Marehemu kaka yake Corona aiitoa wapi kama sio ndani ya familia?Ulimpima wewe ukajua kuwa ana korona? Wewe ni mke wake?
Mtu akitoka kuzika mwenye Corona inabidi aogopwe kuliko Corona aweza ambukiza na kuua ukoo mzima na kongamano lote LA ChademaUlimpima wewe ukajua kuwa ana korona? Wewe ni mke wake?
Ametoka Kenya Karibuni kwenye Corona aweza kuwa kaambukiza kaka yakeMwanaye alikuwa na Korona mwanzoni mwa 2020 iweje Korona iwe active hadi June 2021?
Yeye Mbowe asiumwe Korona ila awe na uwezo wa kuambukiza wengine tu.?
Mleta mada tafuta hata mume msafisha vidonda awe anakueleza namna haya magonjwa yanavyoambuliza..!!
Asimwambukize mke wake wanayelala naye kitamda kimoja amuambukize kaka yake?Ametoka Kenya Karibuni kwenye Corona aweza kuwa kaambukiza kaka yake
Mbowe ni great msanii, kama hufahamu kinachoendelea kwenye akili ya mbowe unaweza dhani ni mtu makini sana.Hakutakiwa asubiri mtu amtake aji Lock down
Kama mtu responsible kwenye jamii yeye mwenyewe alitakiwa kuchukua hiyo hatua bila mtu kumwambia
Kama hataki niwatake watu wakae naye mbali bomu hilo
Anao wengi unaongelea yup? Umewaulizia wote hali zao?Asimwambukize mke wake wanayelala naye kitamda kimoja amuambukize kaka yake?
Asimwambukize dereva wake aliyempokea airport amwambukize kaka yake?
Tumia akili aisee sio unaleta ushabiki maandazi.!!
.kama anawashwa basi wewe unakwanguliwa.
mbona haya mambo yakija kwa ule upande mnabadili story fasta!!!
O said itMmetumia Polisi imeshindikana,hili la korona ndo kabisa mnaaibika mapema, UVCCM hakuna wenye akili za kujenga hoja
Alikuwa nae karibu kwani ni mke wake? Wale waliokwenda kwenye mazishi chattle mliwapiga karantini?Marehemu kaka yake Corona aiitoa wapi kama sio ndani ya familia?
Mtu akitoka kuzika mwenye Corona inabidi aogopwe kuliko Corona aweza ambukiza na kuua ukoo mzima na kongamano lote LA Chadema
Yeyote aliyekuwa karibu naye huko kwenye ukoo au kongamano akiona dalili za Corona awahi kupima na tiba na ajue alikoitoa
Magufuli hakufa kwa Corona ndio maana haikutangazwa Mbowe alitangaza kwa kinywa chake kuwa mwanawe anaumwa Corona na kaka yake kafa kwa Corona Ina maana Corona imepiga kambi nyumbani na kwenye ukoo wa Mbowe nimekuonya ukiwa karibu naye ikikudaka usiseme hukuonywa utajijuaAlikuwa nae karibu kwani ni mke wake? Wale waliokwenda kwenye mazishi chattle mliwapiga karantini?
Wewe mmoja wapo.!Anao wengi unaongelea yup? Umewaulizia wote hali zao?