Mbowe: Hatutompa muda Rais na hatukubali. Viongozi wa CHADEMA watakiwa kujiandaa kuanza mikutano nchi nzima

Mbowe: Hatutompa muda Rais na hatukubali. Viongozi wa CHADEMA watakiwa kujiandaa kuanza mikutano nchi nzima

Flash back...

3:42 am

3:44 am

3:46 am

3:47 am

3:49 am

5:12 am

6:08 am

6:12 am

Huyu mchangiaji ndiye zandrano, wajinga ambao CCM imewatuma na inawatumia humu JF kutetea utawala ambao licha ya kiongozi wake Mkuu kuapa kuwa ataihifadhi, kuilinda na kuitetea Katiba, hana ujasiri wa kuheshimu kiapo chake.

Kiongozi ambaye hana ujasiri wa kuheshimu kiapo chake wala kuona umuhimu wa kufanya hivyo si mwaminifu na hatufai, period!

Ingawa sote tunajua kuwa mtaji wa CCM ni ujinga, lakini inapofikia kiwango hiki ni hatari kwa usalama wa taifa. Kama ni ugaidi, huo ni mfano tosha kwa jinsi haya matakataka kama zandrano yanavyotumia ujinga wao kulipeleka taifa kusiko.
Hahhaa akina Kawe Allumn wamekuja kivingine akina Stroke na Kipara kipya. Hawa ni akina Magonjwa mutambuka😅😅😅
 
Baada ya Rais kusema kuwa anataka apewe muda ili ajenge uchumi kwanza na mambo ya katiba na mikutano ya hadahara itafata baadae.

Mh Mbowe leo amesema wazi kuwa hawatompa muda Rais samia na hawatakubali bali watafanya mikutano ya hadhara na watadai katiba kwa njia yeyote ile inayofaa na ikiwezekna wataingia barabarani kuidai katiba... na kwa sasa swala la katiba ni lazima watake wasitake ni lazima katiba ipatikane.

“Ombi la Rais Sami kwamba tumpe muda kuhusu suala la katiba, hatupo tayari kumpa muda na natoa agizo kwa Viongozi Nchi nzima wajiandae kwa mikutano ya hadhara siku ambayo tutaitangaza".

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akizungumza leo kwenye Kongamano la BAVICHA Tabata, DSM.

"Tutaidai Katiba mpya asubuhi, mchana hadi usiku. Kama wanataka tukae mezani, turidhie. Kama wasiporidhia, tutakutana barabarani. Hatutaridhia kushiriki Uchaguzi wowote bila kuwa na Katiba mpya au Tume Huru ya Uchaguzi.

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akizungumza leo kwenye Kongamano la BAVICHA Tabata, DSM.

My take:
Chaedema na Mbowe wameamua kumjaribu Mama? Wataweza kweli?
mameishia njiani mkuu
 
Mleta umejitahidi kuandika vizuri mno mwenye akili timamu hata robo atakuelewa lakini asijielewa atajijua watanzania no watu wa aina ya tofauti duniani wote asilimia kubwa ni waandishi wa habari ukiwa jasiri wataenda kila mtaa na Kijiji kutangaza kuwa wewe jasiri huogopi mtu ukidakwa polisi wakakutwanga virungu na risasi barabara kote hata mabaa wataeifia jeshi la polisi kuwa ohhh jamaa aliyejifanya jasiri leo kapata kipigo Cha mbwa Koko kutoka jeshi la polisi acha tu polisi wako fit na hawaji kukupa dhamana utahangaika wewe na familia yako

Familia yako ndio watateseka wenyewe wanaendelea na maisha Kama kawaida
 
Mama si dhalimu, dhulumati, mwizi, bazazi, bedui wala kizabazabina!

Mama anajua waungwana huongea wakashawishiana kwa hoja.
😂😂😂🤣🤣🤣😅😅😅😀😀😀😆😆😉tulia ivo ivo tuwashughulikie mataga
 
😂😂😂🤣🤣🤣😅😅😅😀😀😀😆😆😉tulia ivo ivo tuwashughulikie mataga

Kwani wewe unaona tatizo gani hadi hapo?

Mbona kila kitu kipo clear kuliko maji?
 
Mbowe mwenyewe alijichaganya hapo kumjaribu mama ona sasa yuko jela CDM imepoteana. CDM waje na mipango mipya ya kufanya siasa na kutoa hamasa pia kuepuka clashes na dola na kuwa jela kumewapotezea focus

Kwamba Mbowe alijichanganya?

