Mbowe huu ndio wakati kuachia ngazi CHADEMA, wewe mwenyewe unaona unavyopuuzwa kwa siasa za kuganga njaa

Akina mama wanaweza na ni waaminifu chadema akabidhiwe halima mdee anafaa Sana.
 
Hapa lazima utukanwe sana kwa huu ukweli wa wazi kabisa,vijana wameajiliwa mitandaoni kupambana na yeyote yule atakaejalibu kuzungumzia ukweli dhidi ya udhaifu wa huyo mwenyekiti wa maisha
 
Kwa mara ya kwanza ndo jf imepata mhenga mpumbavu sana
 
Akina Alinacha ni wale ambao hawaamini mpaka Leo kua CHADEMA IPO na magufuli alikufa.hamtaki katiba mpya,Wala tume huru ya uchaguzi,tunachukuaje nchi??Mungu fundi
 
Akina Alinacha ni wale ambao hawaamini mpaka Leo kua CHADEMA IPO na magufuli alikufa.hamtaki katiba mpya,Wala tume huru ya uchaguzi,tunachukuaje nchi??Mungu fundi
Na magufuli atakuteseni mpk mtakufa na nyinyi
 
Unatumia mabutocks kuwaza
 
Huyu jamaa kwenye hela hana aibu.

Kachuja kwelikweli lakini yumo tu. Aibu sana
 
Bora umemwambia ukweli, ile ni Mali ya Mbowe na Baba Mkwe wake. Kama haumtaki Mbowe, ni wewe ndie unatakiwa kuondoka, yeye yuko kwenye chama chake - alichokabidhiwa na Baba Mkwe wake.
Vyama vya siasa vikisajiliwa vinakuwa mali ya umma
 
Hakiri yangu inaniambia kwamba hata mbowe mwenyewe ana tamani kuachia ngazi isipokuwa anahifia atakaye mfuata atafichua mengi maovu aliyo ya tenda
Kwa dhamana ya cheo chake
 
Bora umemwambia ukweli, ile ni Mali ya Mbowe na Baba Mkwe wake. Kama haumtaki Mbowe, ni wewe ndie unatakiwa kuondoka, yeye yuko kwenye chama chake - alichokabidhiwa na Baba Mkwe wake.
Anajitoa ufahamu ukweli anaujua!
 
Huu ni udikteta mwenyekiti amekaa miaka 20+ alafu eti Chama cha Demokrasia huwa nacheka sana
Chadema kuna wapumbavu wasiojijua 🤣🤣🤣
 
Kumpafu zako!
 
Hata akitoka mbowe lazima apitikane mrithi ambae hatoki mbali na ukoo wa kina mbowe coz chama ni cha familia
Chama cha Demokrasia mwenyekiti ana miaka 20+ hayo mapambano kayaanza leo toka enzi za mkapa bado anapambana tu.🤣🤣🤣
Ruzuku anapata kila mwaka lakini hakuna hata ofisi ya chama alafu tuje tuipe chadema nchi hata ofisi ya chama kujenga hamuwezi

Ukitaka kumuona Mbowe bandidu yule gaidi zungumzia uenyekiti wake kwamba ufanyike uchaguzi anakumaliza au akishindwa basi anakutoa kundini
Mfano zitto kabwe
Tundu lissu
Chacha Wangwe.
Hao walijaribu kutaka ufanyike uchaguzi jibu unalo alichowafanya.
 
Akina Alinacha ni wale ambao hawaamini mpaka Leo kua CHADEMA IPO na magufuli alikufa.hamtaki katiba mpya,Wala tume huru ya uchaguzi,tunachukuaje nchi??Mungu fundi
Hiyo katiba mpya anzeni nyinyi kwanza kuwa yaani Chama cha Demokrasia hakina Demokrasia
Charity begins at home
 
C
Chadema tunamhitaji Mbowe sasa kuliko wakati mwingine wowote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…