Nimesikitika kuona mbowe kutokwenda kumjulia hali mwenyekiti wake licha ya kusota rumande kwa muda mrefu na pia hajawahi kwenda au kusema lolote hata kwa bahati mbaya kumtia nguvu mwenyekiti wake ila cha ajabu amesafiri mpaka zanzibari kumpa pole samia .
Hii imekaaje?
Je mbona samia hakutuma salamu za pole kwa wale wafiwa wa October 29 ? Zaidi na zaidi aliwakebehi kwamba viherehere vyao ndivyo vimepelekea kufa wengine kupata ulemavu wa kudumu.
Je Mbowe ameamua kuwasaliti wenzake Chadema na wananchi kwa ujumla?.
Kuna haja gani ya yeye kuendelea kuwa mwanachama wa Chadema hali ya kuwa hayupo pamoja na wanachadema wenzake katika nyakati hizi ngumu?
Nadhani kutuma tu salamu za pole ingetosha .