Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Haina noma mkuu, tunaenjoy karaoke hukuEeh sema nilishift kuja Bongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haina noma mkuu, tunaenjoy karaoke hukuEeh sema nilishift kuja Bongo
Hahahahahah na hapo ndipo hasira ya Jiwe dhidi ya hawa wapuuzi ilichipukia! Wanakera sana kmmmke they dont let a nigga breathe thus why walifanywa hakuna na hata ubunge wakanyang’anywa 😂😂😂Kumbe hawa ngedere hawana shukrani kabisa,yani mtu anawaambia wampe muda (sio kwamba kakataa) ila bado wataka kum-provoke? Yani nia yao ni kutaka tu Rais awaeendee kwa ubabe Ili wapate cha kusema, maana wameona kabisa Rais hawapi agenda.
Kama ni mimi ninge-deal nao kibabe tu kama wanavyotaka, potelea mbali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kula raha mzee babaHaina noma mkuu, tunaenjoy karaoke huku
[emoji23][emoji23][emoji23]Mbowe na Chadema wote walikuwa ma shori tu mbele ya Kidume cha Usukumani[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wakapoteana mazima!
Haina noma mkuu.Kula raha mzee baba
We najua unampenda mbowe,mshauri aachane na siasa za uhasama,hazina tija,,kama sio maneno ya shombo,saa hizi wangeshakaa na mh na kujadili mambo kistaarabu,Out of context. Wapi nimesema kushindwa kwake ni kwasababu ya kifo? Mbowe anahusikaje kwenye hoja yangu? Tuliza mihemko. Usiwe unanijibu ukiwa umepiga konyagi.
Kama upo hapa bongo, basi lazima uko maji. Hivyo siwezi kujadili upuuzi. Yani “out of context statements”We najua unampenda mbowe,mshauri aachane na siasa za uhasama,hazina tija,,kama sio maneno ya shombo,saa hizi wangeshakaa na mh na kujadili mambo kistaarabu,
Alibugi mno,,hata JPM, kina mbowe,lema na henche ndio walimfanya achukie kukaa meza moja na wapinzani,
Cdm wazito mno kujifunza,,hivi mnafikili hiyo katiba mtaandika nyie,iwe kama mnavotaka?.
Mchakato ukianza ccm wakaingia kazini,,matokeo ni yale yale,,mtatia mpira kwapani..
Pesa zitakuwa zimepotea bure,,
Zamani kidogo awamu ya JK Mbowe alikuwa kiongozi mzuri. Ilikuwa sio rahisi aongee kitu kwa muhemko au atoae order ambayo haiwezekani kutekelezwa.We najua unampenda mbowe,mshauri aachane na siasa za uhasama,hazina tija,,kama sio maneno ya shombo,saa hizi wangeshakaa na mh na kujadili mambo kistaarabu,
Alibugi mno,,hata JPM, kina mbowe,lema na henche ndio walimfanya achukie kukaa meza moja na wapinzani,
Cdm wazito mno kujifunza,,hivi mnafikili hiyo katiba mtaandika nyie,iwe kama mnavotaka?.
Mchakato ukianza ccm wakaingia kazini,,matokeo ni yale yale,,mtatia mpira kwapani..
Pesa zitakuwa zimepotea bure,,
Mikutano ya Ndani inamaana gani kwa sisi tusiyoyajua yanayofichwa na serikali...! kama Katiba ya sasa inaruhusu why uzuie ni sawa na kuvunja katiba uliyoiapia.Ila kiukweli haina umuhimu yoyote nazan mikutano ya ndani ni muhimu vile mnakuwa mnajadili na mnabdilishana mawazo lakini hiyo ya hazara sion jipya lolote Ila ni haki yao kufanya
Umri umemtupa mkono..Zamani kidogo awamu ya JK Mbowe alikuwa kiongozi mzuri. Ilikuwa sio rahisi aongee kitu kwa muhemko au atoae order ambayo haiwezekani kutekelezwa.
Lakini sasa hivi amekuwa Kama anaendeshwa na matakwa ya baadhi ya watu. Umakini wake umepungua sana
Mikutano ya ndani inajenga chama,,logic ya kuzuia mikutano ya hadhara ni kuwa,cdm wataanza nchi nzima,ACT now hawatakubali,wataanza nchi nzima,,Cuf nao Tlp,updf,,etc,,mwisho ccm nao wataona taa nyekundu imewaka,nao wataanza,Mikutano ya Ndani inamaana gani kwa sisi tusiyoyajua yanayofichwa na serikali...! kama Katiba ya sasa inaruhusu why uzuie ni sawa na kuvunja katiba uliyoiapia.
Tatizo mama alikuwa anawapetipeti hawa, maamuzi mengine yalikuwa ya kuwaridhisha, kawakazia kidogo tu, wanaanza kumvimbia. Naona wanatest mitambo ya mama, akikubali kuitika tu, watamtesa kunyama ndani ya hii miaka minne.Baada ya Rais kusema kuwa anataka apewe muda ili ajenge uchumi kwanza na mambo ya katiba na mikutano ya hadahara itafata baadae.
Mh Mbowe leo amesema wazi kuwa hawatompa muda Rais samia na hawatakubali bali watafanya mikutano ya hadhara na watadai katiba kwa njia yeyote ile inayofaa na ikiwezekna wataingia barabarani kuidai katiba... na kwa sasa swala la katiba ni lazima watake wasitake ni lazima katiba ipatikane.
“Ombi la Rais Sami kwamba tumpe muda kuhusu suala la katiba, hatupo tayari kumpa muda na natoa agizo kwa Viongozi Nchi nzima wajiandae kwa mikutano ya hadhara siku ambayo tutaitangaza".
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akizungumza leo kwenye Kongamano la BAVICHA Tabata, DSM.
"Tutaidai Katiba mpya asubuhi, mchana hadi usiku. Kama wanataka tukae mezani, turidhie. Kama wasiporidhia, tutakutana barabarani. Hatutaridhia kushiriki Uchaguzi wowote bila kuwa na Katiba mpya au Tume Huru ya Uchaguzi.
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akizungumza leo kwenye Kongamano la BAVICHA Tabata, DSM.
My take:
Chaedema na Mbowe wameamua kumjaribu Mama? Wataweza kweli?