Pre GE2025 Mbowe iokoe CHADEMA kwa kuchukua maamuzi mazito ya kumuunga mkono Lissu, usisubiri kesho!

Pre GE2025 Mbowe iokoe CHADEMA kwa kuchukua maamuzi mazito ya kumuunga mkono Lissu, usisubiri kesho!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Atashiriki vipi kwa moyo mkunjufu baada ya matusi na kebehi zilizoelekezwa kwake? Kwa hali ilivyo akishiriki ataambiwa anataka kumu undermine atakaeshinda. Akishindwa katika uchaguzi, akae pembeni amuachie mshindi atekeleze aliyopanga bila kuingiliwa. Atoe ushauri pale tu atakapoona kuwa chama chake kinaelekea kupotea. Otherwise, akishindwa, ampe mkono wa pongezi mshindi na ajikite kwenye kulea wajukuu zake kama wengine wanavyo mshauri.

Amandla...
Kumbe Chadema ni chama cha Mbowe!?
 
Wewe mtu huwa nakuaminia sana humu jukwaani, Napigiria msumari hili bandiko lako. Mh Mbowe lisome na msikilize huyu muleta Bandiko mambo yaende. Tunawahitaji nyote- Lissu na Mbowe na kwa kuwa utakuwa kamati kuu hadi milele, muache na huyo Lissu awemo pia. Utam- control tokea huko. Kwa kweli sisi wafuasi wenu mumetugawa sana na tuko njia panda. Muachie mwenzako aje awe kiongozi na wewe uwe ndani ya hiyo kamati kuu, akiachia ngazi, yeye pia atakuwemo, na mutaendeleza vema hiyo CDM kwa manufaa mapana ya chama pendwa. Chondechonde mheshima, sikiliza kilio cha sisi watanzania tunachokiomba toka kwako. Tafadhari Pumzika na wewe chukua uskani huko kamati kuu ambako utakuwepo had mauti. Chonde chonde Mh.Mbowe.
Wazo zuri sana.
 
Mheshimiwa mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe, ukitangaza leo kwamba baada ya tafakuri nzito umeamua kutogombea kwa mara nyingine uenyekiti wa Chadema leo utakuwa umeua ndege wawili kwa jiwe moja.
  1. Utaijengea CHADEMA heshima
  2. Utajijengea heshima kubwa zaidi
Kwa kuijengea CHADEMA heshima utakuwa umefuta kabisa dhana ile ya bila Mbowe hakuna CHADEMA hivyo kudhihirisha ukomavu wa CHADEMA kama chama chenye misingi imara.

Kwa kujijengea heshima utakuwa umedhihirisha ukomavu wako kidemokrasia kama mstaafu aliyeheshimu, kutetea na kulinda demokrasia kwa vitendo ndani na nje ya uongozi.

Ningependa kuwaona mmekaa pamoja wakati ukitangaza uamuzi wako huo na nakuhakikishia, utashangaa jinsi wananchi wengi wazalendo wakatavyoupokea uamuzi wako huo.
Je, wakisema wataanda maandamano ya pamoja kuonesha mshikamano na kutaka Katiba Mpya utaingia nao barabarani? Ahahahahaha!!!
 
I think, Mbowe anayo nia ya dhati kabisa kuachia kiti ila kuna mazingira yanamlazimu tu abakie kwenye kiti either kulinda na kuficha maovu aliyoyafanya ndani ya chama au njaa kali ya asali anayolambishwa na ma giants wa siasa nchini.
 
Tofauti na nyie sisi tunasema washindane, wapimwe na wapiga kura, wapiga kura waamue na wao waheshimu matokeo, hata kama watashindwa.
Je unawajua hao unaowaita wapiga kura? Oh judgement, thou art fled to brutish beasts and men have lost their reasons.

Kwa vyovyote watakavyopiga kura, uwepo wa Mbowe kwenye kinyang'anyiro hicho unafanya zoezi hilo kuwa na doa.

Sisi wenye mapenzi ya kweli kwa hiki chama tumemshauri tu Mh. Mbowe kutumia busara na hekima kumuunga mkono Mh. Lissu.

Sasa hivi Mbowe ndio Mwenyekiti wa Chadema na Mwenyekiti ndio sura na kiongozi Mkuu wa Chadema.
Sasa hivi? Kwani kwa miaka hiyo ishirini Mwenyekiti hakuwa sura na kiongozi Mkuu wa Chadema? Kusema kweli Fundi Mchundo, nimeshindwa kabisa kuelewa unachotetea.
 
Mheshimiwa mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe, ukitangaza leo kwamba baada ya tafakuri nzito umeamua kutogombea kwa mara nyingine uenyekiti wa Chadema leo utakuwa umeua ndege wawili kwa jiwe moja.
  1. Utaijengea CHADEMA heshima
  2. Utajijengea heshima kubwa zaidi
Kwa kuijengea CHADEMA heshima utakuwa umefuta kabisa dhana ile ya bila Mbowe hakuna CHADEMA hivyo kudhihirisha ukomavu wa CHADEMA kama chama chenye misingi imara.

Kwa kujijengea heshima utakuwa umedhihirisha ukomavu wako kidemokrasia kama mstaafu aliyeheshimu, kutetea na kulinda demokrasia kwa vitendo ndani na nje ya uongozi.

Ningependa kuwaona mmekaa pamoja wakati ukitangaza uamuzi wako huo na nakuhakikishia, utashangaa jinsi wananchi wengi wazalendo wakatavyoupokea uamuzi wako huo.
Kwanini Lissu asikae pembeni amuache Mbowe?
Kwanini wasishindane kwenye sanduku la kura?
hii tabia ya kuachiana ipo kwetu CUF il siyo CHADEMA.
 
Je kina boni yai na yeriko watakubali? Mbowe ameamua kuua chama chake kwa mkono wake mwenyewe.Yaani angebaki mjumbe wa kudumu wa kamati kuu, Kwa sasa umma upo upande wa lissu
 
Mheshimiwa mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe, ukitangaza leo kwamba baada ya tafakuri nzito umeamua kutogombea kwa mara nyingine uenyekiti wa Chadema leo utakuwa umeua ndege wawili kwa jiwe moja.
  1. Utaijengea CHADEMA heshima
  2. Utajijengea heshima kubwa zaidi
Kwa kuijengea CHADEMA heshima utakuwa umefuta kabisa dhana ile ya bila Mbowe hakuna CHADEMA hivyo kudhihirisha ukomavu wa CHADEMA kama chama chenye misingi imara.

Kwa kujijengea heshima utakuwa umedhihirisha ukomavu wako kidemokrasia kama mstaafu aliyeheshimu, kutetea na kulinda demokrasia kwa vitendo ndani na nje ya uongozi.

Ningependa kuwaona mmekaa pamoja wakati ukitangaza uamuzi wako huo na nakuhakikishia, utashangaa jinsi wananchi wengi wazalendo wakatavyoupokea uamuzi wako huo.
Naona Mbowe amechagua kuondoka kwa fedheha. Mwache ashupaze shingo na kuwasikiliza chawa kina Boniyai
 
Mtahangaika sana, bado hadi muaibike katika BOX la kura na tumeshasema anayeshindwa hamna visingizio na lazima abakie kukijenga chama pamoja.
Hao wanaharakati wa mitandaoni wao ni kuvamia vyama, hawajui CDM imepitia yapi hadi hapa ilipo.

Mbowe - mwendo mdundo - mtoto kau...
 
Back
Top Bottom