#COVID19 Mbowe awataka wananchi wasihudhurie msiba wa Kaka yake kuepuka maambukizi ya COVID-19

Mbowe ana busara sana!
Mkuu kwa nini anafanya mikutano ya ndani na watu wamekusanyika wakati huo huo anawakataza watu wasije kwenye mkusanyiko wa msiba wake ?

Nauliza hivi ikiwa kama kweli amesema hayo kama hajasema nabatilisha maswali
 
Bado sijaelewa

Pole Mh. Mbowe Kwa Msiba .
 
Je samia aliyewakusanya watu kuaambia wasikusanyike?
 
Mbowe hakuona umuhimu kuijumuisha familia kwenye chanjo aliyopewa
 
Kama umepagawa hivi kuanzia paragraph ya pili 🤣🤣

Hebu leo kuwa muwazi hapa utueleze huenda utapata relief kwenye nafsi yako,
Hivi ulivyokua Bavicha na kina Ben saaanane na Mtela mla ugoro nk, ni kitu gani Mbowe alichokutenda mpaka umeshindwa kumsamehe mpaka leo kimekukaba kwenye shingo huli hulali unamuwaza Mbowe tu kuliko hata unavyowawaza kina baba wa watoto wako ?
 
Sijui kaka una uwezo hata wa kujielewa? Unachanganya mambo mengi yasiyo na kichwa wala miguu!!
 
Mbowe anataka katiba ifuatwe sio lazima akusanye watu

Mbowe anashida na kukusanya watu ila tamko la serikali kuzuia mikusanyiko liseme wazi sababu ni corona na wazuie pote

Daladala
Panton
Makanisani
Misikitini
Sokoni
Baa

Tuone kama wataweza au ni usanini ?
 
Mkuu Wakudadavua nafikiri una kitu fulani binafsi na Mbowe. Ama unamhusudu mno ijapokuwa aliwahi kukuumiza kihisia, ama la sivyo una mpenda kwa kificho cha "sitaki nataka" ili uweze kusikilizia mapigo. Maana, mhh! Si bure.
anatakiwa amshukuru sana maaana alimsaidia kupata unaibu waziri aawamu iliyopita akaishia kugombana na wasanii labda hasira zake ni jinsi alivyoweza dhibitiwa mapinduzi mwaka ule 2013
 
 

Attachments

  • IMG_3745.MP4
    4.6 MB
Familia ya mbowe imepata chanjo, hao wengine nao wamepata chanjo? mpuuzi mkubwa wewe
Sawa umemjibu vzr huyo mpuuzi.
Swali lingine ni hili.
Hao wanaoenda kwenye mikutano ya Mbowe ya hadhara wana chanjo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…