Mbowe: Hayati Rais Magufuli alikuwa na kipaji cha uthubutu wa hali ya juu, hakuwa mvivu hata kidogo

Mbowe: Hayati rais Magufuli alikuwa na kipaji cha uthubutu wa hali juu, hakuwa mvivu hata kidogo.

Msema kweli mpenzi wa Mungu

Shujaa ataendelea kuishi kwa yale mema mengi, makubwa na magumu aliyofanya.
Kama aliweza kumbebesha mkewe mama Janet Lori zima la mchanga usiku kwa karai kisa Dreva kamwaga mahali tofauti na alipoelekeza yeye asubuhi KWELI Mwendazake alikuwa Shujaa.

Na sisi Watanzania ushujaa wa namna hiyo hatuutaki, apeleke zake huko jehanam
 
Kama vile nakuona ulivyokua mlinzi wa getini wakati huo mchanga ukibebwa usiku kwa karai🙄🙄🙄
Hebu tuambie wakati anaubeba wewe ulimsaidia karai ngapi?
Watanzania acheni basi umbea chapeni kazi
 
Unampinga mbowe?
 
Kama vile nakuona ulivyokua mlinzi wa getini wakati huo mchanga ukibebwa usiku kwa karai[emoji849][emoji849][emoji849]
Hebu tuambie wakati anaubeba wewe ulimsaidia karai ngapi?
Watanzania acheni basi umbea chapeni kazi
Huyo ni nyumbu yeye anaimbishwa kutoka twita,
 
Kama vile nakuona ulivyokua mlinzi wa getini wakati huo mchanga ukibebwa usiku kwa karai🙄🙄🙄
Hebu tuambie wakati anaubeba wewe ulimsaidia karai ngapi?
Watanzania acheni basi umbea chapeni kazi

Kuna mambo ^ma-tar-two^ two ambayo baadhi ya Watanzania sampuli yake huyo wanayaweza na kuyamudu vizuri:

1. Umbeya
2. Umbeya
3. Umbeya
 
Sio kitoto mkuu.
Golden chance never came twice

Jasmoni Tegga
Na kilichomkuta mzee kinaweza kuogopesha watu wa aina yake kutaka kuongoza nchi.
Je nani anaweza kuwa kama yeye au zaidi ?
Kwenye uthubutu Lissu na Dr Slaa are way ahead..... Imagine Lissu awe Rais hvi kuna fisadi wa CCM angepona?

Kwangu mimi namuona Lissu kma kiongozi mwenye uthubutu.... Ni yeye pekee aliweza kuface mabeberu kwenye migodi waliokua wanapoka haki za wananchi maskini, pekee aliyeiface CCM kudai katiba kwenye BMK kwa hoja nzito zaidi, pekee aliyemface JPM uso kwa uso bila kuogopa. Let's get real Lissu is underrated. Changamoto nayoiona anaweza kuwa dikteta zaidi ya JPM.
 
Ukweli kwenye uongo hujitenga,kupinga ilikuwa ni kazi yenu ila mnamkubali sana,na isitoshe hayo ameyaongea akiwa mzima sio kwamba katumia kilevi chohote...
Kuna vitu muelewe hta Gadaffi na Kagame hakuna anayepinga kwamba walichapa kazi issue inakuja kwenye uongozi je JPM was a leader?

Kama issue ni uchapakazi basi Makaburu wangeachwa waongoze SA maana tokea wameacha serikali uchumi wa SA sio stable kma enzi zao. Hitler alichaoa kazi hadi Germany ikapaa kiuchumi duniani so Uwajibikaji usiwe kichaka cha kuficha madhaifu.
 
Kwenye uthubutu Lissu na Dr Slaa are way ahead..... Imagine Lissu awe Rais hvi kuna fisadi wa CCM angepona?

Kwangu mimi namuona Lissu kma kiongozi mwenye uthubutu.... Ni yeye pekee aliweza kuface mabeberu kwenye migodi waliokua wanapoka haki za wananchi maskini, pekee aliyeiface CCM kudai katiba kwenye BMK kwa hoja nzito zaidi, pekee aliyemface JPM uso kwa uso bila kuogopa. Let's get real Lissu is underrated. Changamoto nayoiona anaweza kuwa dikteta zaidi ya JPM.

Wenye uthubutu wanakuwa presidents, sawa!??? Mwenzio kapata teuzi juzi kuwa mtetezi wa mashoga Afrika. Pathetic fact!!! Hicho ndicho angekileta Tanzania.
 
Sasa taanza muelewa Mbowe kama atakuwa naongea ukweli penye kupasa kusema ukweli.

Niliwahi kusema humu atakayetembelea nyota ya JPM kwenye uchguzi atakuwa na nafasi kubwa ya kutoboa tusubiri muda utaongea.
 
