Pre GE2025 Mbowe iokoe CHADEMA kwa kuchukua maamuzi mazito ya kumuunga mkono Lissu, usisubiri kesho!

Pre GE2025 Mbowe iokoe CHADEMA kwa kuchukua maamuzi mazito ya kumuunga mkono Lissu, usisubiri kesho!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mheshimiwa mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe, ukitangaza leo kwamba baada ya tafakuri nzito umeamua kutogombea kwa mara nyingine uenyekiti wa Chadema leo utakuwa umeua ndege wawili kwa jiwe moja.
  1. Utaijengea CHADEMA heshima
  2. Utajijengea heshima kubwa zaidi
Kwa kuijengea CHADEMA heshima utakuwa umefuta kabisa dhana ile ya bila Mbowe hakuna CHADEMA hivyo kudhihirisha ukomavu wa CHADEMA kama chama chenye misingi imara.

Kwa kujijengea heshima utakuwa umedhihirisha ukomavu wako kidemokrasia kama mstaafu aliyeheshimu, kutetea na kulinda demokrasia kwa vitendo ndani na nje ya uongozi.

Ningependa kuwaona mmekaa pamoja wakati ukitangaza uamuzi wako huo na nakuhakikishia, utashangaa jinsi wananchi wengi wazalendo wakatavyoupokea uamuzi wako huo.
Tatizo COVID-19
 
Wakati mjadala wa vyama vingi unaendelea, Nyerere aliwahutubia UVCMM na kuwauliza kama wana imani na sera za CCM, wakamjbu "sana tu". Akawauliza kama wana imani na uimara na kukubalika kwa CCM, wakamjibu "100 %". Akawauliza kama wanakubali sera ya vyama vingi. Wakamjibu kwa sauti kubwa " hapana". Alicheka sana na kuwauliza " kama mna imani na chama chenu kwa nini mnaogopa ushindani?".

Swali kama hili linaweza kuulizwa kwa wafuasi wa Lissu, " kama mna imani na uwezo na sera za mgombea wenu kwa nini hamtaki Mbowe ashindane nae? Si atamgalagaza tu?" Hamuwezi kudai demokrasia halafu wakati huo mkataka washindani wanaowapendeza nyie tu.

Tofauti na nyie sisi tunasema washindane, wapimwe na wapiga kura, wapiga kura waamue na wao waheshimu matokeo, hata kama watashindwa. Tunachokiomba ( ingawa ni too late) ni kampeni ya kuchafuana zisiwepo maana hiyo itaacha kidonda kikubwa katika chama.

Mimi binafsi nimeanza kuwa "ignore" baadhi ya watu kwa sababu naona wanadhani kunitukana na kunikebehi ni sehemu ya mjadala. Katika umri wangu, uvumilivu wa kutukanwa sina.

Amandla...
 
Mheshimiwa mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe, ukitangaza leo kwamba baada ya tafakuri nzito umeamua kutogombea kwa mara nyingine uenyekiti wa Chadema leo utakuwa umeua ndege wawili kwa jiwe moja.
  1. Utaijengea CHADEMA heshima
  2. Utajijengea heshima kubwa zaidi
Kwa kuijengea CHADEMA heshima utakuwa umefuta kabisa dhana ile ya bila Mbowe hakuna CHADEMA hivyo kudhihirisha ukomavu wa CHADEMA kama chama chenye misingi imara.

Kwa kujijengea heshima utakuwa umedhihirisha ukomavu wako kidemokrasia kama mstaafu aliyeheshimu, kutetea na kulinda demokrasia kwa vitendo ndani na nje ya uongozi.

Ningependa kuwaona mmekaa pamoja wakati ukitangaza uamuzi wako huo na nakuhakikishia, utashangaa jinsi wananchi wengi wazalendo wakatavyoupokea uamuzi wako huo.
Mkuu huo mfumo jike je unafkiri utakubali mbowe ajaribu kutamka maneno hayo? kabla ya Mbowe kuchukua fomu unajua mbowe alisema apewe masaa 48 atafakari? unaweza jua hayo masaa 48 nini kilitokea mpaka jamaa akaja waziwaz na kusema atagombea?

