milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Mdomo wa TAL, na matusi yake,hicho chama kitakuwa chake ,familia yake na wanyatur.. wenzakeHivi kwani Lissu akianzisha chama chake yeye na wafuasi wake amwachie Mbowe Chadema na wafuasi wake kutatokea nini?
mbowe hawezi kuacha kugombea uenyekiti. Ataachaje kugombea wakati ni agent ambaye ametumwa kazi maalumu ya kuvuruga upinzani? hiyo ni special mission for covert operation ili ku-disrupt upinzani, pesa za wenyewe alizochukua atazirudisha?Mheshimiwa mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe, ukitangaza leo kwamba baada ya tafakuri nzito umeamua kutogombea kwa mara nyingine uenyekiti wa Chadema leo utakuwa umeua ndege wawili kwa jiwe moja.
Kwa kuijengea CHADEMA heshima utakuwa umefuta kabisa dhana ile ya bila Mbowe hakuna CHADEMA hivyo kudhihirisha ukomavu wa CHADEMA kama chama chenye misingi imara.
- Utaijengea CHADEMA heshima
- Utajijengea heshima kubwa zaidi
Kwa kujijengea heshima utakuwa umedhihirisha ukomavu wako kidemokrasia kama mstaafu aliyeheshimu, kutetea na kulinda demokrasia kwa vitendo ndani na nje ya uongozi.
Ningependa kuwaona mmekaa pamoja wakati ukitangaza uamuzi wako huo na nakuhakikishia, utashangaa jinsi wananchi wengi wazalendo wakatavyoupokea uamuzi wako huo.
Mbona naona Lissu anakubalika sana. Hapa JF tu naona members zaidi ya asilimia 80 wanamuunga mkono Lissu. Hata akina johnthebaptist wamehamishia nguvu kumnadi LissuMdomo wa TAL, na matusi yake,nicho chama kitakuwa chake ,familia yake na wanyatur.. wenzake
Jf ni wapiga debe TU,ila wamiliki WA kura na uchaguzi Jf hakuna hata mmoja!Mbona naona Lissu anakubalika sana. Hapa JF tu naona members zaidi ya asilimia 80 wanamuunga mkono Lissu. Hata akina johnthebaptist wamehamishia nguvu kumnadi Lissu
Jf imejaa watu wa TLS, ambao sio wajumbe Wala wapiga kura wa chadema.Mbona naona Lissu anakubalika sana. Hapa JF tu naona members zaidi ya asilimia 80 wanamuunga mkono Lissu. Hata akina johnthebaptist wamehamishia nguvu kumnadi Lissu
Mchezo unakuwa umekwisha, wanarudi nyuma miaka 10+ na hicho chama kikianza kusumbua kitagawanywa tena...ndio inaitwa divide and conquerHivi kwani Lissu akianzisha chama chake yeye na wafuasi wake amwachie Mbowe Chadema na wafuasi wake kutatokea nini?
Sisi tunashangilia tu 2025 😂😂😂Jf ni wapiga debe TU,ila wamiliki WA kura na uchaguzi Jf hakuna hata mmoja!
Mfano ulio hai, Mwabukusi ni mwanachama wa chadema,ila sio mpiga kura,wa kumchagua mwenyekiti wa chadema!Mbona naona Lissu anakubalika sana. Hapa JF tu naona members zaidi ya asilimia 80 wanamuunga mkono Lissu. Hata akina johnthebaptist wamehamishia nguvu kumnadi Lissu
Ashasaliti struggle.Mheshimiwa mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe, ukitangaza leo kwamba baada ya tafakuri nzito umeamua kutogombea kwa mara nyingine uenyekiti wa Chadema leo utakuwa umeua ndege wawili kwa jiwe moja.
Kwa kuijengea CHADEMA heshima utakuwa umefuta kabisa dhana ile ya bila Mbowe hakuna CHADEMA hivyo kudhihirisha ukomavu wa CHADEMA kama chama chenye misingi imara.
