Mbowe hakuwahi kwenda hata mara moja kumjulia hali Mwenyekiti wake Lissu ila ameenda Zanzibar kumpa pole Samia , hii imekaaje?

Freeman sio tu ile chuki yake iliyomjaa dhidi ya kina Lissu. Freeman amesha move on na chadema. Hatoacha kufanya yale ambayo wanachadema watatoa sana milio. Kazi kwa chadema waendelee kukumbatia mchongoma au wafanye maamuzi magumu.
 
Nimesikitika kuona mbowe kutokwenda kumjulia hali mwenyekiti wake licha ya kusota rumande kwa muda mrefu na pia hajawahi kwenda au kusema lolote hata kwa bahati mbaya kumtia nguvu mwenyekiti wake ila cha ajabu amesafiri mpaka zanzibari kumpa pole samia .

Hii imekaaje?

Je mbona samia hakutuma salamu za pole kwa wale wafiwa wa October 29 ? Zaidi na zaidi aliwakebehi kwamba viherehere vyao ndivyo vimepelekea kufa wengine kupata ulemavu wa kudumu.

Je Mbowe ameamua kuwasaliti wenzake Chadema na wananchi kwa ujumla?.

Kuna haja gani ya yeye kuendelea kuwa mwanachama wa Chadema hali ya kuwa hayupo pamoja na wanachadema wenzake katika nyakati hizi ngumu?

Nadhani kutuma tu salamu za pole ingetosha .
Mbona huulizi kwanini mke wa Lissu na watoto wake hawajawahi kwenda kumwona Lissu na waka kuhudhuria kesi mahakamani? Badala yake wanakula maisha kule Ulaya? Mbowe ni mtu huru huwezi kumlazimisha, kwanza ni mtu mwenye hadhi kubwa hawezi kushirikiana na washamba km wafuasi wa chadema. Wafuasi wa chadema ni viumbe wasio na ustaarabu, ni km nguruwe
 
Nimesikitika kuona mbowe kutokwenda kumjulia hali mwenyekiti wake licha ya kusota rumande kwa muda mrefu na pia hajawahi kwenda au kusema lolote hata kwa bahati mbaya kumtia nguvu mwenyekiti wake ila cha ajabu amesafiri mpaka zanzibari kumpa pole samia .

Hii imekaaje?

Je mbona samia hakutuma salamu za pole kwa wale wafiwa wa October 29 ? Zaidi na zaidi aliwakebehi kwamba viherehere vyao ndivyo vimepelekea kufa wengine kupata ulemavu wa kudumu.

Je Mbowe ameamua kuwasaliti wenzake Chadema na wananchi kwa ujumla?.

Kuna haja gani ya yeye kuendelea kuwa mwanachama wa Chadema hali ya kuwa hayupo pamoja na wanachadema wenzake katika nyakati hizi ngumu?

Nadhani kutuma tu salamu za pole ingetosha .
Sisi wachaga tunaangalia pesa tuu
 
Back
Top Bottom