Mbowe awakimbia wana habari: Clouds TV wamtafuta bila mafanikio, asemekana kujificha!

Mtoto wa juzi unajua nini wewe

Mtoto wa juzi? We mtoto wa lini? Umeingia JF 2013 wakati ina miaka 7, Pumba tupu umejaza kwenye ubongo Wacha kukariri. khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Bc wee mgeni na mbowe..ahojiwe mara ngapi mkuu?? Amehojiwa kwa kimombo hd akina bia yng wakanyosha mikono juu na vituo vya nje..amekuwa akihojiwa Sana tu..naona kaamua kuwapotezea tu hao wanafki
 
Mbowe K-vant hana uwezo wa kujibu maswali ya weredi ya Hassan ngoma.
 
Kasome kitabu cha Moses Cerullo kinaitwa Choosen worrier alivyokuja TZ 70’s na akaambiwa hii nchi ya kipagani utaogopa
Kasome wewe mimi kinanihusu nini? Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Bc wee mgeni na mbowe..ahojiwe mara ngapi mkuu?? Amehojiwa kwa kimombo hd akina bia yng wakanyosha mikono juu na vituo vya nje..amekuwa akihojiwa Sana tu..naona kaamua kuwapotezea tu hao wanafki

Mkuu nimesema sijawahi kumuona kwenye mdahalo. Hilo la kuhojiwa hapaswi kulikwepa, labda kuwe na sababu msingi sana.
 
Hahaha...msakeni popote alipo ili mumpatie haki yake ya kubalance story, huyo ndo kiongozi wa walilia haki nchini haiwezekani aikwepe/aikimbie haki.
 
Clouds wako kishoga sana
Tatizo mnapenda kusikia mnachokitaka nyinyi, hivi nyie mkipewa dola si ni hatari sana!? mwandishi wa habari anatimiza wajibu wake, Mbowe ajitokeze asikimbie waandishi wa habari, wameshahoji upande mmoja hivyo ili kubalance story lazima na Mbowe ahojiwe ili asilalamike kutokutendewa haki.
 
Yesu lini amewahi kuhojiwa?unakumbuka alivyowadharirisha kule UGANDA?[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…