Mbowe: Hatutompa muda Rais na hatukubali. Viongozi wa CHADEMA watakiwa kujiandaa kuanza mikutano nchi nzima

Mbowe: Hatutompa muda Rais na hatukubali. Viongozi wa CHADEMA watakiwa kujiandaa kuanza mikutano nchi nzima

Mbowe anataka kumpa amri Amir Jeshi? Alivyozoea kuwandesha Bavicha anadhani kila upuuzi wake watu wataufuata.
 
Badala ya kujadili ujenzi wa madarasa na zahanati tumeanza tena u-basket mouth
Hahahahah taratibu tutaelewana tu kwamba yule hayati wakati anawapiga spana hawa chadema hasira zile zilitokana na kero ya kiwango gani!
 
😂😂😂😂😂Mbowe bhana JPM ndo alikuwa mwanaume Gwanda za Chadema zilikuwa night dress tu makamanda wa Chadema wanazivaa wkt wa mibunyo na wake zao tu uchaguzi umeisha tu kila kamanda anakimbia mwingine kakimbilia ubalozini kama kibaka anapokimbilia kituo cha police mwingine kavuka Boda kuingiaKenya akiwa amevaa baibui

Mbowe sijui alipenya wapi kukimbilia Dubai Tanxania kabaki mwanaume mmoja tu anapiga kazi

Huyu Mama ni soft sana na asipoangalia watamsumbua sana
Nashukuru kwa kutambua utawala wa kidume toka Chattle 😂😂😂!!! Hakuna kima wa Chadema alieleta kidomo domo mbele ya Mwamba a.k.a Jiwe
 
Mimi naamini katiba mpya ni muhimu sana lakini nadhani mama anastahili kupata muda.
Sababu: Mchakato wa katiba ukianza sasa nina wasiwasi utatekwa na genge ( genge bado lina mizizi mingi tu kwenye system) ,, kitakachotokea baada ya hapo ni kichekesho cha katiba mpya.
Hebu fikiria lile bunge lililopo ndilo lijadili katiba mpya'' litapangua vifungu vingi muhimu na kuchomeka vituko vya ajabu. Kama mnakumbuka kipindi kile hoja ya muungano kuwa wa serikali tatu ilishapigwa chini, na lile lilikuwa angalau ni bunge lililo serious ukilinganisha na hili.
Sasa muwape hawa hiyo nafasi - tutashuhudia vituko vya mwaka na mshiko wa vikao vya bunge la katiba watakuwa wameshauweka kibindoni.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Katiba ikianza mchakato,tunaongeza kipindi cha kuongoza toka miaka mitano mitano hadi kumi kumi,,hatuwezi kuwa tunapoteza pesa kufanya uchaguzi mkuu kila mara,🤗😄
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii mikwara mbona hatukuiona kwa Magu?
Mbowe na Chadema wote walikuwa ma shori tu mbele ya Kidume cha Usukumani🤣🤣🤣 wakapoteana mazima!
 
Kufa kila mtu atakufa,,kwa afya ya mbowe simshauri kabisa ajiingize kwenye purukushani,,yule ni supana mkononi, family yake kama wanampenda huyu mzee,wamshauri
Out of context. Wapi nimesema kushindwa kwake ni kwasababu ya kifo? Mbowe anahusikaje kwenye hoja yangu? Tuliza mihemko. Usiwe unanijibu ukiwa umepiga konyagi.
 
Katiba mpya itaweka usimamizi mzuri kwenye huo ujenzi wa dhahanati na madawati! Katiba ni kitu kikubwa na cha muhimu CHADEMA au ccm!
Kwa mfano kuna mambo yalizingatiwa na awamu ya 5 kama mikataba, sasa hivi hayapo! Kama Baba lao angetengeneza katiba mpya, maono yake yangeendelezwa, badala yake, kafa na kazi zake, zinakufa!

View attachment 1836982
Tatizo wanasiasa wanatuvuruga hata wakati mwingine hawaeleweki, katiba iliyopo wanasema haifuatwi na viongozi! Sasa wameacha kuhimiza viongozi wa serikali wafuate hii iliyopo ili tuone Kama ikifuatwa ipasavyo itakuwa na mapungufu, Sasa wanacheza mziki wa katiba mpya? Hii iliyopo imefuatwa ipasavyo!????
 
Uzuri JK yupo..anawajua CDM

Mama atawapiga silent killer style za JK huku anawachekea na kuwapooza na maneno ya upole., watajua hawajui
Hahahahah kinachofata ni minyoosho ya kinyele tu kama walivodondosha himaya ya Mwamba toka chattle
 
Haina umuhimu wowote. Mama akiwalegezea watamtoa hadi miwani yake ili wamvute kope
 
Back
Top Bottom