Mbowe: CHADEMA tunaamini kwamba umaskini ni laana na kila mwanachadema ni tajiri rohoni mwake

Wajinga ndo wanamshangilia mtu wa aina hiyo. Mbowe anakula hela zote za chama halafu anawakoga eti umaskini bhla! bhla! Foolish CHADEMA!
Kwenu chichiem umasikin ni mtaji

Sent using tecno tochi
 
Kwenu chichiem umasikin ni mtaji

Sent using tecno tochi
Sikiliza, Kuna wakati sielewi kama naweza kusikiliza hotuba ya mtu ambaye hajapitia chuo chochote cha maana na alikuwa anaendesha casino. Hawezi kuwa na akili ya kunitakia mema hata siku moja. Yeye ni mtu wa dili kama alivyoishi kwa miaka yote ya ujana.
 
..Umasikini ni laana ambayo tumeipata kupitia CCM.
 
Mtoa maada una matatizo! Hivi huko kwenu umaskini ni Baraka? Hii ni forum ya GT hustahili kuwemo humu!

Au wazazi na ukoo wako walikufundisha otherwise kuwa umaskini ni baraka!!!
 
Yesu sio mungu wewe acha kupotosha.. Af mada hapa sio dini .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
johnthebaptist, Kwa ruzuku wanayopata na michango ya nguvu kutoka kwa wabunge, CHADEMA ingekuwa na ofisi na ukumbi wa mikutano yao wa mifano. Hela yote inatafunwa na anayechukia umaskini akiwaacha wenzake kwenye dimbwi la umaskini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale wale, kwanini mnawakimbia watu wenye akili zao na kwenda kijijini wasiko jitambua? Ndiyo mana jiwe huwa anasema yeye ni Raisi wa wanyonge kwani anajua wenye utimamu watamgalagaza haraka sana. Naamini hata wewe ni mnyonge pia. Omulasil,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…