Uchaguzi 2020 Mbowe: Hatuendi kwenye uchaguzi kuomba kuwa Chama Kikuu cha Upinzani, tunatafuta dola

Tume gani itakutangaza Mbowe?
 
Si walisema bila tume huru hawatashiriki uchaguzi wowote? Je imeshapatikana?
 
Itabidi apambane aweze kupata wapiga kura wengi vilaza kama mwenzake wa kijani
 
Komredi Mbowe makamanda tupo kwa ajili ya hilo, kikubwa ni wizi tu wa hawa jamaa.
 
Mimi nalipwa buku kwa siku.
Wewe unalipwa kiasi gani ?
Mkuu, pole, lakini ndio sehemu ya kujipatia ridhiki pia, Mimi buana silipwi chochote! Na sina mkataba na Chama chochote, Ila kuna Wakati nafanyaga ili kulipiza tu mihasira ya 2015 jinsi Mbowe alinivuruga Mie,

Sina Chama na hakuna Chama cha kunilipa Kwa sababu najitoshereza, ninikila kitu, Ila Mbowe aliuvunja Sana moyo wangu, niliamua kuwa mshabiki wa Magufuli na wenginewe ambao hata Chadema Wapo, Ila sina chama
 
Bali mnaenda kufanya nini?!
Tume Huru ipo wapiKushika dola ndio nini?
Mmejipanga kweli?

Kama uchaguzi mwaka 2015 uliporwa mchana kweupe kule Zenji na Jecha akapindua meza kutokea mafichoni, Tume hii ya sasa haitokaa impe dola mgombea yeyote wa urais kutokea upinzani. The sad news ni kwamba hata Mbowe analifahamu hili vyema sana lakini anawahadaa wapiga kura wake.

Kinachofanyika ni CHADEMA kusimamisha mgombea uraisi ili hamasa iwe kubwa, apate kura nyingi, wabunge wapatikane wengi kidogo na mtonyo wa ruzuku uwe mnene as well

ili hilo lifanikiwe, Mbowe anapaswa kuacha ubinafsi na wasimamishe mgombea urais kipenzi cha waTZ wengi. Aking’ang’ania apitishwe yeye inaweza kuwa kosa kubwa
 
Bali mnaenda kufanya nini?!
Tume Huru ipo wapi
Kushika dola ndio nini?
Mmejipanga kweli?
Upinzani kuweni serious msifanye mambo kwa mazoea
Vyama vya upinzani 20 hamuelewani mtawezaje kushinda?
My thought....
Bora uanze kujiuza huna thought zozote umejawa na umesikini wa fikra wewe bikra wa maendeleo
 
Konyagi imepungua kooni mpeni nyingine.
 
Atuambie kwanza faru john alizinywa ngapi mpaka zikamfanya azime huko Dom.
 
Aseme kwanza alipiga ngapi hadi zikataka kumvunja mguu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…