia ni lini huyu msukuma mwenzetu wa Magogoni na asiyejua kuongea kiingereza amewahi kushiriki mdahalo hata ulioandaliwa na TBC?
Kwahiyo kumbe mchaga Mbowe hana tofauti na huyo msukuma? Basi tuendelee na msukuma

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Unaongopa Rais Magufuli aliongea na Waandishi wa Habari mwanzo kabisa wa utawala wake hadi Pascal Mayalla akamuuliza swali. Acha uongo mkuu!

Bora hata ungekaa kimya, siku ile alikuwa hajibu maswali, bali alikuwa anaanika kiburi cha madaraka. Siku ile wala alikuwa hajibu anachoulizwa, bali alikuwa anaongea anachotaka.
 
Bora hata ungekaa kimya, siku ile alikuwa hajibu maswali, bali alikuwa anaanika kiburi cha madaraka. Siku ile wala alikuwa hajibu anachoulizwa, bali alikuwa anaongea anachotaka.
Sasa mbona ulikuwa unawadanganya wanasaccos wenzio kuwa hajawahi kuongea na waandishi wa habari?? Kawadanganye wanasaccos wenzio huko Ufipa dada!!
 
Mpumbavu kabisa wewe
 
Clouds wangetaka tuwaamini wangemuhoji kwanza Diamond Platnums na kupiga nyimbo zake
 
Sasa mbona ulikuwa unawadanganya wanasaccos wenzio kuwa hajawahi kuongea na waandishi wa habari?? Kawadanganye wanasaccos wenzio huko Ufipa dada!!

Unajua ulichorukia, nimesema sijawahi kumuona kwenye mdahalo. Hao waandishi wa habari ni mara ngapi umemuona akihojiwa hapa nchini? Kama kila mara yuko kwenye vyombo vya habari, kipi kinamfanya awe katika mazingira ya kuhubiri tu kama kasisi kanisani, na sio kuhojiwa?
 
Mbowe ameogopa maswali magumu
Tatizo shule kaka, ataongea nini?
Kaingia mitini
Kaogopa labda watamuuliza ishu ya ulevi wa kupitiliza
Kuna mpango wa kuwasweka ndani viongozi wa CDM wakati huu kabla kampeni hazijaanza ili wasiweze kufanya kampeni. Tayari magazeti kadhaa yamefungiwa ikiwa ni pamoja na Mwanahalisi na Mtanzania Daima kwa lengo la kuua nguvu za upinzani.

Uongozi huu ni dhaifu mno na unajijua na unajaribu kufanya mambo yote kufisha wapinzani. Kinachonishangaza ni hofu kubwa ya uongozi huu kwa watu flani hasa Mbowe na Lissu akija ndio kabisa moto utawaka. Lakini wakimkamata Lissu ndio wamekoleza moto. Ninachofurahia ni ushamba wa uongozi huu. Wanafanya mambo kama wafugaji huko porini bila kutumia akili, wanaua panzi kwa bunduki ndio staili ya jiwe, inahitaji akili kidogo tu kuwaangusha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…