Elitwege
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 5,294
- 10,970
Somo gani?Hivi vijana bado tu hamjifunzi hasara za kejeli zenu kwa watu wengine kisa tu mnatofautiana itikadi za kisiasa?
Somo la mwendazake bado halijawaingia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Somo gani?Hivi vijana bado tu hamjifunzi hasara za kejeli zenu kwa watu wengine kisa tu mnatofautiana itikadi za kisiasa?
Somo la mwendazake bado halijawaingia?
Wanapinga kitu gani?Upo sana, labda kama unataka uwaonee kwenye ofisi za ccm.
Kama anavyochalazwa JEHANAMU huko.Chadema iko wapi?
Na atawachalaza sana toka huko huko kuzimu.
Acha kujifariji weweKama anavyochalazwa JEHANAMU huko.
Sisi kwetu raha tu ,MAMMAE ...
Yupo sawa, kamati inayojiita ya amani, kwanza kwanza waitishe press tena wawaulize serikaliMh.Mbowe anaongea.....
Viongozi wa kiroho wanakataza watu wasilitumie neno MWENDAZAKE. Mimi ninapenda kuwaambia viongozi wangu ukifanyacho hapa duniani ndicho utakachovuna. Viongozi wetu hawa walikaa kimya watu wetu walipouawa, potezwa nk. Walikaa na kunywa mezani pa watesi weyu...
Wanapinga kitu gani?
Mh.Mbowe anaongea.....
Viongozi wa kiroho wanakataza watu wasilitumie neno MWENDAZAKE. Mimi ninapenda kuwaambia viongozi wangu ukifanyacho hapa duniani ndicho utakachovuna. Viongozi wetu hawa walikaa kimya watu wetu walipouawa, potezwa nk. Walikaa na kunywa mezani pa watesi weyu......
My Take
Anachomaanisha Mbowe ni kwamba ile kamati ni ya kinafiki.
Hawa walipaza sautiNchi ina viongozi 5 tu wa dini.
Magufuli aliwachalaza chadema akiwa hai na bado anawachalaza akiwa mfu
Naona sasa hivi mnademka tu mkisema dhalimu wenu kafa na mko vizuri mko huru sasa!Unajua maana ya upinzani,?
Na wewe unasubiri kwenda kuchalazwa siku yako ikifika!Ahhhh yeye ndo anachalazwa huko aliko.
Mpigie simu muulize kama Chadema ilishinda au la??atakukwambia ukweli yeye alijua fika kuwa asingeweza kumshinda Lissu kama si kupindua meza kwa kuitumia tume na wale wabeba mabegi wasiojulikana.Watamuongelea Mkapa kwani aliwachalaza?
Mbona hayo maombi hayajasaidia ccm kuondoka madarakani na Lisu kuwa rais?
Lisu huyu huyu anaelelewa kwa amstwrdam?Mpigie simu muulize kama Chadema ilishinda au la??atakukwambia ukweli yeye alijua fika kuwa asingeweza kumshinda Lissu kama si kupindua meza kwa kuitumia tume na wale wabeba mabegi wasiojulikana.
Naona sasa hivi mnademka tu mkisema dhalimu wenu kafa na mko vizuri mko huru sasa!
Ndio nikawauliza mnapinga kitu gani siku hizi?
Usiwe mjinga wewe yatima, si swali la kupinga tu, ni swali la kudai Katiba mpya itakayofunga milango yote kwa mizuka wasio na uwezo wala sifa kuukuwaa hovyo uongozi wa juu wa taifa hili.Naona sasa hivi mnademka tu mkisema dhalimu wenu kafa na mko vizuri mko huru sasa!
Ndio nikawauliza mnapinga kitu gani siku hizi?
Sasa kwa mahasira kama haya kwa nini usipeleke kutafuta hela ili ukoo wako unaoliwa na umasikini upate nafuu?Usiwe mjinga wewe yatima, si swali la kupinga tu, ni swali la kudai Katiba mpya itakayofunga milango yote kwa mizuka wasio na uwezo wala sifa kuukuwaa hovyo uongozi wa juu wa taifa hili...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usipanic ndugu!Upinzani ulianza kipindi cha dhalimu, au unadhani upinzani ulianza kwa ajili ya dhalimu? Ama ulipojiunga hapa jukwaani ndio unadhani upinzani ulianza? Narudia tena ww ni bendera fuata upepo, ndio maana huna jipya zaidi ya kurukia kila mada na kutaka kumchomekea dhalimu aonekane alikuwa wa maana.
Nyerere alisema hii katiba inampa madaraka makubwa, na kwamba siku akipatikana mtu wa hovyo kwa maana ya dikteta, ataitumua vibaya.Magufuli aliwachalaza chadema akiwa hai na bado anawachalaza akiwa mfu!