Kuna vitu muelewe hta Gadaffi na Kagame hakuna anayepinga kwamba walichapa kazi issue inakuja kwenye uongozi je JPM was a leader?

Kama issue ni uchapakazi basi Makaburu wangeachwa waongoze SA maana tokea wameacha serikali uchumi wa SA sio stable kma enzi zao. Hitler alichaoa kazi hadi Germany ikapaa kiuchumi duniani so Uwajibikaji usiwe kichaka cha kuficha madhaifu.

Who is a leader, according to you!???
 
Wenye uthubutu wanakuwa presidents, sawa!??? Mwenzio kapata teuzi juzi kuwa mtetezi wa mashoga Afrika. Pathetic fact!!! Hicho ndicho angekileta Tanzania.
Punguza utoto..... Lissu lini kawa mtetezi wa mashoga? Yeye alichokiongea ni kwamba privacy za watu ziheshimiwe na serikali inapeleka muswada bungeni ku seal hiyo sheria ya kulinda privacy ili kuepuka stalkers na surveillance kwa personal life ya mtu!! Je nao wana support ushoga?

Tafuteni mambo ya msingi.... Tatizo lenu hamuoni udhaifu wa kiutendaji wa Lissu hana ufisadi wala skendo so mnateseka pa kumkamatia mmekosa. Aliyetaka kumuua ndio ametangulia

Mungu ni mkubwa
 
Kama aliweza kumbebesha mkewe mama Janet Lori zima la mchanga usiku kwa karai kisa Dreva kamwaga mahali tofauti na alipoelekeza yeye asubuhi KWELI Mwendazake alikuwa Shujaa.

Na sisi Watanzania ushujaa wa namna hiyo hatuutaki, apeleke zake huko jehanam
UKIWA NA AKILI ZA MATAKONI LAZIMA UWE NA MAWAZO HAYO UNAYOYASEMA
 
Sasa taanza muelewa Mbowe kama atakuwa naongea ukweli penye kupasa kusema ukweli.

Niliwahi kusema humu atakayetembelea nyota ya JPM kwenye uchguzi atakuwa na nafasi kubwa ya kutoboa tusubiri muda utaongea.
Watembelee nyota ya mwizi wa kura? JPM is overrated mbona Lissu alimpelekesha vile kwenye kampeni. Ameshakufa move on hawezi fufuka wala nni mnapoteza muda tu kuongelea nyota yake cjui Mbowe kasema vile.
 
Upo sahihi.
Ni masikitiko tuu na sometimes mtu unaweza kumkufuru Mungu, kwanini yeye JPM kwani hakukua na mwengine ?
Miezi mitatu tuu wameenda kukopa hela kwa ajiri ya umeme wa jua, yani umeme wa jua kweli ? 2115MW hazitoshi, Magufuli was the utmost brain of operation needed for this country Mzee alikua na mikakati sana tena sana, na mikakati ni ile ya kugusa Taifa kwa mapana yote sio mambo kama kupeleka gesi kenya.

yaaani ndio ukweli,
Umeme wa jua upo kwenye ilani ya CCM ambayo JPM mwenyewe alinadi!! Msipotoshe na mazungumzo ya huo mradi yamefanyika since 2018 huko sio kitu cha wiki mbili
 
Kuna video inazunguka mitandaoni ikimuonyesha mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akikiri kuwa hayati rais Magufuli alikuwa na kipaji cha uthubutu wa hali ya juu na alifanya maamuzi magumu kwelikweli ambayo kwa kiongozi wa kawaida asingeweza.

Mbowe amesema Magufuli hakuwa mvivu hata kidogo na alichapa kazi kwelikweli usiku na mchana na kuwataka Chadema kama wanataka kufanikiwa lazima waige tabia hiyo.

Kuanzia 11: 07

Kuwa na uthubutu KWA kufanya maamuzi magumu ni Jambo moja,na kufanya maamuzi magumu na yenye tija ni Jambo lingine, wenda mtu asielewe kauli mh Mbowe ila ililenga katika mkutadha husika
 
Wewe maamuzi yako yenye tija kwa taifa ni yapi?
 
Kila mtu, including his enemies, aliamini kwamba JPM alikuwa chaguo la Mungu na alikuja kwa utashi kutoka juu. Je tuamini kwamba the very same GOD ameenda likizo, au ameishiwa nguvu sasa au haipenda tena nchi yetu kiasi kwamba hawezi kutupatia mwingine!??? Nothing is IMPOSSIBLE with GOD!!!
JPM hakuwahi kuwa chaguo la Mungu...... Haiwezekani mtu wa Mungu atumie ushirikina. Ambacho nakubali kwa JPM alikua na uthubutu and NIA njema lwa taifa tatizo lilikuja kwenye utekelezaji na ukatili wake basi.

Angefaa uwaziri wa ujenzi tu angeacha legacy kubwa zaidi.
 
Back
Top Bottom