Kwa haraka haraka unaweza kuona haya mambo yapo chadema tu kama huoni mbali lakini haya mambo yanasukwa zaidi upande ule ili watu waendeshe mambo yao sawa bin sawiya,

Tundu Lissu anaeleweka waziwazi ni mpinzani mkubwa sana na upande ule na kwa ushawishi wake mambo makubwa yanaweza kutokea kuliko walivyozoea kuishi maisha ya Mbowe na wenzake.

Kuna mahali Tundu Lissu alisema aliyempa ushahidi wa baadhi ya mambo tayari ameshafariki, unaweza kumjua ni nani aliyefariki na alifariki kwa kifo kipi? Lakini pia Tundu Lissu alisema hana mahusiano mazuri sana na mwenyekiti wake ambapo zamani Tundu alikuwa anaenda nyumbani kwa Mbowe na kupiga naye stori mbili tatu kuhusu mambo yao chama lakini Tundu saivi amekiri kwamba ata anahofu kumtembela mwenyekiti kutokana na mahusiano yao yalivyo je bado tu hujaweza kugundua chochote?

Jiulize swali jengine, Tundu Lissu sasa anavaa bullet proof kwanini Mbowe havai bullet proof na wote ni chama kimoja na wote ni wapinzani wanaikosoa serikali?
 
CDM wakigawana wanachama 2025 itakuwa a free ride...
Naona wako ambao hili hawalioni. Kushindwa kwa Kamala kwa kiasi fulani kulichangiwa na watu kuamua kutopiga kura. Hatari kama hiyo iko kwa mgombea wa CDM.

Kuna wafuasi wa CDM ambao wataweza kuamua kutompigia kura mgombea wa urais wa CDM na kuwapigia kura wanaogombea ubunge na udiwani.

Ndio maana mpasuko huu unafurahiwa sana na wapinzani wa CDM. Maneno yanayotumika sasa hivi kumkebehi na kumtusi mgombea yeyote yatatumiwa na wapinzani wao katika uchaguzi mkuu. Inasikitisha sana kuwa watu hawalioni hilo.

Amandla...
 
Mbowe ni yule wa sikio la kufa halisikii dawa. Mbowe ameshalambishwa asali na maccm ameshakua mjinga. Hatakama akiwa m/kiti tena wa CHADEMA hana jipya.Wana chadema wanatekwa, wanateswa na kuuawa yeye anademka na Samia eti wanafanya maridhiana ya kijinga
 
Yeye kama yeye asingekuwa na shida kabisa! External force nje ya chama ndio tatizo kubwa
Unajua hakuna ambaye hajaacha nyayo kote alikopita.. Kuna kutishiwa na system kafanya ABC usipisikiliza matakwa yao!
Kitisho kikubwa hapo ni LISSU nje na ndani ya chama.. Indio maana tunahitaji kudra za Mwenyezi Mungu kuinusuru CHADEMA

Huu ni wakati wa TAL
Mimi si mwana Chadema lakini ni mwanademokrasia na ni mpenzi wa chama chochote kile kinachohimiza utawala usio juu ya sheria, utawala unaosimamia haki na uhuru.

Kilichonisukuma kuwa mpenzi wa Chadema ni misingi yake imara katika kuheshimu, kutetea na kulinda utawala wa sheria. Nilikuwa mpenzi mkubwa wa Mbowe na nilimtetea kwa mengi.

Hivyo mwaka 2020 Mbowe alipotangaza kutogombea tena uenyekiti mwingine baada ya harakati za uchaguzi nilimsifia kwa kuonesha kwa vitendo kwamba ni mwana demokrasia.

Lakini siku ile alipotangaza kugombea tena kwa mara ya nyingine nilipigwa butwaa. Nilijiuliza sana kapatwa na nini? Hadi leo bado nashindwa kuamini kwamba hatatang'atuka!

Kweli hujafa hujaumbika!
 
Hizi personal attacks zimefika mahali watu wanamhusisha sio tu na jaribio la kumuua Lissu, kupotea na kuuawa kwa wanachama wengine. Wako, wasio na aibu, wanamhusisha na kifo cha Mh. Kibao. Hili la mwisho limechangiwa sana na tamko ( bila details) la Lissu kuwa aliyempa taarifa za Wenje na Abduli ameisha fariki! Huku ni kuchezea kiberiti petrol station bila kujali madhara yake. Kwangu mimi mtu anayefanya haya na kuruhusu yaendelee amepoteza sifa ya kuwa Mwenyekiti wa Chama chochote cha siasa.

