Mbowe: Kamati ya Amani ilikaa kimya wakati watu wetu wanauawa na kuteswa

Mbowe: Kamati ya Amani ilikaa kimya wakati watu wetu wanauawa na kuteswa

Kwa hiyo Baregu nae aliihujumu chadema?
Professor Baregu alikuwa mwanachama mwaminifu kwa Chadema hadi umauti ulipomkuta. Na sijasema kuwa watu wanaokufa sababu ni kuihujumu Chadema,ila nilisema hakuna atakayeihujumu Chadema na akabaki salama,na siyo lazima afe lakini hatakuwa salama. Wape salam huko.
 
Mh.Mbowe anaongea.....

Viongozi wa kiroho wanakataza watu wasilitumie neno MWENDAZAKE. Mimi ninapenda kuwaambia viongozi wangu ukifanyacho hapa duniani ndicho utakachovuna. Viongozi wetu hawa walikaa kimya watu wetu walipouawa, potezwa nk. Walikaa na kunywa mezani pa watesi weyu......

My Take
Anachomaanisha Mbowe ni kwamba ile kamati ni ya kinafiki.
Ni akina Nani hao waliuawa na kupotezwa....na aliyewaua na kuwapoteza ni Nani?!? Kwa hiyo Kama huyo sijui Nani anapenda kumwita m wenzake aliyetangulia kuwa ni Mwendazake (;Nina ambalo ni kejeli kwa marehemu) na aendelee hivyo...Kama kifo kinachukuliwa kisiasa is well and good...may be baadhi wataishi duniani milele...Na ni huyu huyu aliyeropoka kuwa kabila lake lililengwa kwa kufungiwa akaunti, eti pia kukosa teuzi na kadhalika...happy tuna makabila 124 Sasa Kama Kila kabila litakuja na malalamiko kwa kukosa teuzi sijui itakuwaje...ila baadhi tunakumbuka kuna watu was Aina Fulani waliona ni Hali yao kujazana kwenye taasisi za fedha Kama hazina, tra na kadhalika ..pia walijazana bandarini..na walipeana pia tenda na kandarasi mbalinbali...lakini watu wengine hawakulalamika Wala kuwatenga...watu walionufaika na mifjmo iliyopita ya ukoloni, awamu ya Kwanza ya pili ya tatu na ya nne wakaona wanna miliki ya nafasi nyeti na za pesa...
 
Back
Top Bottom