Huyu mchangiaji ndiye zandrano, wajinga ambao CCM imewatuma na inawatumia humu JF kutetea utawala ambao licha ya kiongozi wake Mkuu kuapa kuwa ataihifadhi, kuilinda na kuitetea Katiba, hana ujasiri wa kuheshimu kiapo chake.
Kiongozi ambaye hana ujasiri wa kuheshimu kiapo chake wala kuona umuhimu wa kufanya hivyo si mwaminifu na hatufai, period!
Ingawa sote tunajua kuwa mtaji wa CCM ni ujinga, lakini inapofikia kiwango hiki ni hatari kwa usalama wa taifa. Kama ni ugaidi, huo ni mfano tosha kwa jinsi haya matakataka kama zandranoyanavyotumia ujinga wao kulipeleka taifa kusiko.
Baada ya Rais kusema kuwa anataka apewe muda ili ajenge uchumi kwanza na mambo ya katiba na mikutano ya hadahara itafata baadae.
Mh Mbowe leo amesema wazi kuwa hawatompa muda Rais samia na hawatakubali bali watafanya mikutano ya hadhara na watadai katiba kwa njia yeyote ile inayofaa na ikiwezekna wataingia barabarani kuidai katiba... na kwa sasa swala la katiba ni lazima watake wasitake ni lazima katiba ipatikane.
“Ombi la Rais Sami kwamba tumpe muda kuhusu suala la katiba, hatupo tayari kumpa muda na natoa agizo kwa Viongozi Nchi nzima wajiandae kwa mikutano ya hadhara siku ambayo tutaitangaza".
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akizungumza leo kwenye Kongamano la BAVICHA Tabata, DSM.
"Tutaidai Katiba mpya asubuhi, mchana hadi usiku. Kama wanataka tukae mezani, turidhie. Kama wasiporidhia, tutakutana barabarani. Hatutaridhia kushiriki Uchaguzi wowote bila kuwa na Katiba mpya au Tume Huru ya Uchaguzi.
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akizungumza leo kwenye Kongamano la BAVICHA Tabata, DSM.
My take:
Chaedema na Mbowe wameamua kumjaribu Mama? Wataweza kweli?
Mleta umejitahidi kuandika vizuri mno mwenye akili timamu hata robo atakuelewa lakini asijielewa atajijua watanzania no watu wa aina ya tofauti duniani wote asilimia kubwa ni waandishi wa habari ukiwa jasiri wataenda kila mtaa na Kijiji kutangaza kuwa wewe jasiri huogopi mtu ukidakwa polisi wakakutwanga virungu na risasi barabara kote hata mabaa wataeifia jeshi la polisi kuwa ohhh jamaa aliyejifanya jasiri leo kapata kipigo Cha mbwa Koko kutoka jeshi la polisi acha tu polisi wako fit na hawaji kukupa dhamana utahangaika wewe na familia yako
Familia yako ndio watateseka wenyewe wanaendelea na maisha Kama kawaida
Niwasalimu kwa jina la JMT. Kama binadamu na kama rais, Mama Samia ana haki zake za msingi zikiwamo za kuwa na maoni na mawazo yake. Mtu halaumiwi wala kushutumiwa kwa maoni au mawazo yake bali kwa maamuzi na matendo. Mama anaona kuwa katiba mpya si kipaumbele chetu. Tupo tunaodhani katiba...
www.jamiiforums.com
Mama anajua waungwana huongea wakashawishiana kwa hoja.
Mbowe mwenyewe alijichaganya hapo kumjaribu mama ona sasa yuko jela CDM imepoteana. CDM waje na mipango mipya ya kufanya siasa na kutoa hamasa pia kuepuka clashes na dola na kuwa jela kumewapotezea focus
Ni wazi kuwa kwa makamanda wengi suala la chanjo ni muhimu lililokuja likiwa limechelewa mno. Inafahamika kuwa Chanjo hii imetufikia kutokea kwa tulioaminishwa kuwa ndiyo walio wachawi wetu wakuu yaani mabeberu. Ni barakoa, PPEs, sanitizers nk? Vyote vikinasibishwa na upigaji wa mchawi beberu...

Kuna thwawabu kubwa kwa wote wasimamao kuipigania haki kwa ajili ya wote. Kwa maana njia hiyo si kila mtu anaweza kuipita. Njia hii si lazima kwa kila mtu kuipita. Waipitao njia hii ni wale tu walio na wito kamili. Kama ile iendayo uzimani, ina vikwazo vingi. Kipi ambacho kamanda Mbowe...
www.jamiiforums.com
Huu ubingwa wa kukosoa kutoka nje ya uwanja unaweza kuwa siyo wenyewe. Au unasema je dada?

Mama Samia huko uliko pokea salamu hizi. Katika siku 100 zako za mwanzo ulianza vizuri ukitupa matumaini mapya nasi tukakupongeza. Lakini baada ya hizo kupita ghafla umetubadilikia. Ama kwa hakika unayoyafanya sasa si mageni hapa duniani na huu wimbo unakuhusu: "Neema alimwambia Chidumule...

