Tetesi: Mbowe Hotels na Tanzania Daima kupunguza wafanyakazi na mishahara kushushwa

Uonyeshe hapa huo uhalisia wenyewe!
Lusinde alisema sikuizi wanachangishana pesa kuendesha kesi zinazo wakabili... tofauti na zamani kipindi cha wapiga dili... huo ndio uhalisia wa pesa kuadimika... ukiipata weka mbali na wenye madeni watakupiga ndole...
 
Lusinde alisema sikuizi wanachangishana pesa kuendesha kesi zinazo wakabili... tofauti na zamani kipindi cha wapiga dili... huo ndio uhalisia wa pesa kuadimika... ukiipata weka mbali na wenye madeni watakupiga ndole...
Lusinde ni nani? Umeweka akili yako kwa watu wa aina hii? serious?
 
Uongo wako hapo kwenye red ukitimia najitoa Jf
 
Wanatekeleza agizo la mkuu ambae ameamuru kiwango cha mishara kilicho kikubwa kushushwa, sasa unashangaa nini mbona hukushangaa wakati JPM anapunguza mishahara ya wakurugenzi wa mashika?! Acha unafiki wewe jiongeze.
 
Hela ya kuonga watoa kwenye michango ya tetemeko.................
 
Heheheee! wasomi wa tz tunasafari ndefu sana kumsaidia rais kutufikisha nchi ya viwanda...Yaani always about people, always...daah
 
Umeshasema ni Tetesi, kwahiyo mimi nasema hivi. Si kweli. Period!!
 
Source please!!!!!!!!
 
Hivi mtu anaajiri watu wote billa kujali itikadi ana kodi za serikali na Mtanzania mzawa mwenzenu, mnafurahia afirisike, ili iweje,?! Mtanzania mwenzenu amethubutu kufanya biashara zaidi ya miaka 20, na kutoa ajira mnafurahia arudi chini?
kuwa na itikadi tofauti sio uadui. Nchi hii inakwenda wapi kwa styre hii.?
 
Tunamsubiri kijiweni tunywe nae kahawa na kashata na sigara tumgongee. Mzimu wa Dr. Slaa unamuandama sasa bado na ile gari ya KUB anyang'anywe.
Thubutuuu ndio unavojidanganya utamngoja mtaai hutamuona huyo anaisoma namba tofauti na sisi wa kawaida mtaani.. Huyo hapktezi kitu bado ana mapesa mjomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…