Mbowe: CHADEMA tunaamini kwamba umaskini ni laana na kila mwanachadema ni tajiri rohoni mwake

Mbowe: CHADEMA tunaamini kwamba umaskini ni laana na kila mwanachadema ni tajiri rohoni mwake

Hata jiwe ni mkatili kwa kauli mbovu juu ya wananchi. Kumbuka tetemeko lilitokea mwakajuzi, kuombwa na wananchi wapatiwe maji kikijijini kwao alijibu nini sikiliza vizur ujue.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wewe hujijui kama ni maskini au tajiri mpaka uambiwe na hawa wana si-hasa???
Kazi IPO jiongeze ila usijimwambafy tu
 
Yaani nchi hii kuna maskini?
Hii nchi ni matajiri
Watanzania sisi ni matajiri
JPM OYEEEE
 
Chichiem wametutia laana ya umasikini watz

Sent using tecno tochi
 
Wewe una smatfoni unataka kujifananisha na wengine wanaougulia maumivu ya njaa ya tumboni?

Unafiki na umbea waachie dada zako mkuu kwa mwanaume hyo ni laana! senzighe,
 
Anajiona ni tajiri kwa kuwa anakula ruzuku na genge lake. Naamini 2020 hao masikini anaosema wamelaaniwa watamnyoosha kwenye sanduku la kura!
Vipi huyu ni tajiri?
FB_IMG_1547981683352.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chichiem wametuletea laana ya umasikin kwa zaid ya miaka 50

Sent using tecno tochi
 
senzighe,
Ni kweli kabisa.Laana hii Kubwa imeletwa na CCM. CCM ni chama pekee kilichotawala nchi,kimehusika ktk mambo mengi ya aibu kama :-

(1) kuingia mikataba mibovu ya kuuza rasilimali za nchi (madini,gesi,wanyama nk)
(2) kuwafanya Watanzania maskini kwa kuwapa elimu duni
(3)Na mambo mengine mengi yanayo fanana na hayo.
Lakini Sahizi wameenda zaidi yaani kutugawa Watanzania kwa itikadi mbali mbali.ifike sehemu muone aibu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
senzighe,
Wajinga ndo wanamshangilia mtu wa aina hiyo. Mbowe anakula hela zote za chama halafu anawakoga eti umaskini bhla! bhla! Foolish CHADEMA!
 
Back
Top Bottom