Kama aliweza kumbebesha mkewe mama Janet Lori zima la mchanga usiku kwa karai kisa Dreva kamwaga mahali tofauti na alipoelekeza yeye asubuhi KWELI Mwendazake alikuwa Shujaa.Mbowe: Hayati rais Magufuli alikuwa na kipaji cha uthubutu wa hali juu, hakuwa mvivu hata kidogo.
Msema kweli mpenzi wa Mungu
Shujaa ataendelea kuishi kwa yale mema mengi, makubwa na magumu aliyofanya.
Kama aliweza kumbebesha mkewe mama Janet Lori zima la mchanga usiku kwa karai kisa Dreva kamwaga mahali tofauti na alipoelekeza yeye asubuhi KWELI Mwendazake alikuwa Shujaa.
Na sisi Watanzania ushujaa wa namna hiyo hatuutaki, apeleke zake huko jehanam
Kabisa mkuu.The president who really loved his people
Unampinga mbowe?Kama aliweza kumbebesha mkewe mama Janet Lori zima la mchanga usiku kwa karai kisa Dreva kamwaga mahali tofauti na alipoelekeza yeye asubuhi KWELI Mwendazake alikuwa Shujaa.
Na sisi Watanzania ushujaa wa namna hiyo hatuutaki, apeleke zake huko jehanam
Huyo ni nyumbu yeye anaimbishwa kutoka twita,Kama vile nakuona ulivyokua mlinzi wa getini wakati huo mchanga ukibebwa usiku kwa karai[emoji849][emoji849][emoji849]
Hebu tuambie wakati anaubeba wewe ulimsaidia karai ngapi?
Watanzania acheni basi umbea chapeni kazi
Kama vile nakuona ulivyokua mlinzi wa getini wakati huo mchanga ukibebwa usiku kwa karai🙄🙄🙄
Hebu tuambie wakati anaubeba wewe ulimsaidia karai ngapi?
Watanzania acheni basi umbea chapeni kazi
Kwenye uthubutu Lissu na Dr Slaa are way ahead..... Imagine Lissu awe Rais hvi kuna fisadi wa CCM angepona?Sio kitoto mkuu.
Golden chance never came twice
Jasmoni Tegga
Na kilichomkuta mzee kinaweza kuogopesha watu wa aina yake kutaka kuongoza nchi.
Je nani anaweza kuwa kama yeye au zaidi ?
Kuna vitu muelewe hta Gadaffi na Kagame hakuna anayepinga kwamba walichapa kazi issue inakuja kwenye uongozi je JPM was a leader?Ukweli kwenye uongo hujitenga,kupinga ilikuwa ni kazi yenu ila mnamkubali sana,na isitoshe hayo ameyaongea akiwa mzima sio kwamba katumia kilevi chohote...
Kwenye uthubutu Lissu na Dr Slaa are way ahead..... Imagine Lissu awe Rais hvi kuna fisadi wa CCM angepona?
Kwangu mimi namuona Lissu kma kiongozi mwenye uthubutu.... Ni yeye pekee aliweza kuface mabeberu kwenye migodi waliokua wanapoka haki za wananchi maskini, pekee aliyeiface CCM kudai katiba kwenye BMK kwa hoja nzito zaidi, pekee aliyemface JPM uso kwa uso bila kuogopa. Let's get real Lissu is underrated. Changamoto nayoiona anaweza kuwa dikteta zaidi ya JPM.
Kuna vitu muelewe hta Gadaffi na Kagame hakuna anayepinga kwamba walichapa kazi issue inakuja kwenye uongozi je JPM was a leader?
Kama issue ni uchapakazi basi Makaburu wangeachwa waongoze SA maana tokea wameacha serikali uchumi wa SA sio stable kma enzi zao. Hitler alichaoa kazi hadi Germany ikapaa kiuchumi duniani so Uwajibikaji usiwe kichaka cha kuficha madhaifu.
