Mbowe awakimbia wana habari: Clouds TV wamtafuta bila mafanikio, asemekana kujificha!

huko ni kuwanyima wananchi fursa ya kupata habari.

Umeambiwa kuwa hao Wananchi wako huwa wanatizama mno Cloudstv 360 yako? Hivi Wananchi wengi Kitakwimu wanatizama Cloudstv au TBC?
 
Umeambiwa kuwa hao Wananchi wako huwa wanatizama mno Cloudstv 360 yako? Hivi Wananchi wengi Kitakwimu wanatizama Cloudstv au TBC?
Kila chombo cha habari kina wateja wake ambao wanamitizamo mbali mbali Mbowe kukataa mahojiano na Clouds amewanyima hata wanachama wake wapenzi wa clouds kupata habari
 
Kila chombo cha habari kina wateja wake ambao wanamitizamo mbali mbali Mbowe kukataa mahojiano na Clouds amewanyima hata wanachama wake wapenzi wa clouds kupata habari

Hivi Wanachama wenye Akili tena wa CHADEMA na hata Wapenzi wake Mbowe wana muda Mchafu huo wa Kuitizama hiyo Cloudstv yako Ndugu?
 
Chunga adabu yako wewe, anaeteseka niyeye sio wananchi (mimi nikiwemo). Kwaiyo mwache apambane na hali yake. Usituingize sisi
 
Sasa kumbe Majibu mazuri unayo na ulikuwa nayo ilikuwaje ukawa unamuona Mheshimiwa Mbowe anaogopa Kuhojiwa na Wapuuzi hao wa CMG?

Mkuu acha kupanick, nimesema kushiriki midahalo. Mimi sio muumini wa kiongozi kukwepa kuhojiwa na vyombo vya habari. Awe Mbowe, Magufuli au mwingine yoyote yule. Kukwepa kuhojiwa ni utamaduni mbaya. Imani yangu hii ni kosa langu, sio kosa lako.
 
https://www.facebook.com/
 
Mtia nia wa Urais serious hawezi kuacha mahojiano na chombo chochote cha habari labda kama kuna uongo ndani yake
Wewe hata ufanyeje huko CCM hawawezi kukupa kazi kwa rekodi yako ya wizi ulipokuwa Chadema. Jikite tu kwenye biashara yako ya mama lishe na bar bubu
 
Mbona alikubali kuhojiwa na BBC? Clouds wako hostile na wangemuuliza maswali ya kijinga ndiyo maana amewapotezea. Kama wana weledi kweli wangekwenda kuhoji habari za Mbowe kwenye kijiwe cha bodaboada huo si ndiyo ushoga wenyewe tunaosema?
 
Mara ya mwisho nilini Nchi hii imekuwa na mrahalo
 
Sema tu kuwa unamfahamu kwani ukisema unamjua kwa Waswahili wa Pwani na tuliozaliwa na Kubobea Pwani tunaelewa kuwa ameshakupakua.
Ukiona hivyo ujue tayari maana kinywa cha mtu husema yaujazayo moyo wake. Si unajua huko Lumumba kina Nabii Tito wako wengi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…