Mbowe hawezi kushinda hii kesi. Rais Samia amsamehe bure

Nimlishuka kidogo kuona jamaa mmoja aliyekuwa anazunguka na lissu kwenye kampeni akiomba dua za ajabu kuwa ndio msemaji wa familia ya gaidi hamza kwenye mazishi yake
 
Mbowe ni mkorofi alitaka nchi isitawalike kwa kuleta vurugu na maandamano. Wacha atulie huko
Kumbe hamkumkata kwa makosa ya kisheria.

Hamna uwezo wa kushindana na uppinzani kubalini tu mpate msaada wa policcm na vyombo vyengine vya dola kinyume chake mtabakia kwa nguvu za doal tu.

Lakini mjue chenye mwanzo kina mwisho ulitarajia kwamba jiwe angekufa na wakati mllimpangia atawale milele?
 
Mliwahi kumfunga nani kwa sheria?
 
Akiweza kupangua hii hoja/majibu yenye akili nijulishe.
Thubutu.. kwa vile akili zake amemkabidhi mwenyekiti wake atembee nazo, basi usitegemee jamaa awe na akili ya akiba kujibu hoja yang. Kabaki anaruka ruka kama kuku aliekatwa kichwa na mganga.
 
Mmeona kina kirefu sasa mmetia mpira kwapani mnaomba busara itumike, safi sana.

Huu ndio uungwana wa kuchutama, ukichojolewa nguo.
 
Hata Magufuli alikuwa na jeuri kama hii.
Kama wanamshitak kwa hila Mungu wa haki na kweli atawaadhibu.
Amina.
 
Hakuna kesi hapo, wanampotezea muda wake tu!
 
Kwa bahati nzuri ni kwamba katiba hiyo hiyo ya HOVYO ambayo chief hangaya anaipinga, ndiyo itakayo tumika KUMTUPA NJE huko kwenye kinyang'anyiro cha mgombea u-rais wa sisiemu 2025 kutokana na u-zanzibari wake..
 
KESI YA KUBAMBIKIZWA SIO RAHISI KUSHINDA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…