Pre GE2025 Mbowe iokoe CHADEMA kwa kuchukua maamuzi mazito ya kumuunga mkono Lissu, usisubiri kesho!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mheshimiwa mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe, ukitangaza leo kwamba baada ya tafakuri nzito umeamua kutogombea kwa mara nyingine uenyekiti wa Chadema leo utakuwa umeua ndege wawili kwa jiwe moja.
  1. Utaijengea CHADEMA heshima
  2. Utajijengea heshima kubwa zaidi
Kwa kuijengea CHADEMA heshima utakuwa umefuta kabisa dhana ile ya bila Mbowe hakuna CHADEMA hivyo kudhihirisha ukomavu wa CHADEMA kama chama chenye misingi imara.

Kwa kujijengea heshima utakuwa umedhihirisha ukomavu wako kidemokrasia kama mstaafu aliyeheshimu, kutetea na kulinda demokrasia kwa vitendo ndani na nje ya uongozi.

Ningependa kuwaona mmekaa pamoja wakati ukitangaza uamuzi wako huo na nakuhakikishia, utashangaa jinsi wananchi wengi wazalendo wakatavyoupokea uamuzi wako huo.
mbowe hawezi kuacha kugombea uenyekiti. Ataachaje kugombea wakati ni agent ambaye ametumwa kazi maalumu ya kuvuruga upinzani? hiyo ni special mission for covert operation ili ku-disrupt upinzani, pesa za wenyewe alizochukua atazirudisha?
Mbowe akiacha kugombea maana yake atalazimika kuikimbia nchi na kwenda kuishi uhamishoni kama mwenzake Evarist Chahali,
 
Mheshimiwa mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe, ukitangaza leo kwamba baada ya tafakuri nzito umeamua kutogombea kwa mara nyingine uenyekiti wa Chadema leo utakuwa umeua ndege wawili kwa jiwe moja.
  1. Utaijengea CHADEMA heshima
  2. Utajijengea heshima kubwa zaidi
Kwa kuijengea CHADEMA heshima utakuwa umefuta kabisa dhana ile ya bila Mbowe hakuna CHADEMA hivyo kudhihirisha ukomavu wa CHADEMA kama chama chenye misingi imara.

Kwa kujijengea heshima utakuwa umedhihirisha ukomavu wako kidemokrasia kama mstaafu aliyeheshimu, kutetea na kulinda demokrasia kwa vitendo ndani na nje ya uongozi.

Ningependa kuwaona mmekaa pamoja wakati ukitangaza uamuzi wako huo na nakuhakikishia, utashangaa jinsi wananchi wengi wazalendo wakatavyoupokea uamuzi wako huo.
Ashasaliti struggle.
Ni against Demokrasia. Hawezi tena maamuzi magumu yenye tija
 
Mchezo unakuwa umekwisha, wanarudi nyuma miaka 10+ na hicho chama kikianza kusumbua kitagawanywa tena...ndio inaitwa divide and conquer
Na hicho ndio kitu CCM wanataka sio? Kuwagombanisha CDM wasielewane kabisa kuvuruga upinzani kama walivyoanzisha ACT wakitegemea Zitto angepata watu kukigawa CMD
 
Mheshimiwa mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe, ukitangaza leo kwamba baada ya tafakuri nzito umeamua kutogombea kwa mara nyingine uenyekiti wa Chadema leo utakuwa umeua ndege wawili kwa jiwe moja.
  1. Utaijengea CHADEMA heshima
  2. Utajijengea heshima kubwa zaidi
Kwa kuijengea CHADEMA heshima utakuwa umefuta kabisa dhana ile ya bila Mbowe hakuna CHADEMA hivyo kudhihirisha ukomavu wa CHADEMA kama chama chenye misingi imara.

Kwa kujijengea heshima utakuwa umedhihirisha ukomavu wako kidemokrasia kama mstaafu aliyeheshimu, kutetea na kulinda demokrasia kwa vitendo ndani na nje ya uongozi.

Ningependa kuwaona mmekaa pamoja wakati ukitangaza uamuzi wako huo na nakuhakikishia, utashangaa jinsi wananchi wengi wazalendo wakatavyoupokea uamuzi wako huo.
ID za zamani hizi sio za kupuuza
 
Wakapambane ktk sanduku la kura
Hii sawa kwa shariti uchaguzi uwe wa haki na huru kwelikweli.
Nina uhakika Lissu atashinda.
Mimi siyo muumini wa siasa za Lissu na nimekuwa nikimkosoa hapa jukwaani lakini naamini Lissu anaweza kuiondoa CCM madarakani kuliko Mbowe. Mbowe msaliti, ushahidi tukio la kubadili gia angani na kumpa Hayati Lowassa kugombea uraisi kupitia CHADEMA .
 
Ni wazo zuri. Ila linahitaji kuboreshwa. Kwa vile Mbowe ni mhimili wa aina yake pale CHADEMA, aendelee kushiriki kukilea chama. Mzee Mtei na Bob Makani waliweza. So, Katiba yao iboreshwe , kiwepo cheo cha kiitifaki cha watu kama kina Mbowe.
Atashiriki vipi kwa moyo mkunjufu baada ya matusi na kebehi zilizoelekezwa kwake? Kwa hali ilivyo akishiriki ataambiwa anataka kumu undermine atakaeshinda. Akishindwa katika uchaguzi, akae pembeni amuachie mshindi atekeleze aliyopanga bila kuingiliwa. Atoe ushauri pale tu atakapoona kuwa chama chake kinaelekea kupotea. Otherwise, akishindwa, ampe mkono wa pongezi mshindi na ajikite kwenye kulea wajukuu zake kama wengine wanavyo mshauri.

Amandla...
 
Na hicho ndio kitu CCM wanataka sio? Kuwagombanisha CDM wasielewane kabisa kuvuruga upinzani kama walivyoanzisha ACT wakitegemea Zitto angepata watu kukigawa CMD
CDM wakigawana wanachama 2025 itakuwa a free ride...
 
Back
Top Bottom