Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni nyumbu yeye anaimbishwa kutoka twita,
Hakika madaraja hayawezi replace utu wa mtu.Ni ukweli usiofichika. Ila ukatili wake ndiyo ulimponza.
Unampinga mbowe?JPM hakuwahi kuwa chaguo la Mungu...... Haiwezekani mtu wa Mungu atumie ushirikina. Ambacho nakubali kwa JPM alikua na uthubutu and NIA njema lwa taifa tatizo lilikuja kwenye utekelezaji na ukatili wake basi.
Angefaa uwaziri wa ujenzi tu angeacha legacy kubwa zaidi.
Bila shaka ulikuwa mpiga dili mzuri kabla ya JPM, baada mzee kuingia alipangua dili zote kanjanja ukabaki kupiga miayo tu [emoji2][emoji2]Uchapakazi ule wa MAGUFULI hakupaswa kua RAISI.
Alitakiwa awe PM, ili achape Sana KAZI Ila awe na mtu juu yake wa kumcontrol.
Kosa tulilofanya Ni kumkabidhi RUNGU kabisa.
Aisee,
sitosahau maishani Alituburuza kisawasawa.
JPM hakuwahi kuwa chaguo la Mungu...... Haiwezekani mtu wa Mungu atumie ushirikina. Ambacho nakubali kwa JPM alikua na uthubutu and NIA njema lwa taifa tatizo lilikuja kwenye utekelezaji na ukatili wake basi.
Angefaa uwaziri wa ujenzi tu angeacha legacy kubwa zaidi.
Punguza jazba Bwashee[emoji2]Huna akili kabisa unataka mchapakazi awe chini ya mtu ambaye siyo mchapakazi?
Ili mchapakazi akiamua tujenge SGR alafu kiongozi asiyemchapakazi anamwambia hilo haliwezekani achana nalo?
Ulimponza kivipi na kwa nani?Ni ukweli usiofichika. Ila ukatili wake ndiyo ulimponza.
Kwa nini nimsaidie Mimi kazi kapewa na mumewe DIKTETA?Kama vile nakuona ulivyokua mlinzi wa getini wakati huo mchanga ukibebwa usiku kwa karai🙄🙄🙄
Hebu tuambie wakati anaubeba wewe ulimsaidia karai ngapi?
Watanzania acheni basi umbea chapeni kazi
Tofautisha mtu anayekosoa Utawala mbovu wa Serikali na mtu wa CHADEMA. Mimi siyo CDM, Mimi ni CCM ninayejutambua na ninayetaka haki itendeke.Unampinga mbowe?
Hakuna tusi jipya utalotukana leo liniume kwa kuwa matusi yapo kuanzia binadamu alipoumbwa.UKIWA NA AKILI ZA MATAKONI LAZIMA UWE NA MAWAZO HAYO UNAYOYASEMA
HOJAZA KIJINGA NANI ANAZITAKAHakuna tusi jipya utalotukana leo liniume kwa kuwa matusi yapo kuanzia binadamu alipoumbwa.
Ukiona mtu anatukana ujuwe umemzidi hoja
Kumbe umekuja kutafuta wanaume humu?Unamkana mmeo mboe?
Wasio na akili kwa kiwango chako huwa ni chademaTofautisha mtu anayekosoa Utawala mbovu wa Serikali na mtu wa CHADEMA. Mimi siyo CDM, Mimi ni CCM ninayejutambua na ninayetaka haki itendeke.
Nilimchagua Magufuli kwa kura yangu na wanangu wote pale mwakab 2015. Lakini Magufuli alipoanza UDIKTETA na kunyamazisha vyombo vya habari na Uhuru wa kujieleza na kutofuata Utawala wa Sheria, nikimpinga kuanzia 2016 Januari hadi anazikwa Chato. Na nitaendelea kupinga UJINGA wake ambao watu wanauendeleza.
Ila sasa Mimi niko na Rais SSH kwa kuwa anatupeleka namna inavyostahili
Hapo haipo....ngoja nikuangalizie you tube....mi niliiona huko.Mi mbona siioni unaweza kuiattach hapa?
Huwa wanakuaga wachache sana watu wa sampuli yake.Mbaya zaidi anaweza asitokee aliye kama yeye daima hapa Tanzania. I mean it
Kuna video inazunguka mitandaoni ikimuonyesha mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akikiri kuwa hayati rais Magufuli alikuwa na kipaji cha uthubutu wa hali ya juu na alifanya maamuzi magumu kwelikweli ambayo kwa kiongozi wa kawaida asingeweza.
Mbowe amesema Magufuli hakuwa mvivu hata kidogo na alichapa kazi kwelikweli usiku na mchana na kuwataka Chadema kama wanataka kufanikiwa lazima waige tabia hiyo.
Kuanzia 11: 07
My take:
Mbowe ameamua kuwavua nguo makamanda? Ama kweli unafiki haulipi hata mwaka haujaisha nafsi zimeanza kuwasuta na kuanza kusema ukweli kuwa upingaji wao kwa Magufuli kumbe ulikuwa unafiki tu.