Mbowe: Kukosa pesa za MCC Inachafua jina la nchi ktk medani za kimataifa

Akome kumnanga our prezidentiiiiiiiiiiiii lol mbona ss hatukumshukia alipomwingiza lowassa baada ya kumtujana 4 a decade. Lol. Hao wazungu wametuchosha na misaada yao ya masharti. Mwishowe tutaambiwa tuoane wanawake kwa wanawake. Stupid wao
 
Mbowe anawatoa jasho magamba mwaka huu watotoa povu sana
 
Hata hivyo tumechoka na misaada yenye masharti wakae nao tu we can make on our own with 1.3 trillion Month. Kwa pamoja tukatae kushobokea weupe
Si kwmba tumechoka na misaada sema tumechoka kufikiri tunadhani kuonea watu ni ujanja. Kama ww si kilaza hebu niambie una faida gani ya kuishi hapa Tanzania kama huruhusiwi kutoa maoni yako na mawazo yako ambayo yapo kikatiba kisa tu kuna sheria ya mitandao. Acha ukilaza fungua akili ndugu.
 
Namjuwa Mh Mbowe tangu nikiwa kijana mdogo hasa ktk maswala na harakati ya za kisiasa. Ila kauli anazo ziongea kuhusu serikali nakuikosoa serikali eti kama mpinzani mim namshauri akae kimya. Nadhani wakati ule uliopita ndio alikuwa ananguvu yakufanya yote hayo, ila ktk serikali hii nisawa nakujifurahisha. Kitendo chakumpoke Lowasa toka ccm nakudharau maelekezo ya idara za serikali ni swala la Muda. Nina imani hakuna siri itafichwa na ndio maana watu kama Lipumba, Dk Silaha nk walijitoa wasinuke arufu mbaya. Mlichokifanya na mpaka sasa naimani ule msemo wa muosha huwoshwa unanukia ktk pua zenu. Bora kuwa kimya, bora kuwa bubu mzee wangu maana watu wanakuangalia tu, waone kama mbio za sakafuni zitaishia wapi. Mh Mbowe hili ni Taifa la Tanzania na mtu au chama hakiwezi kuitia vidole machoni nakuikosanisha serikal na watu wake eti kwa vile ni upinzani, a big no ufadhili wa ki trilion hauwezi kufanya taifa lisisonge mbele. Nguvu tunazo, uwezo tunao, akili tunazo na nia ya dhati tunayo. Hakuna kilicho haribika. Tutasonga mbele na utaona serikali yetu ikitekeleza ahadi zake pasipo hako kamchango kao. Tumechoka kuomba omba tunataka kujitegemea. Kama mlango mmoja umefungwa wakati tukitetea umoja wetu Mungu atafungua milango saba mara elfu. Huu sio upinzani ni ugaidi, kumuona kiongoz wa chama anafurahia nakuchochea chuki kat ya serikal na wananchi wake kwa tzs tril1 navipoint ni umasikini wakuwaza sisi wenyewe kama wa Tz. Umoja wetu kwanza misaada next. Bora ukae kimya nasema.
 

tunasaidiwa then tunaambiwa wanaume tuoane.piga vita misaada kwani tutakua lini.
 
Huwezi kutangaza mshindi kama kuna mgombea aliyevunja sheria ya uchaguzi na kujitangaza kuwa mshindi. Ni lazima uchaguzi urudiwe kwani umeharibika vibaya sana. Wamevunja sheria bado wanalaumu tu. Do the right thing at the right time. Go to polls.

Kwa tume ipi ?! Hii ya Jecha ???????????!!
 
Achatule Mchanga .ubabe wakijinga namajingambo ya ccm matunda yao ndiyo hayooooo
 

We tuliaa wewe huwez endesha nchi bila misaada,

Zanzibar wapewe nchi wna cuf, acha kutetea ujinga
 
Povu tupu point hakuna.Wewe unamnyazisha Mbowe kama nani,hata mtoto ana haki ya kutoa maoni yake bila bugdha.ulitaka aseme nini kuhusu Zanzibar?Eti Lipumba,kana kwamba misimamo ya Mbowe na Lipumba kuhusu Zanzibar na cybercrime ni tofauti
 
Umerudi kwa gear ya tamko la Mbowe Subirini dawa ya MCC iwaingie.
 
HATIMAYE TUKIO LINGINE LIMEFIKA LA WATU KUPATA ANGALAU AIRTIME, heko kamanda Mbowe kwa kudandia matukio.
acha majungu wewe ushakuwa mtu mzima
hiyo issue ni mtazamo wa kidunia kuwa tuna kasoro
zirekebishwe mambo yaendelee
..vitu vya kipuuzi kabisa kung'ang'ania madaraka zbr kama Nkurunzinza?
kubambiakia watu kesi na kuwanyima uhuru wa mawasiliano eti wanahesabu kura ili wizi ufanyike..what a shame...Magufuli is trying to help you ppl out of this shit but wengine bado wanamkaidi waziwazi,wamenyimwa kibali but yet wakasafiri...
safari bado ndefu na wajinga hamuishi
 
you are very right kiongozi! kwa kasi hii tunayoiona uwezekano wa kukusanya tril 3 kwa mwezi kutokana na kodi ni mkubwa,kwanini tupate headache ya msaada wa tril 1 kwa mwaka?!NI HERI KUBAKI MASIKINI HURU KULIKO KUWA TAJIRI MTUMWA.
 
kalale maona hizi ofa za ijumaa mbaya...meli ya wagiriki haizamiwi......
 
Mbowe atueleza amekwepa kodi ngapi kupitia mashirika yake, lile deni la NSSF mbona mpaka leo hajalipa na anajua ni pesa za wakereketwa. Yeye mwenyewe ana kashifa tele , ni fizuri akajisafisha kwanza.
 
Mcc kuligawa taifa? Mtasubiri sana. Hili ni taifa huru. Kama mtu anandoto kuigawa zanz na tanga mtasubiri sana. Tumetoka mbali hatutaki rud tulipotoka. Muungano na udumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…