As
Asante mkuu wataipata tu mwakani hawa ma-nduli, karibu tena kamanda tuendeleze mapambazo, peopleeeeeeeesss!
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mhe. Freeman Mbowe amesema, kuna baadhi ya vyama vya siasa na wanasiasa hasa wanaCCM wanasema tuachane na Urais tujiandae kwa Ubunge na Udiwani, Mbowe anasema stage ya kuwa chama kikuu cha Upinzani wameshaipita wanaingia kwenye uchaguzi mkuu kutafuta kushika dola.
"Hatuendi kwenye uchaguzi kuomba kuwa Chama kikuu cha upinzani, sisi ni Chama kikuu cha upinzani, tunakwenda kwenye Uchaguzi kutafuta dola. Hivyo vyama vingine vinakwenda kutafuta wabunge na madiwani" M/kiti wa @ChademaTz Mhe. @freemanmbowetz.
Kule Dodoma , Mbowe aliumia kwa kupigwa au kwa ulevi ?
"...never", kana kwamba wanakuja kuomba kwako?Kama ni dola za U.S watazipata ila kama ni dola Serikali haiwezekani"never"
Unaweza ukajishangaa mwenyewe huko mbeleni, ukikumbuka uliyaandika haya.Atafute tume huru ya uchaguzi wakati anajua hata hii ipo huru? Na ilishamtangaza kama mbunge. Yupo sawa anatakiwa apambane kukamata dola.
Nitajishangaa nini?Unaweza ukajishangaa mwenyewe huko mbeleni, ukikumbuka uliyaandika haya.
Sikuandika kuanzisha ubishi hapa. Kaa nalo mwenyewe hadi wakati huo ukiwadia.Nitajishangaa nini?
This is not right.Asante Yesu wa chadema Mbowe
Kama ni dola za U.S watazipata ila kama ni dola Serikali haiwezekani"never"
Mkuu mazingira ya sasa yanajieleza wazi kabisa,upinzani kushika dola kwa sasa ni sawa na kupiga tiktaka ukiwa umevaa kanzu.haiwezrkani."...never", kana kwamba wanakuja kuomba kwako?
Acha KUJITIA HOFU na kuwatia HAMANIKO la nafsi wenzako...mbona hayo hayapo Kaka.....Watanzania mtatawaliwa kimabavu kwa miaka mingi ijayo.
Kicha ni nini ?Chadema ni kuku aliyekatwa kicha uchaguzi wa 2020.
Na technology yote iliyopo sasa bado hutaki kuamini kwamba inawezekana sana ukapiga tiktak huku umevaa kanzu?Mkuu mazingira ya sasa yanajieleza wazi kabisa,upinzani kushika dola kwa sasa ni sawa na kupiga tiktaka ukiwa umevaa kanzu.haiwezrkani.