Mbowe: Hatutakubali Bunge lililopo litengeneze Katiba Mpya

Safi, hatuwezi kukubali wezi wa kura watutungie na katiba mpya...Big NO.
 
Mbowe ni kiongozi mkubwa sana ila anafeli sehemu ndogo sana mara kwa mara

Kiongozi mkuu hatakiwi kutoa kauli kwa kukurupuka

Kwa mfano, anavyosema "...viongozi wa chadema wajiandae kufanya mikutano ya hadhara..." tafsiri yake ni nini?

Viongozi wake ni wakupokea order tu na kutekeleza bila kuwa na majadiliano?

Ikitokea viongozi kadhaa wakaja na hoja yenye mashiko (mfano kuepuka mikusanyiko kwa sababu ya corona) na hivyo kufifisha "agizo" lake haoni Kama inampunguzia credit yeye Kama top leader?

Halafu Mbowe alitakiwa asome upepo, kuja na matamko Kama haya watu wenye kudadisi sana watakuja na conclusion kuwa kumbe na yeye ni muoga Kama waoga wengine maana enzi za Magufuri hakutoa hivi vitisho, kwanini alishindwa wakati katiba inawaruhusu?

Hata hivyo, asome upepo vizuri wa wananchi maana ni "Kama" wanamuelewa elewa Rais huyu hivyo wanaweza kujikuta wanaandamana viongozi wao tu na boda hoda mtaani
 
Mkuu nina mashaka kwa bangi wazovuta hawawezi kukuelewa- ila pole yao
 
Wakati wa Magufuli Mbowe alitumia miaka mitano akihudhuria mahakamani.

Ikiwemo kukaa mahabusu kwa zaidi ya miezi minne wewe hukuliona hilo ?
 
Kwa kauli hii ya Mbowe mama hana option zaidi ya kuwa dikteta.....
otherwise watampelekesha sana hawa....
mama inaonekana ni mpenda haki na utu
lkn naona wanamforce awe dikteta.....
wanasema hakuna mchawi mbaya kama mwanamke....
Ni mtihani kwake!!kwani mabeberu wana imani naye kuwa anairudisha nchi kwenye mstari na wao sasa wameanza kumpa ahadi nyingi za misaada, kama alivyo tumia approach nyingine juu ya covid19, sifa kila kona toka WB, IMF, , sasa hapo kwenye demokrasia ndio mtihani ulipo, kwani wataanza kushinikiza katiba mpya, na mikutano ya hadhara, polisi watatumika kuwadhibiti!!!
 
Mama anatekenywa tekenywa............tuone mwisho wake.

Katiba ni muhimu ili kupunguza mauzauza hasa ya teuzi za watu wasio na uwezo
 
Wakati wa Magufuli Mbowe alitumia miaka mitano akihudhuria mahakamani.

Ikiwemo kukaa mahabusu kwa zaidi ya miezi minne wewe hukuliona hilo ?
Unafikiri ndiyo amemaliza zamu yake na hawezi enda tena huko akitaka tena. Hizi ni dalili za kutaka kwenda huko. Nyie mchezeeni tu Mama hamtajua mda, saa wala namna.
 
Tatizo la Chadema siyo wanasiasa ni wanaharakati, hawajui kwamba kwenye siasa Kuna hitaji mchakato, majadiliano ya muda mrefu mpaka mnakubaliana na kwenye muafaka siyo lazima upate yote Kuna kupata na mengine kukosa. Wakiendelea na siasa za aina hii watakosa yote hawatapata katiba mpya Wala tume huru ya uchaguzi.
 
Back
Top Bottom