Mbowe: Hatutakubali Bunge lililopo litengeneze Katiba Mpya


..i understand na naheshimu mtizamo wako.

..unajua watu tunatofautiana kimtizamo.

..ila mimi nilishawishika kwamba Magufuli alikuwa akichochea vyombo vya dola kutumia nguvu iliyopitiliza.

..alikuwa akiwachukulia wanasiasa wa upinzani kama maadui au wahalifu na hivyo kupelekea wengi kuwa harassed na vyombo vya dola, na kusumbuliwa au kufungwa na mahakama zetu.
 
Moja ya sababu kubwa ya kushindwa kukamilika kwa mchakato wa katiba mpya ni wingi wa wabunge walio kuwemo. Muda mwingi ilitumika kulumbana, kweli mapanya wengi hawachimbi shimo likaenda.

Mimi nadhani ishu siyo uwingi wa wabunge wa BLMK...

Vurugu hutokea na zinaweza kutokea kunapokuwa hakuna UTASHI WA KISIASA wala DHAMIRA NJEMA ndani ya nafsi zao...

Ndivyo ilivyokuwa mwaka 2013/2014. Wenye mamlaka hawakuwa na nia wala DHAMIRA ya dhati...

Matokeo yake wakajaza watu walioitwa ",Wajumbe wa Bunge la Mabadiliko ya katiba - BLMK" lakini wakiwa wamewapa ajenda zao ovu za vurugu ndani ya baraza hilo...
 
Nadhani siasa za Chadema zimeshafeli Sana niza kijinga Sana hasa huyu Mbowe.Mpaka Sasa alipaswa kuwa ameshajiuzulu kwa kufeli kwake.Imagine leo anaongea bada yakuona Rais wa sasa anataka maridhiano.
 
Fikra zake kwamba Mama atakubali kuingilia muhimili wa Bunge na kuwaondoa wakina Halima Mdee na kitendo kuchelewa kupewa jibu la kukaribishwa ikulu limewafanya CHADEMA wapaniki.
Kwahiyo wao shida yao ni waende tu ikulu??

Basi tutamshauri Mheshimiwa rais awakaribishe tu japo siku moja ili hizi kelele ziishe. Wapige hizo picha wanazotaka kupiga wapost mitandaoni
 
Mikwara ya kipumbavuuuu!
 
Hauna akili sababu ya kutetea maslahi mapana ya tumbo

CCM hakuna mashoga?
Kwani waliokuwa wakimpinga MAKONDA kipindi anapambana na mashoga sio nyinyi? na mkadai anadhulumu haki ya kuishi?
ILE NDIO DEMOKRASIA mkuu, na ndio maana mnang'ang'ania katiba mpya mkidhani mtapenyeza huo ushetwani
 
Kwani waliokuwa wakimpinga MAKONDA kipindi anapambana na mashoga sio nyinyi? na mkadai anadhulumu haki ya kuishi?
ILE NDIO DEMOKRASIA mkuu, na ndio maana mnang'ang'ania katiba mpya mkidhani mtapenyeza huo ushetwani
Umemnanga sana mkuu huyo jamaa
 
Nini maana ya demokrasia?
Mama ndio mwenye kutoa ruhusa kuwa mchakato wa katiba uendelee au usiendelee hakuna mtu mwengine, sasa amechukua nchi ndio kwanza siku 100 zimefika, anataka kupewa mda wewe unasema hutaki, maana yake unataka mama hatumie nguvu, basi jiandae kwa maumivu
 
Umemnanga sana mkuu huyo jamaa
Hawa jamaa imewapata hasara vichwani mwao
JUZI tu hapa walipandisha uzi eti MAMA anatekeleza sera za Lissu na ikibidi aongoze tu hadi 2035.
LEO ndio kama hivi..hawa sijui wapinzani wa aina gani!?
 
Ila jiwe ndio kachakaa zaidi huko motoni alipo.
Jiwe amemaliza mwendo lakini maumivu aliomuachia Mbowe alitangaza hadharan, kama ile dozi hajamkolea sasa aendelee na Katiba mpya wakati Rais amesema apewe mda, mtakuja humu kulialia kama kuku
 
Huyo JPM yuko wapi sasa, nyie mponzeni na mama ila mjue kuwa Mungu sio binadamu, kama mama hakujifunza kwa JPM basi atajifunza in hardway kama JPM anavyojifunza in hardway uko aliko.
Kafa Yesu atakuwa JPM ahahaha, Mama asicheke na kima, kama hawaelewi kwa lugha ya upole,basi tumia lugha ya kichapo maana hiyo ni rahisi kueleweka
 
Kwa kauli hii ya Mbowe mama hana option zaidi ya kuwa dikteta.....
otherwise watampelekesha sana hawa....
mama inaonekana ni mpenda haki na utu
lkn naona wanamforce awe dikteta.....
wanasema hakuna mchawi mbaya kama mwanamke....
😀 😀 Mama alipoanza kucheka nao wakamsifia wee ili aingie kwenye kumi na nane zao. Sasa akizubaa maji yatazidi unga, kwa kaliba ya watu kama faru John & co inatakiwa mtu tough kudeal nao perpendicular yani kwato kwa kwako kama shujaa wa Afrika alivyofanya walikuwa na adabu zote.
 
Kabla uongo wake wa list feki ya Lisu kulipwa mafao yake na bunge haujakauka vizuri leo malisa ameamua kuhara uongo mwingine!

Haya ngoja tuone mauzo ya cocaine yatqkavyokuwa mitaani baada ya punda kuachiwa huru na mahakama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…