kashakambajile
JF-Expert Member
- Sep 18, 2020
- 219
- 214
Katiba siyo ya ccm ni ya wananchi,wanachodhania si sahihi hata kidogoSasa ngoja nikupime na haya mawazo yako hapa:
Unaonaje ikiwa "motive" ya CCM wakikataa katiba mpya ili isiwaondoe madarakani?
Naona upande huo hukuusemea; pamoja na kwamba maelezo yako juu ya "HAKI" ya wananchi ni sahihi.
Lakini chadema ndiyo walitoka nje kwenye bunge la wananchiKatiba siyo ya ccm ni ya wananchi,wanachodhania si sahihi hata kidogo
Lakini Rais jkikwete ndiye aliyekubaliana na wananchi kupitia cdm iandikwe katiba mpya;hapo vpLakini chadema ndiyo walitoka nje kwenye bunge la wananchi
Mbowe, Lema , Msigwa ,Lisu wamekuwa wabunge kwa tume hii hiiKushiriki uchaguzi kwa tume hii yataka moyo, yaani mechi ya Simba na yanga,refa atoke Simba au yanga, haahaa
Imeisha hiyo mkuuMkuu sio kazi ndogo.
Inatakiwa chadema ijitambue haswaaa.
Mpaka sasa hivi tunaenda wote pamoja-
.
Wananchi wanaangalia kila move inayofanywa na cdm.
Mkibugi tu sijui mchukue ruzuku za wale covid sjui muwasamehe muwakubali ni wabunge wenu.
Then mkirudi kwa wananchi mtaambulia unyoya tu.
Mbowa asimame kama alivyo sasa hivi
Naona kimekuumaHuyu jamaa anaua upinzani, yaani jana tu katoka kusema anamuunga mkono mama then leo tena hawatashiriki uchaguzi. Chadema mwangalieni huyu mwenyekiti.
Una matatizo ya akili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbowe ana wahadaa wafuasi wake wasiojielewa
Kwa hiyo unakubaliana na hoja kwamba ni jukumu la wananchi kuhakikisha kwamba panakuwepo na katiba mpya?Katiba siyo ya ccm ni ya wananchi,wanachodhania si sahihi hata kidogo
Chadema warudishe kwanza hela walizokula kwenye bunge la katiba alafu mwishoni wakatoka njeKwa hiyo unakubaliana na hoja kwamba ni jukumu la wananchi kuhakikisha kwamba panakuwepo na katiba mpya?
Kama hivyo ndivyo, wanachofanya CHADEMA ni kuwaunganisha wananchi ili wadai 'HAKI' yao ya kuwepo katiba mpya, wazo ambalo CCM hawaliafiki kwa sababu hizo hizo za 'motive', ulizowalaumu nazo CHADEMA.
CCM wana maslahi (vested interest) na katiba iliyopo, kwa hiyo hawawezi kuwahimiza wananchi wajipange kudai katiba mpya.
Kwa hiyo, kazi ya kuhimiza na kuwapanga wananchi wadai haki yao ni ya CHADEMA, bila kujali "motive" (msukumo) unaodai waache kuutegemea; yaani wa kuiondoa CCM toka madarakani.
That's how convoluted it can be seen to be.
We JAMAA NDIO NIMEJUA LEO HUNA AKILI HATA MOJA...Kenya kila siku wanabadilisha katiba utafikiri wananchi wanashiba katiba
Mbona sikuandika lolote juu ya hilo unalosemea hapa mkuu; vipi?Chadema warudishe kwanza hela walizokula kwenye bunge la katiba alafu mwishoni wakatoka nje
Hiyo inawahusu vipi wananchi na katiba mpya?Chadema warudishe kwanza hela walizokula kwenye bunge la katiba alafu mwishoni wakatoka nje
Kweli hunatofauti na jina lako🤣🤣🤣🤣🤣Huyu jamaa anaua upinzani, yaani jana tu katoka kusema anamuunga mkono mama then leo tena hawatashiriki uchaguzi. Chadema mwangalieni huyu mwenyekiti.
Katiba ni kwa manufaa ya Mbowe na genge lakeHapa ndiyo tutaona umuhimu wa upinzani. Upinzani unapoipa kashi kashi serikali, basi serikali inatafuta mlango wa kutokea ambapo wananchi hunufaika au kupata hasara. Ila kwa utawala wa mama, kashi kashi za wapinzani kwa serikali zitawanufaisha wananchi.
Nachomaanisha, kwa vyovyote vile, mama President + CCM hawawezi kuruhusu katiba mpya. Hivyo, mama atakachokifanya ni kukimbilia kwa wananchi na kuwatimizia yale wanayoyataka ili wawaunge mkono CCM. Na kwa kuwa Watanzania huwa tunangalia matumbo yetu bila kuangalia future, basi mama ataongeza mishahara, atapunguza kodi, atatoa ajira, na mambo mengine mazuri. Hii itaisaidia CCM kwa sababu wananchi hawatawasikiliza sana wapinzani. Wananchi wanajali Ugali wao!
Nakuona pimbi tuNyumbu amka