The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
Huyu anaeoza au mwingineMagufuli aliwachalaza chadema akiwa hai na bado anawachalaza akiwa mfu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu anaeoza au mwingineMagufuli aliwachalaza chadema akiwa hai na bado anawachalaza akiwa mfu!
Unaona sasa anavyokuchalaza?Ile siku waliyotangaza kwamba amekwenda zake kuungana na babu zake, nilijawa na furaha isiyoelezeka na hadi sasa nina furaha na amani. Halafu mtu ambaye ni biriani ya funza kwasasa anawezaje kunicharaza?
Pamoja na u-mwamba na pomps zote alizokuwa nazo leo hana uwezo wa kuwapangusa funza wanaomong'onyoa lile bichwa lake (lililokuwa na kona kona kama limao), ndo aweze kunicharaza miye?
Aendelee tu kupambana na hali yake mwanaizaya mkubwa yule.[emoji16][emoji109][emoji91]
HAKIKA WANASTAHILI,Ila kuna Sikh magu alikiri kwa Askofu Shoo indirect kwa kumnunulia viatu make wa Shoo wakati anafungua kiwanda cha ngozi moshi.Hongera kwa viongozi wa dini waliokataa bahasha Ili kuisaliti imani yao Shehe Ponda, Askofu Mwamakula,Bagonza, Niwemugizi,Shoo.
Siyo kila anayekosoa ujinga na UFISADI wa Mwendazake ni CHADEMA au Bavicha. Hapo ndipo watu wenye akili ndogo mnapopotea.Hili coment yako inaonesha ni jinsi gani anavyokuchalaza huku akiwa kafa!
Yani bavicha mmeshindwa kabisa kuendelea na maisha yenu hata baada ya Magu kufariki? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu wangu amefanya kile Watanzania wengi wakiomba kuwa Magufuli hatufai afe, na akafaNa huyo mungu wako mbona hajaitoa ccm madarakani na kumfanya Lisu kuwa rais?
Hapa mwenezi hana tamko?TBC wanamuita HAMNAZO.
Nyau wewe, akili yako haina akili!Mbowe lipa kwanza mishahara, hata wewe ulikaa kimya huku ukijua Sabaya ana karakana ya kutesa watu.View attachment 1820749
Brother Elitwege! Comment kwa busara na acha uchama? Kwa hiyo Mbowe alikaa kimya kwa sababu alikuwa mnufaika wa hiyo karakana? Nonsense. Hujui kwamba kuna watu waliuawa! Walipotea! Waliumizwa! Walifilisiwa! Wslifungwa kwa uonevu! Walinyanganywa mali zao!!!? Hiyo kamati ya kiroho mbona haikusema lolote zaidi ya kuwa upande wa mwendazeke!! Leo bado wanaendelea kulinda haki zisizokuwepo za mwendazake?? Hii tume ipo kwa ridhaa ya nani? Inawajibika kwa nani? Zipi ni hadidu rejea za kamati hii!!? Utopolo mtupu. Waende nae Mwendazake, wakaendelee kulamba miguu yake mbele ya malaika aliodai kwenda kuwaongoza.Mbowe lipa kwanza mishahara, hata wewe ulikaa kimya huku ukijua Sabaya ana karakana ya kutesa watu.View attachment 1820749
Wew kuwa chizi mimi nifure, kuwa chizi ni maamuzo yako na wala sikupingiTumeshawazoea mkiambiwa ukweli mnafura kama hivi
Mwendazake alikuwa na Matatizo ya akili, badala ya kuwaondolea watu wake kero mbalimbali, yeye alikuwa bize na kuwaadhibu CHADEMAMagufuli aliwachalaza chadema akiwa hai na bado anawachalaza akiwa mfu!
Wote wawiliKa,wewe ulimuhusisha nani wakati unatoa hayo maoni kati ya shetani Mungu
Ahaaaaaaaaaaa! Kwa hiyo unaboresha kauli yao, ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Mwenda AheraNawaunga mkono maaskofu yule dikiteta asiitwe mwendazake Bali aitwe MWENDAKUZIMU.
Hivi mwendazake alifanywa nini na Chadema kiasi cha kuwa na ile Chuki ya Ibilisi dhidi ya Chama hiki, viongozi na wafuasi wake? Ila Chadema ni kama Mtakatifu fulani hivi, ukimuumiza unakufa mwenyeweMwendazake alikuwa na Matatizo ya akili, badala ya kuwaondolea watu wake kero mbalimbali, yeye alikuwa bize na kuwaadhibu CHADEMA
Bado marehemu ana kutesa sanaWew kuwa chizi mimi nifure, kuwa chizi ni maamuzo yako na wala sikupingi
Ukoo wako hawawezi kuwawatz wote!Mungu wangu amefanya kile Watanzania wengi wakiomba kuwa Magufuli hatufai afe, na akafa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya mapovu inaonesha anakutesa sana!Siyo kila anayekosoa ujinga na UFISADI wa Mwendazake ni CHADEMA au Bavicha. Hapo ndipo watu wenye akili ndogo mnapopotea.
Magufuli alikuwa binadamu wa kawaida, mwenye akili ya kawaida lakini akajifanya yeye ana akili nyingi na eti ana maono kuliko Watanzania wote. Bahati mbaya aliiishi kwa UWONGO ambao bado misukule yake inamuabudu
Sasa mimi, wew na mwendakuzimu nani anateseka kama siyo nyie wawiliBado marehemu ana kutesa sana
Mkuu, marehemu anakutesa sana wewe na wenzio yani bado anawachalaza mboko! Mkisikia tu jina lake mnaacha kila kitu kuja kushambulia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa mimi, wew na mwendakuzimu nani anateseka kama siyo nyie wawili