Mbowe: Hatutompa muda Rais na hatukubali. Viongozi wa CHADEMA watakiwa kujiandaa kuanza mikutano nchi nzima

Badala ya kujadili ujenzi wa madarasa na zahanati tumeanza tena u-basket mouth
Katiba mpya itaweka usimamizi mzuri kwenye huo ujenzi wa dhahanati na madawati! Katiba ni kitu kikubwa na cha muhimu CHADEMA au ccm!
Kwa mfano kuna mambo yalizingatiwa na awamu ya 5 kama mikataba, sasa hivi hayapo! Kama Baba lao angetengeneza katiba mpya, maono yake yangeendelezwa, badala yake, kafa na kazi zake, zinakufa!

 
Chadema ni hatari Sana ustawi wa nchi ni vurugu kila wakati, Kiongozi akiwa muungwana wanampanda kichwani akiwa mkali wanaanza kulialia Kama Umbwa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mi nadhani kwani wakiwaacha tu kuna shida gani?kipindi cha jk waliachwa wakafanya jk, aliendelea na uongozi wake akamaliza!!wakajua sehemu ya kuwabania tu, labda kwenye kibali cha polis, wanaambiwa polisi hawatoshi, kwa mwezi wanaachiwa hata mala moja.Mala zote huwa ni ngumu sana kuongoza ki demokrasia pindi anapotoka diktekta!!kwani wanataka uhuru wote kwa wakati mmoja, na wewe ukiruhusu kila kitu lazima uharibikiwe tu, vile vile unataka kuwaridhisha wafadhiri ili upate misaada
 
Shit
 
Hawa wahuni inabidi Mh.Rais Samia awadhibiti mapema,hawana kazi ya kufanya kwa sasa

Mama si dhalimu, dhulumati, mwizi, bazazi, bedui wala kizabazabina!


Mama anajua waungwana huongea wakashawishiana kwa hoja.
 
Mimi naamini katiba mpya ni muhimu sana lakini nadhani mama anastahili kupata muda.
Sababu: Mchakato wa katiba ukianza sasa nina wasiwasi utatekwa na genge ( genge bado lina mizizi mingi tu kwenye system) ,, kitakachotokea baada ya hapo ni kichekesho cha katiba mpya.
Hebu fikiria lile bunge lililopo ndilo lijadili katiba mpya'' litapangua vifungu vingi muhimu na kuchomeka vituko vya ajabu. Kama mnakumbuka kipindi kile hoja ya muungano kuwa wa serikali tatu ilishapigwa chini, na lile lilikuwa angalau ni bunge lililo serious ukilinganisha na hili.
Sasa muwape hawa hiyo nafasi - tutashuhudia vituko vya mwaka na mshiko wa vikao vya bunge la katiba watakuwa wameshauweka kibindoni.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
 
Kweli Afri
Kwani siku hizi Mbowe ndio anaetoa kibali kwa Rais Samia Suluhu Hassan kuongoza serikali au serikali ndio inatoa kibali kwa Mbowe!?
Yaan Africa ,tunatumiwa vibaya sana.USA uwezi kusikia Republic wanafanya au wanataka mikutano baada ya uchaguzi.Baada ya uchaguzi ni kazi tuu.Sio kingine.Mbowe anajua vijana wengi hawana kazi na pia hawataki kazi.Kwa hiyo ni siasa tu.Ujinga mtupu.Miongoni mwa mabadiliko ya katiba ,ni kuondoa mikutano ya siasa baada ya uchaguzi.Tunacheleweshwa kufanya kazi.
 

Una akili sanaa LUPEM
 
Chaedema na Mbowe wameamua kumjaribu Mama? Wataweza kweli?
Nao waache ujinga! Wasimlazimishe Mh. Rais awe kama lile dude! Wakileta za kuletwa mama awape kichapo kimoja tu cha nguvu wakome! Na watapigwa tu!!
 
Ila kiukweli haina umuhimu yoyote nazan mikutano ya ndani ni muhimu vile mnakuwa mnajadili na mnabdilishana mawazo lakini hiyo ya hazara sion jipya lolote Ila ni haki yao kufanya
Kajifunze kuandika kwanza. Haya ya katiba yamekuzidi upeo.
 
Naona tumezoea maisha ya kibabe babe hivyo tunamlazimisha Samia awe mbabe. So sad! Yule aliyepita amesema hakuahidi, hana agenda hiyo na asipangiwe juu ya hilo huyu amesema apewe muda yet tunaona tabu kumpa huo muda? Chadema mnaturudisha wapi jamani?
Hivi amesema tumpe muda wa kiasi gani?
 
Hivi ubabe wa Magufuli ulimfanya afanikiwe katika chochote?
 
Sipati picha angeongea hivyo enzi za Chuma, mida kama hii ashakabidhiwa kwa nyampala anampima oil tu [emoji23][emoji23]
Tuwe na kumbukumbu - mbona CHADEMA walitoa kauli kali kuliko hata hizo wakati wa dikteta Magufuli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…