Mbowe: Kamati ya Amani ilikaa kimya wakati watu wetu wanauawa na kuteswa

Mh.Mbowe anaongea.....

Viongozi wa kiroho wanakataza watu wasilitumie neno MWENDAZAKE. Mimi ninapenda kuwaambia viongozi wangu ukifanyacho hapa duniani ndicho utakachovuna. Viongozi wetu hawa walikaa kimya watu wetu walipouawa, potezwa nk. Walikaa na kunywa mezani pa watesi weyu......

My Take
Anachomaanisha Mbowe ni kwamba ile kamati ni ya kinafiki.
Exactly.
 
Mwendazake kwa hakika amekwisha enda zake, kwa kuwa hayupo tena nasi katika hali ya kimwili ambapo aliweza kuiongoza nchi hii. Ametuacha, ametutoka, ametangulia mbele za haki ama ameenda zake, hilo ni tukio la uhakika ambalo kwalo litamtokea kila mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke hapa duniani...
Alikuwa katili sana.
 
Na yeye amechalazwa vizuri sana kwa maombi ya wanachadema. Imagine watu hawaongelei Mkapa, Wala Nyerere wanamuongelea yeye tu Tena kwa sifa mbaya ya unyanyasaji na roho mbaya. Sijui unatoa wapi hii akili.
Hawa wapuuzi walitakiwa wamshukuru MUNGU wa mbinguni kwa kutuondolea hili balaa na siyo ule ujinga ujinga wao.
 
Na yeye amechalazwa vizuri sana kwa maombi ya wanachadema. Imagine watu hawaongelei Mkapa, Wala Nyerere wanamuongelea yeye tu Tena kwa sifa mbaya ya unyanyasaji na roho mbaya. Sijui unatoa wapi hii akili.
hilo sio tatizo,tatizo ni kwamba chama ndio kwisha habari.

hutaki 2025 hiyo hapo,ajenda ni jpm[emoji1][emoji1].

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Mh.Mbowe anaongea.....

Viongozi wa kiroho wanakataza watu wasilitumie neno MWENDAZAKE. Mimi ninapenda kuwaambia viongozi wangu ukifanyacho hapa duniani ndicho utakachovuna. Viongozi wetu hawa walikaa kimya watu wetu walipouawa, potezwa nk. Walikaa na kunywa mezani pa watesi weyu......

My Take
Anachomaanisha Mbowe ni kwamba ile kamati ni ya kinafiki.
Wanasema tusitumie neno MWENDAZAKE? Wako sahihi kabisa yule si mwendazake bali ni marehemu mfu...!!!!
 
Na yeye amechalazwa vizuri sana kwa maombi ya wanachadema. Imagine watu hawaongelei Mkapa, Wala Nyerere wanamuongelea yeye tu Tena kwa sifa mbaya ya unyanyasaji na roho mbaya. Sijui unatoa wapi hii akili.
Hiyo sio akili ni matope
 
Mwendazake miezi miwili tu hana la maana lolote la kumkumbuka !! Hata watu wake wa karibu wanamkana, wengine aliokuwa anawatuma madhambi yao nje nje...Damu za watu si za kuchezea nimeamini.
 
Magufuli aliwachalaza chadema akiwa hai na bado anawachalaza akiwa mfu!
Na yeye anacharazwa na malaika aliowadhihaki kuwa anataka awe kiongozi wao. Yaani pimbi Magufuli amwongoze malaika Gabriel/Jibril? Jamaa yenu alikuwa taahira.
 
Back
Top Bottom