Mbowe: Hatutompa muda Rais na hatukubali. Viongozi wa CHADEMA watakiwa kujiandaa kuanza mikutano nchi nzima

Mbowe anatuharibia chama chetu, anapaswa ajiuzulu mapema,
sijaelewa kwa nn kajipanga kung'atuka mwaka 2023?
hivi haoni aibu kukimbiwa na kina mdee, bulaya, matiku, mashinji n.k.
ni wakati sasa wa yeye kujiuzulu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukae chini kama taifa tuone ni wapi tunakwama katika swala zima la maendeleo ya taifa na wananchi kwa ujumla.

Suala la katiba ni sehemu tu ya mambo tunayokwama kama taifa, lakini kwanini linapigiwa kelele mnoo? Hapa msemo wa hoja hujibiwa kwa hoja ni vyema kutumika.

Lakini pia tujiulize, je? Umaskini tulionao kama taifa unachangiwa na uwepo wa katiba ya sasa?, Habari gani juu ya ufisadi na Rushwa je? Ni katiba iliyopo sasa inachangia?

Je? Ukosefu wa maji safi na salama kwa watu wa vijijini, ukopeshwaji wa elimu kwa wanafunzi wa vyuo vikuu, ukosefu wa teknolojia yetu binafsi kama taifa, ubaguzi katika ajira, ukosefu wa ajira yenyewe, uwepo wa mikataba mibovu inayo Leta hasara kwa Taifa JE YANASABABISHWA NA UWEPO WA KATIBA YA SASA?

Kama jibu ni ndiyo basi tumpe muda kiongozi wetu mkuu kama alivyosema atafakari na kutupa majibu.

Lakini pia tukumbuke ya kwamba hata tutakapo fanikiwa katika hili ni serikali iliyopo itakayo ratibu mchakato mzima! Je utamwamini umwitaye mchawi kukusongea ugali na kukuandalia mezani?
( THINK BEYOND THE STATEMENT)

Je mabadiliko haya kwanini yanataswira ya usiasa ndani yake, kama ni hitaji la taifa basi Wananchi wangesimama wao wenyewe kupiga kelele juu ya swala hili kwanini sio hivyo?

Mwisho, UKISHINDWA KUMTAMBUA ADUI UTASHAMBULIA WASIO NA HATIA ( HII NDIO TASWIRA YA AFRIKA)

NAIPENDA TANZANIA, NITAILINDA TANZANIA, NITAITUMIKIA TANZANIA, NA SII NCHI NYINGINE MUNGU NISAIDIE.
 
kumjaribu mama au kikwete? mbona ashajaribiwa kitambo haya marudio tu.
 
GAIDI. Mnayataka wenyewe. Mama KAKAA kimya akitafakati jinsi ya kuendesha nchi. Mnaanza kujifanya amnazo...
 
Naona wewe ni mshamba wa siasa. Rais Samia ni mwanasiasa pia. Siasa ni mashinikizo kwa kutumia hoja. Kwani kamtukana au anahatarisha Usalama wa Rais au amempindu?

Uache ushamba
Haya kiko wapi sasa, Mbowe yuko wapi ?

Muda mwingine punguzeni ujuaji, kwa zile kauli zake ilitosha kabisa kutoa ishara mbaya juu ya mstakabali wake.
 
Kiko wapi Sasa😂.
 
Kwanini washindwe

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Akiamuru wana usalama wafanye kazi yao kikamilifu hamna choko atakaeleta fyoko! Wote wataloana mapema tu na kukimbilia al jazeera na bbc kulia lia kwamba wameonewa ila adabu hawana!
Aiseeeh mkuu uliona mbali sana.
 
GAIDI. Mnayataka wenyewe. Mama KAKAA kimya akitafakati jinsi ya kuendesha nchi. Mnaanza kujifanya amnazo...
Sasa kaharibu kila kitu, hilo hulioni wala kulitambua?

Wewe unachoona ni mbele ya pua yako tu basi?
 
Mbowe anatuharibia chama chetu, anapaswa ajiuzulu mapema,
Flash back...

3:42 am
3:44 am
3:46 am
3:47 am
3:49 am
5:12 am
Mbowe mpaka sasa ananuka, anatoa harufu mbaya sana, ni mtu ambaye ni tishio kwa amani na usalama wa nchi yetu, mbowe na genge lake ni hatari sana, Bowe na genge lake sio wanasiasa bali ni magaidi/mamafia/ wauaji na wahalifu wakubwa.
6:08 am
wange muhamisha Guatanamo Bay, siku 2 tu angewataja washirika wote, mtandao wote wa kigaidi ungefahamika. washirikiane na interpol watafahamu washirika wengine.
6:12 am
Mhalifu ni mhalifu tu, Mbowe ni muhalifu kama walivyo wengine. kuwa kiongozi wa chama haimaanishi kuwa hawezi kutenda makosa ya kijinai wala haizuii Vyombo vya Ulinzi na usalama kumchukulia hatu.
Huyu mchangiaji ndiye zandrano, wajinga ambao CCM imewatuma na inawatumia humu JF kutetea utawala ambao licha ya kiongozi wake Mkuu kuapa kuwa ataihifadhi, kuilinda na kuitetea Katiba, hana ujasiri wa kuheshimu kiapo chake.

Kiongozi ambaye hana ujasiri wa kuheshimu kiapo chake wala kuona umuhimu wa kufanya hivyo si mwaminifu na hatufai, period!

Ingawa sote tunajua kuwa mtaji wa CCM ni ujinga, lakini inapofikia kiwango hiki ni hatari kwa usalama wa taifa. Kama ni ugaidi, huo ni mfano tosha kwa jinsi haya matakataka kama zandrano yanavyotumia ujinga wao kulipeleka taifa kusiko.
 
😅😅😅wanalipwa wapuuzi hawa hata cha kuandika wanaandikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…