Mbowe awakimbia wana habari: Clouds TV wamtafuta bila mafanikio, asemekana kujificha!

Nasubiri siku jiwe akihojiwa na BBC kwa kiingereza kama ilivyokuwa Mbowe. Piga ua garagaza, haitatokea.
 
Clouds hawa ambao wapo sensored na gvt waweze kumhoji kiongozi wa upinzani. Hiyo TV itazimwa siku hiyo hiyo.

Hatuna media zenye uthubutu huo kwa sasa.
 
Ni kweli, sasa hivi anakwama wapi? Maana hiyo ni miaka 15 iliyopita.

Hebu acha na tuondolee Upumbavu wako hapa. Huyo wa CCM wako unayemtetea hapa mbona hapendi na ni Mwoga sana wa Midahalo? Hovyo!!!!
 
Mtia nia wa Urais serious hawezi kuacha mahojiano na chombo chochote cha habari labda kama kuna uongo ndani yake

Cloudstv 360 na BBC ni Chombo kipi labda Kwako Wewe si tu Kinaheshimika bali Kinaaminika na Kukubalika? Je, Mbowe hahojiwi sana na BBC?
 
Hili ni kweli, na hata wakiwahoji wapinzani wanawawekea mazingira ya kutokufunguka watakavyo.

Sasa kumbe Majibu mazuri unayo na ulikuwa nayo ilikuwaje ukawa unamuona Mheshimiwa Mbowe anaogopa Kuhojiwa na Wapuuzi hao wa CMG?
 
Namjua vizuri mbowe kuliko wewe unae mkariri Ni kweli hajaanza pombe Leo toka Ila hakuwa mlevi wa kupitiliza Kama alivyo Sasa,kwa Sasa sio mnywaji tu Ni chapombe

Sema tu kuwa unamfahamu kwani ukisema unamjua kwa Waswahili wa Pwani na tuliozaliwa na Kubobea Pwani tunaelewa kuwa ameshakupakua.
 

Naunga mkono hoja, kiongozi wa umma anawajibika kwa jamii. Hii issue yake ya kuumizwa mara kuanguka imejaa ukungu mwingi hivyo anawajibika kutoka kwa umma kueleza nini hasa kilitokea na ajibu hoja mbalimbali. Kama hawaamini hao 360 basi aombe inteview AZAM na nguli wa kuhoji TIDO MHANDO.
 
Tatizo Clouds walikosea kukutuma wewe Hassaan (Msaidizi wa pole pole) wakimtaka Mbowe labda aarikwe na wenye akili kidogo wale vijana wa Clouds Plus na sio nyie 360 manaotafuta ukurungenzi mwaka wa tatu leo chali...
 
Mbowe K-vant hana uwezo wa kujibu maswali ya weredi ya Hassan ngoma.

Kiswahili chenyewe tu Kukiandika vyema Kinakushinda unaacha Kuandika neno sahihi Weledi unatuandika lako la Kipuuzi la Weredi. Tupishe tu!!!
 

Clouds wasipomtafuta itaonekana ya upande mmoja

Mbowe anawapigania raia aliotaka kuwa lockdown na wakampotezea?

Una haki ya kuichukia ccm na JPM na unaruhusiwa kabisa

Ila usichukie ccm na JPM kwa kujaribu kuisifia CDM na Mbowe unajidhalilisha
 
Nasubiri siku jiwe akihojiwa na BBC kwa kiingereza kama ilivyokuwa Mbowe. Piga ua garagaza, haitatokea.

Na huyo Mtangazaji wa BBC akishamaliza tu Kumhoji ahakikishe haji na hana Safari yoyote ya kuja Tanzania kwani najua tu yatamkuta Makubwa.
 
Clouds hawa ambao wapo sensored na gvt waweze kumhoji kiongozi wa upinzani. Hiyo TV itazimwa siku hiyo hiyo.

Hatuna media zenye uthubutu huo kwa sasa.

Waingereza hawana neno lako hili la Sensored bali wana neno lao sahihi la Censored Ndugu. Kwani ungesema Wanadhibitiwa tusingekuelewa tu?
 
Tatizo Clouds walikosea kukutuma wewe Hassaan (Msaidizi wa pole pole) wakimtaka Mbowe labda aarikwe na wenye akili kidogo wale vijana wa Clouds Plus na sio nyie 360 manaotafuta ukurungenzi mwaka wa tatu leo chali...

Umechangia vizuri sana Ndugu ila ulipoharibu ni sehemu moja tu. Waswahili hatuna neno lako la aarikwe bali tuna neno sahihi la aalikwe sawa?
 
huko ni kuwanyima wananchi fursa ya kupata habari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…