Huu ubingwa wa ukosoaji umekuwa ukiongelewa kwa muda sasa. Kwani nini kimebadilika au nini ambacho sasa ni kipya? Au ambacho hakikujulikana kabla?

Huu ubingwa wa kukosoa kutoka nje ya uwanja unaweza kuwa siyo wenyewe. Au unasema je dada?
 
Kwani wewe unaona tatizo gani hadi hapo?

Mbona kila kitu kipo clear kuliko maji?
Ndo hapo nashangaa kelele zinaanzia wapi wakati nchi ina furaha..mama anatutabasamisha watz
 
Ndo hapo nashangaa kelele zinaanzia wapi wakati nchi ina furaha..mama anatutabasamisha watz

Mtu kufanya vizuri kwa miezi au miaka fulani hakuna maana ndiyo moja kwa moja imetoka hiyo!

Au wewe ndiyo kuwasili tokea Mars?

Tofautisha kumwunga mkono mtu na kuwa chawa wake.

Au nasema uongo bwana Jumbe Brown
 
Kwamba Mbowe alijichanganya?

Huu ubingwa wa ukosoaji umekuwa ukiongelewa kwa muda sasa. Kwani nini kimebadilika au nini ambacho sasa ni kipya? Au ambacho hakikujulikana kabla?

Huu ubingwa wa kukosoa kutoka nje ya uwanja unaweza kuwa siyo wenyewe. Au unasema je dada?
Kutokutumia akili kumemweka jela had aje kutoka chama kishapoteana, sasa ubabe wa kijinga ni hasara kwa upinzani na taifa kiujumla daily ma case na kusahau kuendeleza chama. Ndio maana tangu 2015 CDM wamepoteana na raia kuwachoka, acheni huu ujinga kwa kweli
 
Shhhh!

Tuna ya msingi zaidi kwa sasa. Kama hujui Mh. Mbowe ni sehemu ya yamuhimu hayo:

Usiichukulie cdm kwenye maana finyu kama unavyoidhania. Hata hivyo sikukatazi kuendelea kujidanganya:

1. Katiba mpya ni kipaumbele lakini si kuliko Corona.
2. Mbowe ni kipaumbele lakini si kuliko mustakabala wa watu wake kuhusu Corona.

Hata Mabosi wenu wanajua ngoma ndiyo kwanza bado asubuhi. Kumbe wapambe mnadhani imeisha?

Hata hivyo, au tufanye imekwisha basi, na cdm haipo tena.

Umefurahi eeh 😂😂😂😂?

Jumbe Brown wafunde nduguzo hawa wenye kudhani vita ni lele mama.
 
Mtu kufanya vizuri kwa miezi au miaka fulani hakuna maana ndiyo moja kwa moja imetoka hiyo?

Au wewe ndiyo kuwasili tokea Mars?

Tofautisha kumwunga mkono mtu na kuwa chawa wake.

Au nasema uongo bwana Jumbe Brown
🤣
Mh.Rais SSH alisema atakutana na upinzani.....

Mh.Rais SSH alisema kuwa apewe muda aujenge uchumi.....

Nilitegemea HARAKATI KUNTU za CHADEMA wazianze baada tu ya MKUTANO WAO NA MH.RAIS.....ila kwa kuwa "wanacheza kete yao ya kisiasa" basi hatuwezi kuwashangaa sana.......

Eti mkuu ,siasa zenu ni za "tug of war" kupelekea REGIME CHANGE through endless riots and sits-in?!!!

#SerikaliMbiliMilele
#JMTMilele
#NchiKwanzaKablaYaYeyote
#KaziIendelee
 
Mbowe mwenyewe alijichaganya hapo kumjaribu mama ona sasa yuko jela CDM imepoteana. CDM waje na mipango mipya ya kufanya siasa na kutoa hamasa pia kuepuka clashes na dola na kuwa jela kumewapotezea focus
Moja ya Message Mzee wangu alinipa ni kuwa, wanawake wengi kiasili ni watu wakarimu na wamaelewano, ila akikuchoka, hugeuka adui mbaya zaidi ya mwanaume na maamuzi yake huwezi yatarajia. Akigeuka from A haendi B, bali ni X, na humrudishi.

