Mbowe: Kamati ya Amani ilikaa kimya wakati watu wetu wanauawa na kuteswa

Mbowe: Kamati ya Amani ilikaa kimya wakati watu wetu wanauawa na kuteswa

Magufuli aliwachalaza chadema akiwa hai na bado anawachalaza akiwa mfu!
Hiyo dhambi unayomtukuza nayo ndiyo imempeleka kuzimu. Mungu anaipenda sana Tanzania ndiyo maana DIKTETA pamoja na kuiba kura za Serikali za Mitaa zote za 2019 na uchaguzi Mkuu wa 2020 ili awe Rais wa milele na kufia madarakani. Mungu akasema inataka kufia madarakani? akamkubalia na kafa baada ya siku 114
 
Napinga sana huu uana harakati anaofanya Mbowe.

Ukweli iwapo kila tendo tutataka kulijadili kiundani kama anavyotaka,hali inaweza kubadilika sana kwa kuamsha hisia kali za wanaoonekana kama wameonewa.Na bahati mbaya kisasi huwa kinafanywa kwa watu wasio husika kabisa.

Ninadhani Mbowe anataka kwenda mbali sana.Sijui anataka nini.Mashehe wameachiwa,kwa nini hilo pekee lisitoshe kumshukuru Mungu?

Kusema kweli natamani adhibitiwe,kwani hizi siasa zina lengo la uchochezi.
Mbowe yuko sahihi kabisa
 
Na yeye anacharazwa na malaika aliowadhihaki kuwa anataka awe kiongozi wao. Yaani pimbi Magufuli amwongoze malaika Gabriel/Jibril? Jamaa yenu alikuwa taahira.
Hizi hasira unazozionesha hapa inaonesha ni jinsi gani anavyokuchalaza akiwa mfu!
 
Hiyo dhambi unayomtukuza nayo ndiyo imempeleka kuzimu. Mungu anaipenda sana Tanzania ndiyo maana DIKTETA pamoja na kuiba kura za Serikali za Mitaa zote za 2019 na uchaguzi Mkuu wa 2020 ili awe Rais wa milele na kufia madarakani. Mungu akasema inataka kufia madarakani? akamkubalia na kafa baada ya siku 114
Hili coment yako inaonesha ni jinsi gani anavyokuchalaza huku akiwa kafa!

Yani bavicha mmeshindwa kabisa kuendelea na maisha yenu hata baada ya Magu kufariki? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiyo dhambi unayomtukuza nayo ndiyo imempeleka kuzimu. Mungu anaipenda sana Tanzania ndiyo maana DIKTETA pamoja na kuiba kura za Serikali za Mitaa zote za 2019 na uchaguzi Mkuu wa 2020 ili awe Rais wa milele na kufia madarakani. Mungu akasema inataka kufia madarakani? akamkubalia na kafa baada ya siku 114
Na huyo mungu wako mbona hajaitoa ccm madarakani na kumfanya Lisu kuwa rais?
 
Mh.Mbowe anaongea.....

Viongozi wa kiroho wanakataza watu wasilitumie neno MWENDAZAKE. Mimi ninapenda kuwaambia viongozi wangu ukifanyacho hapa duniani ndicho utakachovuna. Viongozi wetu hawa walikaa kimya watu wetu walipouawa, potezwa nk. Walikaa na kunywa mezani pa watesi weyu......

My Take
Anachomaanisha Mbowe ni kwamba ile kamati ni ya kinafiki.

Ya wahuni
 
Sasa kwa mahasira kama haya kwa nini usipeleke kutafuta hela ili ukoo wako unaoliwa na umasikini upate nafuu?

Katiba mpya unafikiri inakujia mezani kama unavyowekewa ugali kwa shemeji alikoolewa dadako?

Katiba mpya unafikiri inakuja baada ya kusaini petition ya kumtoa Diamond BET?

Msiwe misukule.
Wew kweli ni chizi, waweza kuta una zaidi ya miaka 25 lakini ndiyo hivyo tena
 
Siwafichi mazee!Utawala wa jpm umenifanya niyachukia haya ma dini ya kizungu tuliyoletewa!kumbe Miaka yote tulikuwa tunadanganywa kuwa kuna Mungu ndani ya madhehebu haya kumbe ni uchumi tu!!!SASA NASIMAMA MWENYEWE NA YULE ALIEAMUA NIWE MTU NA NIKAWA !!DINI ZOTE TUPA KULE TAKATAKA KABISA!!!
Endeleza mawazo ya Afande Sele nyie ndo mnajifanya kila kitu mnajua na mko sahihi kwa kila jambo. Unaposema dini takataka unamaanisha nini? Hujui kuwa dini haina tatizo bali wanadamu ndo wanamatatizo, Mnapenda kulaumu watu huku mambo yako mwenyewe yanakushinda.
 
Napinga sana huu uana harakati anaofanya Mbowe.

Ukweli iwapo kila tendo tutataka kulijadili kiundani kama anavyotaka,hali inaweza kubadilika sana kwa kuamsha hisia kali za wanaoonekana kama wameonewa.Na bahati mbaya kisasi huwa kinafanywa kwa watu wasio husika kabisa.

Ninadhani Mbowe anataka kwenda mbali sana.Sijui anataka nini.Mashehe wameachiwa,kwa nini hilo pekee lisitoshe kumshukuru Mungu?

Kusema kweli natamani adhibitiwe,kwani hizi siasa zina lengo la uchochezi.
Wadhibitiwe hao wanafiki wasaka tonge wasiojua maana ya amani halafu wanajiita kamati ya amani! Hao ni wachawi tu!
 
Hii kamati ina watu ambao ninawaheshimu sana, wajiepushe kutumika kisiasa ili watunze heshima zao katika jamii.

Waacheni wananchi wajadili mazuri na mabaya ya mwendazake !! tatizo lipo wapi? nyie ni kipi kinachowauma?
 
Taifa libapokuwa na kiongozi wa dini wanafiki nijambo hatari sana!! Chochote cha mtawala wanapiga makofi ajaye akibadili ya mtangulizi wao wanaongeza makofi.
 
Hizi hasira unazozionesha hapa inaonesha ni jinsi gani anavyokuchalaza akiwa mfu!
Ile siku waliyotangaza kwamba amekwenda zake kuungana na babu zake, nilijawa na furaha isiyoelezeka na hadi sasa nina furaha na amani. Halafu mtu ambaye ni biriani ya funza kwasasa anawezaje kunicharaza?

Pamoja na u-mwamba na pomps zote alizokuwa nazo leo hana uwezo wa kuwapangusa funza wanaomong'onyoa lile bichwa lake (lililokuwa na kona kona kama limao), ndo aweze kunicharaza miye?

Aendelee tu kupambana na hali yake mwanaizaya mkubwa yule.😁👊🔥
 
Watu wa nje wanamdarau kiongozi wenu na kuwashangaa raia zake. Watu wa ndani wamegawanyike ila wengi wameingiwa na woga na kuwa wanafiki. Wachache wamekasirika na kupiga mayowe ila kwa woga pia.
Bado kivuli kinasumbua watu, lakini kivuli hakipaswi kuogopwa
 
Back
Top Bottom