Kila kitu kinautaratibu - yaani katiba inabadirishwa ghafla kisa Lissu kaamua kugombea??Hili swala la kuondoa ukomo, wa uongozi, Lisu alilifafanua vzr tu, wakati chama bado kichanga! Chama hakina watu, wanajitokeza wachache, then unawapa kigezo cha ukomo, ilikuwa simple logic tu, sasa hv chama kimekuwa, ukomo lazima urudishwe, sasa Mbowe kujifanya hamnazo kwamba haelewi hiki kitu, ni utapeli, aacha spinning, kutaka kuwaaminisha watu kuwa Lisu hakutaka ukomo wa uongozi, kwa vile ni mrafi wa madaraka! So stupid