Mbowe hakuwahi kwenda hata mara moja kumjulia hali Mwenyekiti wake Lissu ila ameenda Zanzibar kumpa pole Samia , hii imekaaje?

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,968
Reaction score
36,044
Nimesikitika kuona mbowe kutokwenda kumjulia hali mwenyekiti wake licha ya kusota rumande kwa muda mrefu na pia hajawahi kwenda au kusema lolote hata kwa bahati mbaya kumtia nguvu mwenyekiti wake ila cha ajabu amesafiri mpaka zanzibari kumpa pole samia .

Hii imekaaje?

Je mbona samia hakutuma salamu za pole kwa wale wafiwa wa October 29 ? Zaidi na zaidi aliwakebehi kwamba viherehere vyao ndivyo vimepelekea kufa wengine kupata ulemavu wa kudumu.

Je Mbowe ameamua kuwasaliti wenzake Chadema na wananchi kwa ujumla?.

Kuna haja gani ya yeye kuendelea kuwa mwanachama wa Chadema hali ya kuwa hayupo pamoja na wanachadema wenzake katika nyakati hizi ngumu?

Nadhani kutuma tu salamu za pole ingetosha .
 
Mimi NADHANI muacheni Mbowe aishi maisha yake Mlinyanyasa sana na kumtukana wakati ni Mwenyekiti.Mkasema hatoshi,kawaachia chama chenu.Sasa mbona mnamsakama tena.Ninyi si mnaweza,pambaneni
 
Mbowe haamini katika demokrasia hakufurahia kabisa kushindwa na Lissu akaamu kumharibia mwenzake kwa kuchochea migogoro ndani ya chama.
 
Mimi NADHANI muacheni Mbowe aishi maisha yake Mlinyanyasa sana na kumtukana wakati ni Mwenyekiti.Mkasema hatoshi,kawaachia chama chenu.Sasa mbona mnamsakama tena.Ninyi si mnaweza,pambaneni
Walimtukana lini?

Mbowe hatumii akili. Amedhalilisha Wachaga sana

Jitu kubwa jitu zima linatumiwa

Kusababisha vifo na ukilema kwa watu wengi sana kumbe lenyewe li chawa tu linatumika
 
Nimesikitika kuona mbowe kutokwenda kumjulia hali mwenyekiti wake licha ya kusota rumande kwa muda mrefu na pia hajawahi kwenda au kusema lolote hata kwa bahati mbaya kumtia nguvu mwenyekiti wake ila cha ajabu amesafiri mpaka zanzibari kumpa pole samia .

Hii imekaaje?

Je mbona samia hakutuma salamu za pole kwa wale wafiwa wa October 29 ? Zaidi na zaidi aliwakebehi kwamba viherehere vyao ndivyo vimepelekea kufa wengine kupata ulemavu wa kudumu.

Je Mbowe ameamua kuwasaliti wenzake Chadema na wananchi kwa ujumla?.

Kuna haja gani ya yeye kuendelea kuwa mwanachama wa Chadema hali ya kuwa hayupo pamoja na wanachadema wenzake katika nyakati hizi ngumu?

Nadhani kutuma tu salamu za pole ingetosha .
ok. :1Head:
 
Mimi NADHANI muacheni Mbowe aishi maisha yake Mlinyanyasa sana na kumtukana wakati ni Mwenyekiti.Mkasema hatoshi,kawaachia chama chenu.Sasa mbona mnamsakama tena.Ninyi si mnaweza,pambaneni
Sio wamemzuia kuishi maisha yake ila akuwa mtu mzuri ndani ya Chadema!

Shida ya chadema wamechelewa sana kuwatambua manyoka kama huyu(Mbowe), Mashinji,Wenje,Patrobas na wale G55
 
Nimesikitika kuona mbowe kutokwenda kumjulia hali mwenyekiti wake licha ya kusota rumande kwa muda mrefu na pia hajawahi kwenda au kusema lolote hata kwa bahati mbaya kumtia nguvu mwenyekiti wake ila cha ajabu amesafiri mpaka zanzibari kumpa pole samia .

Hii imekaaje?

Je mbona samia hakutuma salamu za pole kwa wale wafiwa wa October 29 ? Zaidi na zaidi aliwakebehi kwamba viherehere vyao ndivyo vimepelekea kufa wengine kupata ulemavu wa kudumu.

Je Mbowe ameamua kuwasaliti wenzake Chadema na wananchi kwa ujumla?.

Kuna haja gani ya yeye kuendelea kuwa mwanachama wa Chadema hali ya kuwa hayupo pamoja na wanachadema wenzake katika nyakati hizi ngumu?

Nadhani kutuma tu salamu za pole ingetosha .
Akili kichwani, pesa mfukoni.
 
Sio wamemzuia kuishi maisha yake ila akuwa mtu mzuri ndani ya Chadema!

Shida ya chadema wamechelewa sana kuwatambua manyoka kama huyu(Mbowe), Mashinji,Wenje,Patrobas na wake G55
Wamechelewaje kujua? Kwa mtu anaejua siasa za nchi hii hakuna ambae alikuwa hajui kuwa FAM alikuwa ni project ya system. Kilichokuwa kinakosekana ni ule ushahidi tu kuprove jambo hilo.
 
Back
Top Bottom