Pre GE2025 Mbowe: Lissu alikuwa Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, na ndiye alitunga vifungu vya kuondoa ukomo wa uongozi kwa viongozi wakuu na wajumbe wa Kamati Kuu

Pre GE2025 Mbowe: Lissu alikuwa Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, na ndiye alitunga vifungu vya kuondoa ukomo wa uongozi kwa viongozi wakuu na wajumbe wa Kamati Kuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hili swala la kuondoa ukomo, wa uongozi, Lisu alilifafanua vzr tu, wakati chama bado kichanga! Chama hakina watu, wanajitokeza wachache, then unawapa kigezo cha ukomo, ilikuwa simple logic tu, sasa hv chama kimekuwa, ukomo lazima urudishwe, sasa Mbowe kujifanya hamnazo kwamba haelewi hiki kitu, ni utapeli, aacha spinning, kutaka kuwaaminisha watu kuwa Lisu hakutaka ukomo wa uongozi, kwa vile ni mrafi wa madaraka! So stupid
Kila kitu kinautaratibu - yaani katiba inabadirishwa ghafla kisa Lissu kaamua kugombea??
 
Mwenyekiti Mbowe nae atatia aibu kwa hili la ukomo wa uongozi CDM, sbb hoja ya kufuta ukomo wa uongozi ililetwa na Mwenyekiti ndio ikafutwa, sasa aache kutaja hilo la ukomo sbb litamrudia
 
Mwenyekiti ndiye hurekebisha katiba? Chama ni wanachama… kwanini Lissu hakuwahi peleka hiyo hoja ili iungwe mkono au laa?

Lissu ana agenda zake na muda ni hakimu wa yote tupo hapa siku moja tutasimuliana jinsi gani samia anamtumia Msigwa kuivuruga CHADEMA!
Tatizo ni Mbowe kuramba sukari.
Pesa za Abdul zimeyumbisha sana chama kuanzia chaguzi za mikoa na kanda.
 
Mwenyekiti ndiye hurekebisha katiba? Chama ni wanachama… kwanini Lissu hakuwahi peleka hiyo hoja ili iungwe mkono au laa?

Lissu ana agenda zake na muda ni hakimu wa yote tupo hapa siku moja tutasimuliana jinsi gani samia anamtumia Msigwa kuivuruga CHADEMA!
Ccm wanasema wamejipanga huko, mwaka huu wa/mtaisoma.
 
Mwenyekiti Mbowe nae atatia aibu kwa hili la ukomo wa uongozi CDM, sbb hoja ya kufuta ukomo wa uongozi ililetwa na Mwenyekiti ndio ikafutwa, sasa aache kutaja hilo la ukomo sbb litamrudia
Si kweli msipakazie kila jambo Mbowe. CDM waliondoa ukomo kwa sababu walizoziona za msingi kwa wakati huo na kwa kuwa waliona bado Mbowe anafaa.
 
Waliondoa ili wazitumie kuichanganya CCM,baadae waje na falsafa nyingine yenye kukifanya Chama cha Mapinduzi kujihoji juu ya form Moja ya Urais.
Si kweli msipakazie kila jambo Mbowe. CDM waliondoa ukomo kwa sababu walizoziona za msingi kwa wakati huo na kwa kuwa waliona bado Mbowe anaf
 
Waliondoa ili wazitumie kuichanganya CCM,baadae waje na falsafa nyingine yenye kukifanya Chama cha Mapinduzi kujihoji juu ya form Moja ya Urais.
Nafikiri sasa tubaki hapo kwenye CDM waliondoa ukomo wa madaraka na si Mbowe peke yake. Ikisemwa Mbowe ni Dikteta wanakosea kwa kuwa mazingira hayo waliyatengeneza wenyewe. Dokta Slaa miezi kadhaa iliyopita aliwahi taja sababu za kuondoa nashindwa kuweka link hapa ila iko YouTube.

Na haina afya kukurupuka katiba ibadirike karibu na uchaguzi.
 
Mbowe ameyasema hayo wakati akihojiwa na Salim Kikeke katika kipindi cha Kasri kinachorushwa na CrownFM

Mbowe amesema kwamba Lissu anashiriki vikao vyote vya chama lakini hajawahi kuwasilisha hoja katika vikao ya kuomba wajadili kuondoa ukomo wa uongozi
Kwa hivyoo
 
Mbowe mwenyewe haoni vizuri...

...Ni Hayo Tu!!!
 
Back
Top Bottom