Punguza utoto..... Lissu lini kawa mtetezi wa mashoga? Yeye alichokiongea ni kwamba privacy za watu ziheshimiwe na serikali inapeleka muswada bungeni ku seal hiyo sheria ya kulinda privacy ili kuepuka stalkers na surveillance kwa personal life ya mtu!! Je nao wana support ushoga?Wenye uthubutu wanakuwa presidents, sawa!??? Mwenzio kapata teuzi juzi kuwa mtetezi wa mashoga Afrika. Pathetic fact!!! Hicho ndicho angekileta Tanzania.
Anayefuata misingi 11 ya demokrasiaWho is a leader, according to you!???
UKIWA NA AKILI ZA MATAKONI LAZIMA UWE NA MAWAZO HAYO UNAYOYASEMAKama aliweza kumbebesha mkewe mama Janet Lori zima la mchanga usiku kwa karai kisa Dreva kamwaga mahali tofauti na alipoelekeza yeye asubuhi KWELI Mwendazake alikuwa Shujaa.
Na sisi Watanzania ushujaa wa namna hiyo hatuutaki, apeleke zake huko jehanam
Watembelee nyota ya mwizi wa kura? JPM is overrated mbona Lissu alimpelekesha vile kwenye kampeni. Ameshakufa move on hawezi fufuka wala nni mnapoteza muda tu kuongelea nyota yake cjui Mbowe kasema vile.Sasa taanza muelewa Mbowe kama atakuwa naongea ukweli penye kupasa kusema ukweli.
Niliwahi kusema humu atakayetembelea nyota ya JPM kwenye uchguzi atakuwa na nafasi kubwa ya kutoboa tusubiri muda utaongea.
Umeme wa jua upo kwenye ilani ya CCM ambayo JPM mwenyewe alinadi!! Msipotoshe na mazungumzo ya huo mradi yamefanyika since 2018 huko sio kitu cha wiki mbiliUpo sahihi.
Ni masikitiko tuu na sometimes mtu unaweza kumkufuru Mungu, kwanini yeye JPM kwani hakukua na mwengine ?
Miezi mitatu tuu wameenda kukopa hela kwa ajiri ya umeme wa jua, yani umeme wa jua kweli ? 2115MW hazitoshi, Magufuli was the utmost brain of operation needed for this country Mzee alikua na mikakati sana tena sana, na mikakati ni ile ya kugusa Taifa kwa mapana yote sio mambo kama kupeleka gesi kenya.
yaaani ndio ukweli,
Kuwa na uthubutu KWA kufanya maamuzi magumu ni Jambo moja,na kufanya maamuzi magumu na yenye tija ni Jambo lingine, wenda mtu asielewe kauli mh Mbowe ila ililenga katika mkutadha husikaKuna video inazunguka mitandaoni ikimuonyesha mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akikiri kuwa hayati rais Magufuli alikuwa na kipaji cha uthubutu wa hali ya juu na alifanya maamuzi magumu kwelikweli ambayo kwa kiongozi wa kawaida asingeweza.
Mbowe amesema Magufuli hakuwa mvivu hata kidogo na alichapa kazi kwelikweli usiku na mchana na kuwataka Chadema kama wanataka kufanikiwa lazima waige tabia hiyo.
Kuanzia 11: 07
Wewe maamuzi yako yenye tija kwa taifa ni yapi?Kuwa na uthubutu KWA kufanya maamuzi magumu ni Jambo moja,na kufanya maamuzi magumu na yenye tija ni Jambo lingine, wenda mtu asielewe kauli mh Mbowe ila ililenga katika mkutadha husika
JPM hakuwahi kuwa chaguo la Mungu...... Haiwezekani mtu wa Mungu atumie ushirikina. Ambacho nakubali kwa JPM alikua na uthubutu and NIA njema lwa taifa tatizo lilikuja kwenye utekelezaji na ukatili wake basi.Kila mtu, including his enemies, aliamini kwamba JPM alikuwa chaguo la Mungu na alikuja kwa utashi kutoka juu. Je tuamini kwamba the very same GOD ameenda likizo, au ameishiwa nguvu sasa au haipenda tena nchi yetu kiasi kwamba hawezi kutupatia mwingine!??? Nothing is IMPOSSIBLE with GOD!!!