BUBERWA D.
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 2,293
- 1,170
Subiri waumini wake waje. Ila huu ndiyo ukweli umewaambia.Bali mnaenda kufanya nini?!
Tume Huru ipo wapi
Kushika dola ndio nini?
Mmejipanga kweli?
Upinzani kuweni serious msifanye mambo kwa mazoea
Vyama vya upinzani 20 hamuelewani mtawezaje kushinda?
My thought....
Uko aslimia 100 sahihi kwa mazingira ya sasa ambapo uwanja wa kisiasa na sheria zake unaelemea upande wa chama tawala. Vinginevyo hadithi ingekuwa tofauti. Keep wishing the environment to remain as it is for ever.Kama ni dola za U.S watazipata ila kama ni dola Serikali haiwezekani"never"
Sijui kweliHujui kitu
Kwani uchaguzi maana yake ninini??Kama ni dola za U.S watazipata ila kama ni dola Serikali haiwezekani"never"
Katika watu ambao kaweza kuwashikia wafuasi wake akili ni Mbowe, kafanikiwa sana kila ikifika wakati wa uchaguzi anakuja na drama mpya, miaka 22 sasa mwenyekiti hamna wa kumpiga.
Hawa walinzi walikuwa wapi alipoteleza ?
Mnamwogopa saana Mbowe na makamanda wa CDM, tamko moja tuu matumbo Lumumba yanakata!!Nakuona Quinine Dihydrochloride, kumhusu huyu Disco Joker Wala hanishangazi. Janjajanja yake ya kuchezesha maneno juu ya vichwa vibovu aliitoa kipindi KILE AKIBADILISHA GIA angani...sembuse kipindi hk HAKUNA mawimbi,Mana Membe hatishi lolote.
MKAANGA CHAPATI huyo Hana jipya kwani kaumbuliwa vibaya na kina LIJUALIKALI na kuanikwa upenuni kiasi Cha kuihoji CREDIBILITY Yake......
JANJAJANJA TU in town
unamsikiliza Sirro aliyeweka gari feki lililomteka Mo ?Hawa walinzi walikuwa wapi alipoteleza ?