- Utaijengea CHADEMA heshima
- Utajijengea heshima kubwa zaidi
Kwa kujijengea heshima utakuwa umedhihirisha ukomavu wako kidemokrasia kama mstaafu aliyeheshimu, kutetea na kulinda demokrasia kwa vitendo ndani na nje ya uongozi.
Ningependa kuwaona mmekaa pamoja wakati ukitangaza uamuzi wako huo na nakuhakikishia, utashangaa jinsi wananchi wengi wazalendo wakatavyoupokea uamuzi wako huo.
Hata ukifuatilia zaidi,Jf wengi sio wapiga kura kumchagua chura kiziwi 2025, kwanini kwa sababu wengi hawajajiandikisha kupiga kuraSisi tunashangilia tu 2025 😂😂😂
Na hicho ndio kitu CCM wanataka sio? Kuwagombanisha CDM wasielewane kabisa kuvuruga upinzani kama walivyoanzisha ACT wakitegemea Zitto angepata watu kukigawa CMDMchezo unakuwa umekwisha, wanarudi nyuma miaka 10+ na hicho chama kikianza kusumbua kitagawanywa tena...ndio inaitwa divide and conquer
Hayo ni maneno ya Jf, njooni kwenye box la kupiga kuraMbowe ni Nkurunzinza
CCM hatutegemei Kura za Makaratasi bwashee 😂Hata ukifuatilia zaidi,Jf wengi sio wapiga kura kumchagua chura kiziwi 2025, kwanini kwa sababu wengi hawajajiandikisha kupiga kura
ID za zamani hizi sio za kupuuzaMheshimiwa mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe, ukitangaza leo kwamba baada ya tafakuri nzito umeamua kutogombea kwa mara nyingine uenyekiti wa Chadema leo utakuwa umeua ndege wawili kwa jiwe moja.
Kwa kuijengea CHADEMA heshima utakuwa umefuta kabisa dhana ile ya bila Mbowe hakuna CHADEMA hivyo kudhihirisha ukomavu wa CHADEMA kama chama chenye misingi imara.
- Utaijengea CHADEMA heshima
- Utajijengea heshima kubwa zaidi
Kwa kujijengea heshima utakuwa umedhihirisha ukomavu wako kidemokrasia kama mstaafu aliyeheshimu, kutetea na kulinda demokrasia kwa vitendo ndani na nje ya uongozi.
Ningependa kuwaona mmekaa pamoja wakati ukitangaza uamuzi wako huo na nakuhakikishia, utashangaa jinsi wananchi wengi wazalendo wakatavyoupokea uamuzi wako huo.
HahaaaCCM hatutegemei Kura za Makaratasi bwashee 😂
Hii sawa kwa shariti uchaguzi uwe wa haki na huru kwelikweli.Wakapambane ktk sanduku la kura
Atashiriki vipi kwa moyo mkunjufu baada ya matusi na kebehi zilizoelekezwa kwake? Kwa hali ilivyo akishiriki ataambiwa anataka kumu undermine atakaeshinda. Akishindwa katika uchaguzi, akae pembeni amuachie mshindi atekeleze aliyopanga bila kuingiliwa. Atoe ushauri pale tu atakapoona kuwa chama chake kinaelekea kupotea. Otherwise, akishindwa, ampe mkono wa pongezi mshindi na ajikite kwenye kulea wajukuu zake kama wengine wanavyo mshauri.Ni wazo zuri. Ila linahitaji kuboreshwa. Kwa vile Mbowe ni mhimili wa aina yake pale CHADEMA, aendelee kushiriki kukilea chama. Mzee Mtei na Bob Makani waliweza. So, Katiba yao iboreshwe , kiwepo cheo cha kiitifaki cha watu kama kina Mbowe.
CDM wakigawana wanachama 2025 itakuwa a free ride...Na hicho ndio kitu CCM wanataka sio? Kuwagombanisha CDM wasielewane kabisa kuvuruga upinzani kama walivyoanzisha ACT wakitegemea Zitto angepata watu kukigawa CMD