Kutokutumia akili kumemweka jela had aje kutoka chama kishapoteana, sasa ubabe wa kijinga ni hasara kwa upinzani na taifa kiujumla daily ma case na kusahau kuendeleza chama. Ndio maana tangu 2015 CDM wamepoteana na raia kuwachoka, acheni huu ujinga kwa kweli

Usiichukulie cdm kwenye maana finyu kama unavyoidhania. Hata hivyo sikukatazi kuendelea kujidanganya:
1. Katiba mpya ni kipaumbele lakini si kuliko Corona.
2. Mbowe ni kipaumbele lakini si kuliko mustakabala wa watu wake kuhusu Corona.
Hata Mabosi wenu wanajua ngoma ndiyo kwanza bado asubuhi. Kumbe wapambe mnadhani imeisha?
Hata hivyo, au tufanye imekwisha basi, na cdm haipo tena.
Umefurahi eeh 😂😂😂😂?
Jumbe Brown wafunde nduguzo hawa wenye kudhani vita ni lele mama.
Mama Samia huko uliko pokea salamu hizi. Katika siku 100 zako za mwanzo ulianza vizuri ukitupa matumaini mapya nasi tukakupongeza. Lakini baada ya hizo kupita ghafla umetubadilikia. Ama kwa hakika unayoyafanya sasa si mageni hapa duniani na huu wimbo unakuhusu: "Neema alimwambia Chidumule...
Mh.Rais SSH alisema kuwa apewe muda aujenge uchumi.....
Nilitegemea HARAKATI KUNTU za CHADEMA wazianze baada tu ya MKUTANO WAO NA MH.RAIS.....ila kwa kuwa "wanacheza kete yao ya kisiasa" basi hatuwezi kuwashangaa sana.......
Eti mkuu ,siasa zenu ni za "tug of war" kupelekea REGIME CHANGE through endless riots and sits-in?!!!
Mbowe mwenyewe alijichaganya hapo kumjaribu mama ona sasa yuko jela CDM imepoteana. CDM waje na mipango mipya ya kufanya siasa na kutoa hamasa pia kuepuka clashes na dola na kuwa jela kumewapotezea focus
Moja ya Message Mzee wangu alinipa ni kuwa, wanawake wengi kiasili ni watu wakarimu na wamaelewano, ila akikuchoka, hugeuka adui mbaya zaidi ya mwanaume na maamuzi yake huwezi yatarajia. Akigeuka from A haendi B, bali ni X, na humrudishi.
Samia toka alipoingia madarakani amekuwa fair sana kwa wapinzani, lakini walitaka mpanda kichwani na kutaka kumuonea namna fulani, kama mwanamke. I think it is a message, 'msinichezee, mimi ni Amir jeshi'. Kwa sasa nadhani watamuheshimu, kumfungulia mashtaka ya ugaidi Mkuu wa upinzani nchini, inahitaji ujasiri wa hali ya juu, hata Magufuli hakufika level hiyo.
Ni wazi kuwa kwa makamanda wengi suala la chanjo ni muhimu lililokuja likiwa limechelewa mno. Inafahamika kuwa Chanjo hii imetufikia kutokea kwa tulioaminishwa kuwa ndiyo walio wachawi wetu wakuu yaani mabeberu. Ni barakoa, PPEs, sanitizers nk? Vyote vikinasibishwa na upigaji wa mchawi beberu...
www.jamiiforums.com
Usiichukulie cdm kwenye maana finyu kama unavyoidhania. Hata hivyo sikukatazi kuendelea kujidanganya:
1. Katiba mpya ni kipaumbele lakini si kuliko Corona.
2. Mbowe ni kipaumbele lakini si kuliko mustakabala wa watu wake kuhusu Corona.
Hata Mabosi wenu wanajua ngoma ndiyo kwanza bado asubuhi. Kumbe wapambe mnadhani imeisha?
Hata hivyo, au tufanye imekwisha basi, na cdm haipo tena.
Umefurahi eeh 😂😂😂😂?
Jumbe Brown wafunde nduguzo hawa wenye kudhani vita ni lele mama.
CHADEMA wamejipambanua wazi wazi ya kuwa nini wanataka. Agenda yao ya uhuru, usawa na haki haipendezi sana miongoni mwa madhulumati na wanufaika wa hali iliyopo sasa. Rais Samia kajipambanua kuwa hataki dhuluma bali anataka usawa na haki kwa wote. Mama ameonyesha utayari wa kuonana na makundi...
Ni wazi kuwa kwa makamanda wengi suala la chanjo ni muhimu lililokuja likiwa limechelewa mno. Inafahamika kuwa Chanjo hii imetufikia kutokea kwa tulioaminishwa kuwa ndiyo walio wachawi wetu wakuu yaani mabeberu. Ni barakoa, PPEs, sanitizers nk? Vyote vikinasibishwa na upigaji wa mchawi beberu...
Amesikika mheshimiwa SSH jana akiongelea tozo za miamala na bei za mbolea. Akijinasibu kuwa huko ndiko kusikia kwa serikali yake sikivu. Ikumbukwe kuwa za moto zaidi kwenye ajenda zimekuwa: 1. Ongezeko la kodi na tozo mbalimbali. 2. Vita dhidi ya Corona ikiwamo chanjo na tahadhari husika. 3...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.