Ikipita naubunge nisugu mwambieniMimi nawashangaa watanzania wanaopiga kelele eti kutetea masilahi ya taifa, hivi kuna anayejua maslahi ya taifa kuliko serikali? Ufisadi Meremeta, kagoda, deep greem, Tangold, Kiwila na IPTL zote walipiga kelele nini kilibadilika?View attachment 2649805
“Bandari yetu ipo Salama kutoweka kikomo cha uhinafsishaji haimaanishi ni muda mrefu” Spika wa BUNGE
Msukuma kaungana nao Kila kitu anapigania sana kipitishweMsukuma aliwatetea sana hawa DP world
Alichukua namba kwa ka dada kadogoo huko Dubai wahuni walimtegeshea yeye hakujua mpaka anakuja kuongea Bungeni tuna Bunge la watu wasioweza kufanya lolote kwenye Nchi hii ni kama picha tu.Msukuma aliwatetea sana hawa DP world
Na siku hiyo nitatupa kadi ya ccm na kununua kadi ya CHADEMA.Sasa huyu ndiye mwenyekiti ninae mjua
Wahuni wanatafuta chaka lingine la kuiba sio mwisho hapo wakimaliza watabinafsisha hadi bara bara...Sasa huu ndio mwisho wao.
Kenya wanavimba ila upuuzi afanyiki ,usituurumie mtuwacha tupiganie taifa ,ges daa Tena bandariItasaidia nini kuandamana mkuu wakati ushavamiwa? Na pengine ushapoteza wapendwa wako” ngoja tuone hili lina kwendaje
Anawaachaje? Subiri kesho uoneSpika atuachie hapo
Ashasema Jimbo linagawanywaaaIkipita naubunge nisugu mwambieni
Kenya wanavimba ila upuuzi afanyiki ,usituurumie mtuwacha tupiganie taifa ,ges daa Tena bandari
Mbowe Pombe zinamchanganyaLissu yeye kawa kimya kaona isiwe kesi kuliko kuropoka usivyo vijua.
Yeye angesubiri wakae kama chama, watafute wavujisha siri wao, waujue ukweli wote, wajue upande wa serikali umejipangaje kisha ndiyo waje na ukweli
Maana lile swala ni mtu unasema tu, tushirikishwe tuuuone huo mkataba, afu Mbowe ana namba ya Rais kwanini asingepiga kujua ukweli kabla ya kuropokaMbowe Pombe zinamchanganya
Miaka 100 inawahusu wazazi, watoto. wajukuu nk. au hujui!Kaandamane wewe, mi sitaandamana mana sifaidiki na kitu.
Nitaandamana siku mtoto au wadogo au wazazi wangu wakiuliwa, nitaandamana mwenyewe.
Nitaandamana pale tutapovamiwa kivita.
Good Mbowe ni kaimu baba wa Taifa kwa sasaMwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe ameitaka Serikali kuondoa Mkataba huo kwenye majadiliano Bungeni kwasababu unakwenda kuiingiza Nchi kwenye migogoro usio na faida.
Pia, amewataka Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Bandari, Plasduce Mikeli Mbossa kujitafakari kama wana hadi ya kuendelea kubaki kwenye ofisi za Umma kutokana na kuiingiza Nchi kwenye Mkataba huo.
Aidha, amesema ifike wakati sasa badala ya kutoa Kinga kwa Viongozi, wengine waanze kushtakiwa kwa makosa wanayofanya kwa kutumia Mamlaka yao vibaya na kuiingiza Nchi katika mikataba ya ovyo.
Yule anawaza maslahi yake binafsimsukuma kashapata bahasha ndo maana anaongea hadi analia... bahashaaaaaaa 😀 😀 😀
Huyu bibi ni mtu wa hovyo kabisa, nchi haijawahi kuwa na Spika wa hovyo kama huyu ajuzaMimi nawashangaa watanzania wanaopiga kelele eti kutetea masilahi ya taifa, hivi kuna anayejua maslahi ya taifa kuliko serikali? Ufisadi Meremeta, kagoda, deep greem, Tangold, Kiwila na IPTL zote walipiga kelele nini kilibadilika?View attachment 2649805
“Bandari yetu ipo Salama kutoweka kikomo cha uhinafsishaji haimaanishi ni muda mrefu” Spika wa BUNGE
Wanapewa rushwa huko wanauza nchi yetuWamewachukulia Watanzania wajinga kabisa kila kukicha mikataba ya hovyo hovyo..
Ukisubiri ukombolewe na Waarabu utabaki hivyo hivyo mtu mwenye akili timamu hujikomboa mwenyewe.Sitaki kukombolewa niishi kwenye kwenye umasikini wa kujitakia kuishi kwenye jamii inayoabudu wizi na uzembe na uchawi.