Amandla...
 
Mbowe yupo kimya anatafuta kura, Lissu yupo bize mitandaoni kukilaumu chama
 
Asipokubali hiki ndicho kitaenda kutokea.
1000079949.jpg
 
Mheshimiwa mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe, ukitangaza leo kwamba baada ya tafakuri nzito umeamua kutogombea kwa mara nyingine uenyekiti wa Chadema leo utakuwa umeua ndege wawili kwa jiwe moja.
  1. Utaijengea CHADEMA heshima
  2. Utajijengea heshima kubwa zaidi
Kwa kuijengea CHADEMA heshima utakuwa umefuta kabisa dhana ile ya bila Mbowe hakuna CHADEMA hivyo kudhihirisha ukomavu wa CHADEMA kama chama chenye misingi imara.

Kwa kujijengea heshima utakuwa umedhihirisha ukomavu wako kidemokrasia kama mstaafu aliyeheshimu, kutetea na kulinda demokrasia kwa vitendo ndani na nje ya uongozi.

Ningependa kuwaona mmekaa pamoja wakati ukitangaza uamuzi wako huo na nakuhakikishia, utashangaa jinsi wananchi wengi wazalendo wakatavyoupokea uamuzi wako huo.
Twende mbele turudi nyuma, kila mtu bongo, anatfuta jinsi ya kupiga pesa, kwa njia haramu au halali, hawa wana siasa, kutetea maslahi mapana ya nchi, huwa ni njia tu, ya kutafuta ulaji, wapo kama Malaya tu, watawala wakiweka mzigo mzito mezani,wananunurika kirahisi tu, niliwalaumu Sana, kina Mdee, Kafulila,kukimbilia ccm, lakini nilipomsikiliza Mbowe, akitoa vijembe huku akicheka Cheka kama zuzu! "Eti watu wanasema Mimi ndio natia mzigo mkubwa chamani,aaah basi hii ni heshima kubwa" Nikajua tu hawa ni wapiga deals tu, vyama vya siasa ni vehicle ya kupigia pesa tu, chadema, ccm, wote ni majizi tu, hatujajuhi mabaya ya chadema, kwa vile hawajashika madaraka, ukiwapa ikulu, wanaweza kuwa makenge zaidi ya ccm
 
vyama vya siasa ni vehicle ya kupigia pesa tu, chadema, ccm, wote ni majizi tu, hatujajuhi mabaya ya chadema, kwa vile hawajashika madaraka, ukiwapa ikulu, wanaweza kuwa makenge zaidi ya ccm
Kwa hiyo unaona ni heri ukabaki na chama hicho hicho kwa woga kuwa hata kikija chama kingine mambo yatabakia yale yale, really?

Haya mbona ni mawazo duni kabisa! Kwa sababu Mag3 anaiba lazima hata JUAN MANUEL naye ataiba tu! Hivi Watanzania tuna tatizo gani?
 
Mheshimiwa mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe, ukitangaza leo kwamba baada ya tafakuri nzito umeamua kutogombea kwa mara nyingine uenyekiti wa Chadema leo utakuwa umeua ndege wawili kwa jiwe moja.
  1. Utaijengea CHADEMA heshima
  2. Utajijengea heshima kubwa zaidi
Kwa kuijengea CHADEMA heshima utakuwa umefuta kabisa dhana ile ya bila Mbowe hakuna CHADEMA hivyo kudhihirisha ukomavu wa CHADEMA kama chama chenye misingi imara.

Kwa kujijengea heshima utakuwa umedhihirisha ukomavu wako kidemokrasia kama mstaafu aliyeheshimu, kutetea na kulinda demokrasia kwa vitendo ndani na nje ya uongozi.

Ningependa kuwaona mmekaa pamoja wakati ukitangaza uamuzi wako huo na nakuhakikishia, utashangaa jinsi wananchi wengi wazalendo wakatavyoupokea uamuzi wako huo.
Tatizo ni kiapo, kala hela za watu nyingi sana. Akienda kinyume na makubaliano ya mzee kibao
 
Back
Top Bottom