Samia toka alipoingia madarakani amekuwa fair sana kwa wapinzani, lakini walitaka mpanda kichwani na kutaka kumuonea namna fulani, kama mwanamke. I think it is a message, 'msinichezee, mimi ni Amir jeshi'. Kwa sasa nadhani watamuheshimu, kumfungulia mashtaka ya ugaidi Mkuu wa upinzani nchini, inahitaji ujasiri wa hali ya juu, hata Magufuli hakufika level hiyo.
 
Shhhh!

Tuna ya msingi zaidi kwa sasa. Kama hujui Mh. Mbowe ni sehemu ya yamuhimu hayo:

Usiichukulie cdm kwenye maana finyu kama unavyoidhania. Hata hivyo sikukatazi kuendelea kujidanganya:

1. Katiba mpya ni kipaumbele lakini si kuliko Corona.
2. Mbowe ni kipaumbele lakini si kuliko mustakabala wa watu wake kuhusu Corona.

Hata Mabosi wenu wanajua ngoma ndiyo kwanza bado asubuhi. Kumbe wapambe mnadhani imeisha?

Hata hivyo, au tufanye imekwisha basi, na cdm haipo tena.

Umefurahi eeh 😂😂😂😂?

Jumbe Brown wafunde nduguzo hawa wenye kudhani vita ni lele mama.
🤣🤣Kumbe wenzetu mko vitani ee?!!

Miongoni mwa kufikia huko ni regime change through endless demostrations?!!!🤣

Komredi ee BAWACHA wamekwenda UBALOZI WA US...majibu yao umeyaona eee?!!!

#TanzaniaIsASovereignNation
#KaziIendelee
 
Kipi kisichojulikana? Kipi hakikujulikana au kipi hakijulikani?

Au mara ghafla bin vuuu, umesahau. Acha nikukumbushe kidogo:

IMG_20210704_051559_619.jpg

Viduku hawakutaka mkutano. Walihakikisha, wanahakikisha na watahakikisha mkutano kama huo haupo.

Chadema hajakosa na hatakosa options ya nini cha kufanya kukabiliana nao:

Nakazia ngoja tuchanjwe kwanza:

Wala hatuna haraka.

Habari ndiyo hiyo.
 
🤣🤣Kumbe wenzetu mko vitani ee?!!

Miongoni mwa kufikia huko ni regime change through endless demostrations?!!!🤣

Komredi ee BAWACHA wamekwenda UBALOZI WA US...majibu yao umeyaona eee?!!!

#TanzaniaIsASovereignNation
#KaziIendelee

Bwana Jumbe Brown tulikubaliana kwa vile nchi ni yetu sote kujadiliana na kushindana kwa hoja na ukweli tu.

Unayasoma wapi haya:

"Kumbe wenzetu mko vitani ee?!!'

"Miongoni mwa kufikia huko ni regime change through endless demostrations?!!!

Kwamba walikwenda ubalozi ni kweli. Lengo likiwa kupaza sauti kwani katika agenda zetu tatu:

IMG_20210728_134628_357.jpg

SSH kasema mwenyewe kuwa kwenye green kaisikia yote ila kwenye red na blue. Ni wajibu wetu basi kupaza zaidi sauti apate kusikia:

Au siyo hivyo?
 
View attachment 1874158

SSH kasema mwenyewe kuwa kwenye green kaisikia yote ila kwenye red na blue. Ni wajibu wetu basi kupaza zaidi sauti apate kusikia:

Au siyo hivyo?
🤣
Huko juu kuna comment umeandika "Vita imeanza"....

Nimekujibu kwa kukuuliza ,je hiyo Vita ndio "endless demostrations to topple the regime"?!!!

Mh.Rais alisisitiza kuongea nanyi....

Alianza vyema kwa chombo cha mahakama KUWATOA NJE UAMSHO....JK na JPM hawakufanya hayo.....

Alianza vyema kwa chombo cha mahakama kumtoa NDANI MDUDE NYAGALI na Mh.Mbowe kuwa HURU na milioni 300 kuzitia "kibindoni".....

Hamkuwa na "timing nzuri".....

Sasa nyiye mnapotangaza hiyo "Vita" wenzenu WAWAPIGIE MAKOFI YA KUWAPONGEZA?!!!

#NchiKwanza
#SerikaliMbiliMilele
#KaziIendelee
 
Raisi akifariki nchi irudi kwenye uchaguzi Ili tupate wawakilishi halali waliochaguliwa na walipa kodi.Na sio chaguo la Rais aliyefariki.
 
Back
Top Bottom