Mbowe: Bunge likipitisha Mkataba wa DP World, tutaamsha Nchi nzima

Wewe ndo wale wale, hupaswi kuongea hapa!
 
Ingia mvunguni mwa kitanda kabisa ujifiche! Jinga wee! Nchi inauzwa wewe bado unaongea ujinga ujinga tu!
Kaandamane wewe, mi sitaandamana mana sifaidiki na kitu.
Nitaandamana siku mtoto au wadogo au wazazi wangu wakiuliwa, nitaandamana mwenyewe.

Nitaandamana pale tutapovamiwa kivita.
 
Hili la bandari mnasema hatuwezi chochote, lakini siku za nyuma hapa mlikua mnasifia kila kitu iinaenda vizuri, Hadi tunavunja rekodi
 
Naiona Tanzania ikielekea kwenye mgogoro mkubwa kama Ukraine ilivyooanza....

Viongozi acheni kiburi na kuamini kuwa maamuzi yenu ni sahihi sana kuliko mnaowaongoza, hii nchi ni mali ya wananchi wote waliowawekeni madarakani...

Wote hatuwezi kuwa viongozi, lakini haina maana kuwa sisi wananchi hatujui baya na zuri, Tumieni hekima na busara kuepusha machafuko.

Namaste 🙏
 
Huyu akizeeka atakuwa mchawi
 
Ni kweli kabisa, viongozi waliopo wanatakiwa kufungwa miaka mingi sana gerezani.
 
huyu mbowe ana maslahi yake hapo bandari hana lolote jambazi tuu.
 
Sa100 must go!!!!

Aondolewe Kinga ashtakiwe Kwa kuvunja Katiba ya nchi.
 
Watanzania hatuwezi kuandamana Kwa vitu vya kipumbavu kama hivi, mama ziba masikio baadae watakuelewa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…