Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Yesu alijinyenyekeza kwa jamii ili upendo alioufundisha uweze kueleweka vyema.Kukusaidia tu Yesu alilisha maelfu bure .Lofa hawezi kulisha watu maelfu Kama Yesu alivyofanya.Anayekuambia Yesu alikuwa maskini mwongo mkubwa
Inamuuma coz analipa kodi ambazo zinachangia RUZUKUWe inakuumaaaa nini!!!
Ova
Hahahaaa........ Hizi ni dharau sasa!Matajiri gani wakati ndo chama pekee kinacholialia wanachama wake kuchuuzwa kama maparachichi?
Hapo sasa umejibu hoja ?naona CDM inawapiga mashangazi zenu pande zote! hahahaaaaaaaaaaaaaaa!
Hahaha DJ mjanja sanaDJ izo ndizo sehemu anapo wapigia Nyumbu, baadae anawaambia Chama kilikua hakina fedha nikatoa pesa zangu za mfukoni. Ndiomaana hakuna mwaka utapita bila Chadema kudaiwa ba DJ. Kwa mkutano kama uo ana uhakika wa kula ruzuku ya kutosha kwa kisingizio cha matumizi ya mkutano.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mleta mada una hoja ya msingi, lakini ukumbuke hao unaowauliza hayo ,wanaulizwa swali moja tu, "kwa nini hawajengi angalau ofisi moja tu ya makao makuu tokea miaka ya 2000 had I sasa" na swali hilo halijawahi kuwa na jibu, kwa nini udhani wanastahili kuulizwa maswali zaidi yeye muelekeo huo huo? Huoni no kuwatwishwa mzigo wasiostahili?
Utajiri wa mwili huanzia katika roho, fikra na mamlaka. Yesu hakuwa na haja ya kutembea na utajiri wa mwili ili aonekane ni tajiri. Utajiri wake ulikuwa katika mamlaka yake ya Kimungu.Ni kweli mimi siyo Mwanatheolijia, lkn mbona kama unanichanganya? Upande mmoja unaongelea utajiri wa rohoni hapo hapo unasema alikuwa tajiri wa mali na kulisha watu 5000, sasa kipi ni kipi? Au alikuwa vyote tajiri wa roho na mali? Na kama alikuwa na Mali Yesu aliitoa wapi?
Hahahaaa........ Mbwiga mmeufyata na matambara yenu!Mkuu..awamu hii imetuletea wehu wa kila aina..
CHADEMA kufanyia Mkutano pale Mlimani City kuna watu wamepata ulcers kama huyu mbwiga mleta uzi.
Utajiri wa roho!Hhahahahahaa lile jengo la makao makuu linaashiria nini?
Mkuu huko sahihi. (Luka 2:7 akamzaa mwanawe,kifungua mimba,akamvika nguo za kitoto,akamlaza katika hori ya kulia ng'ombe,kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni.)Alizaliwa Holi la ngombe sio kwa sababu pesa walikuwa hawana Bali nyumba ya wageni ilikuwa imejaa .Kasome Biblia Tena sababu ya Yesu kuzaliwa holini haikuwa sababu ya kuwa wazazi wake walikuwa maskini
Na majengo ya makwao kule Machame yanaashiria vyote,utajiri wa roho na wa mwilini pia.Utajiri wa roho!