King Nkondo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2023
- 1,399
- 2,110
Akina mama wanaweza na ni waaminifu chadema akabidhiwe halima mdee anafaa Sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa lazima utukanwe sana kwa huu ukweli wa wazi kabisa,vijana wameajiliwa mitandaoni kupambana na yeyote yule atakaejalibu kuzungumzia ukweli dhidi ya udhaifu wa huyo mwenyekiti wa maishaWatu wameshakujua kuwa wewe ni mtu wa kuwinda pesa tu .
Haijalishi kuwa Mzee mtei kuwa ni mzee wako na kuwa ni muasisi basi ndio ung'ag'ane kana kwamba Chadema ni private property.
Chadema ni mali ya umma. Umekuwa mwenyekiti miaka 20+ lakini huna maendeleo na chama chetu.
Chadema ni mali ya umma . Hata kama ulipambana kuipaisha. Huko ni kujitolea. Kwa sasa hufai maana unapenda sana kulamba asali.
Kwa mara ya kwanza ndo jf imepata mhenga mpumbavu sanaMbowe ni Mfanya biashara.
Hakuna biashara yenye faida kubwa kama Ruzuku.
Juzi kapiga ruzuku ya Tsh Bilioni Tatu.
Kamwita Lema aliyekuja na kuwatukana Bodaboda kuwa ni kazi ya laana.
Kamwita Lissu anaye wafagilia Mashoga.
Wanaponda Ruzuku, kwanye Elikopta waliyo ifufua.
Ruzuku ikiisha utaona Lissu anaenda Ubergiji.
Lema anaenda Canada.
Mbowe ni Mfanya Biashara.
Sisi wahenga tunajua.
Akina Alinacha ni wale ambao hawaamini mpaka Leo kua CHADEMA IPO na magufuli alikufa.hamtaki katiba mpya,Wala tume huru ya uchaguzi,tunachukuaje nchi??Mungu fundiMtakapokuja kushituka mshatajirisha watu na nyie mshafilisika
Ivi kweli kabisaaa ww una imani na chadomo kua kitachukua dola?
Ndoto za Ali nacha hizi
Ali nacha alikua anauza vikombe akafika sehemu akapumzika akawaza mengi ya utajiri kwa kupitia kuuza vikombe vyake hatimae yupo usingizini anakuja kushtuka akavipiga vikombe teke vikavunjika vyote na mawazo ya utajiri wake yakaishia hapo
Na magufuli atakuteseni mpk mtakufa na nyinyiAkina Alinacha ni wale ambao hawaamini mpaka Leo kua CHADEMA IPO na magufuli alikufa.hamtaki katiba mpya,Wala tume huru ya uchaguzi,tunachukuaje nchi??Mungu fundi
Sio kweliChadema sio mali ya umma ni mali ya familia!
Unatumia mabutocks kuwazaMitano tena kwa Mbowe ,haiwezekani Chadema iweke mwenyekiti mwingine mamluki ,Mbowe atosha kuivusha Chadema ,Subiri kwanza amalize mapambano ndiyo akabidhi kwa mtu mwingine ,kwa siasa hizi za sasa za kuunga juhudi Mbowe anafaa kuendelea kuwa mwenyekiti.
Bora umemwambia ukweli, ile ni Mali ya Mbowe na Baba Mkwe wake. Kama haumtaki Mbowe, ni wewe ndie unatakiwa kuondoka, yeye yuko kwenye chama chake - alichokabidhiwa na Baba Mkwe wake.Chadema sio mali ya umma ni mali ya familia!
Huyu jamaa kwenye hela hana aibu.Watu wameshakujua kuwa wewe ni mtu wa kuwinda pesa tu .
Haijalishi kuwa Mzee mtei kuwa ni mzee wako na kuwa ni muasisi basi ndio ung'ag'ane kana kwamba Chadema ni private property.
Chadema ni mali ya umma. Umekuwa mwenyekiti miaka 20+ lakini huna maendeleo na chama chetu.
Chadema ni mali ya umma . Hata kama ulipambana kuipaisha. Huko ni kujitolea. Kwa sasa hufai maana unapenda sana kulamba asali.
Vyama vya siasa vikisajiliwa vinakuwa mali ya ummaBora umemwambia ukweli, ile ni Mali ya Mbowe na Baba Mkwe wake. Kama haumtaki Mbowe, ni wewe ndie unatakiwa kuondoka, yeye yuko kwenye chama chake - alichokabidhiwa na Baba Mkwe wake.
Sema tu wewe ni mkereketwa.Kwa mara ya kwanza ndo jf imepata mhenga mpumbavu sana
Anajitoa ufahamu ukweli anaujua!Bora umemwambia ukweli, ile ni Mali ya Mbowe na Baba Mkwe wake. Kama haumtaki Mbowe, ni wewe ndie unatakiwa kuondoka, yeye yuko kwenye chama chake - alichokabidhiwa na Baba Mkwe wake.
Kwa hiyo CCM yenu ni mali ya familia ya NyerereAnajitoa ufahamu ukweli anaujua!
Huu ni udikteta mwenyekiti amekaa miaka 20+ alafu eti Chama cha Demokrasia huwa nacheka sanaWatu wameshakujua kuwa wewe ni mtu wa kuwinda pesa tu .
Haijalishi kuwa Mzee mtei kuwa ni mzee wako na kuwa ni muasisi basi ndio ung'ag'ane kana kwamba Chadema ni private property.
Chadema ni mali ya umma. Umekuwa mwenyekiti miaka 20+ lakini huna maendeleo na chama chetu.
Chadema ni mali ya umma . Hata kama ulipambana kuipaisha. Huko ni kujitolea. Kwa sasa hufai maana unapenda sana kulamba asali.
Kumpafu zako!Watu wameshakujua kuwa wewe ni mtu wa kuwinda pesa tu .
Haijalishi kuwa Mzee mtei kuwa ni mzee wako na kuwa ni muasisi basi ndio ung'ag'ane kana kwamba Chadema ni private property.
Chadema ni mali ya umma. Umekuwa mwenyekiti miaka 20+ lakini huna maendeleo na chama chetu.
Chadema ni mali ya umma . Hata kama ulipambana kuipaisha. Huko ni kujitolea. Kwa sasa hufai maana unapenda sana kulamba asali.
Hata akitoka mbowe lazima apitikane mrithi ambae hatoki mbali na ukoo wa kina mbowe coz chama ni cha familiaMitano tena kwa Mbowe ,haiwezekani Chadema iweke mwenyekiti mwingine mamluki ,Mbowe atosha kuivusha Chadema ,Subiri kwanza amalize mapambano ndiyo akabidhi kwa mtu mwingine ,kwa siasa hizi za sasa za kuunga juhudi Mbowe anafaa kuendelea kuwa mwenyekiti.
Hiyo katiba mpya anzeni nyinyi kwanza kuwa yaani Chama cha Demokrasia hakina DemokrasiaAkina Alinacha ni wale ambao hawaamini mpaka Leo kua CHADEMA IPO na magufuli alikufa.hamtaki katiba mpya,Wala tume huru ya uchaguzi,tunachukuaje nchi??Mungu fundi
Chama cha mzee mtei ndio maana mbowe hawezi kuachia uenyekiti abadani labda kifo ndio kisababishe ila lazima apatikane mrithi kutoka kwenye ukooSio kweli
Chadema tunamhitaji Mbowe sasa kuliko wakati mwingine wowote!Watu wameshakujua kuwa wewe ni mtu wa kuwinda pesa tu .