Pre GE2025 Mbowe: Lissu alikuwa Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, na ndiye alitunga vifungu vya kuondoa ukomo wa uongozi kwa viongozi wakuu na wajumbe wa Kamati Kuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kila kitu kinautaratibu - yaani katiba inabadirishwa ghafla kisa Lissu kaamua kugombea??
 
Mwenyekiti Mbowe nae atatia aibu kwa hili la ukomo wa uongozi CDM, sbb hoja ya kufuta ukomo wa uongozi ililetwa na Mwenyekiti ndio ikafutwa, sasa aache kutaja hilo la ukomo sbb litamrudia
 
Tatizo ni Mbowe kuramba sukari.
Pesa za Abdul zimeyumbisha sana chama kuanzia chaguzi za mikoa na kanda.
 
Ccm wanasema wamejipanga huko, mwaka huu wa/mtaisoma.
Your browser is not able to display this video.
 
Mwenyekiti Mbowe nae atatia aibu kwa hili la ukomo wa uongozi CDM, sbb hoja ya kufuta ukomo wa uongozi ililetwa na Mwenyekiti ndio ikafutwa, sasa aache kutaja hilo la ukomo sbb litamrudia
Si kweli msipakazie kila jambo Mbowe. CDM waliondoa ukomo kwa sababu walizoziona za msingi kwa wakati huo na kwa kuwa waliona bado Mbowe anafaa.
 
Waliondoa ili wazitumie kuichanganya CCM,baadae waje na falsafa nyingine yenye kukifanya Chama cha Mapinduzi kujihoji juu ya form Moja ya Urais.
Si kweli msipakazie kila jambo Mbowe. CDM waliondoa ukomo kwa sababu walizoziona za msingi kwa wakati huo na kwa kuwa waliona bado Mbowe anaf
 
Waliondoa ili wazitumie kuichanganya CCM,baadae waje na falsafa nyingine yenye kukifanya Chama cha Mapinduzi kujihoji juu ya form Moja ya Urais.
Nafikiri sasa tubaki hapo kwenye CDM waliondoa ukomo wa madaraka na si Mbowe peke yake. Ikisemwa Mbowe ni Dikteta wanakosea kwa kuwa mazingira hayo waliyatengeneza wenyewe. Dokta Slaa miezi kadhaa iliyopita aliwahi taja sababu za kuondoa nashindwa kuweka link hapa ila iko YouTube.

Na haina afya kukurupuka katiba ibadirike karibu na uchaguzi.
 
Kwa hivyoo
 
Mbowe mwenyewe haoni vizuri...

...Ni Hayo Tu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…