Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Yes,Hapo kuna mamluki watatumwa makusudi na kufanya uhalifu ili ionekane makatazo ya kufanya maandamano yote hapo nyuma yalikuwa sahihi
Imekuuma sana kuona kibali kimetolewa. Meza vidonge ulale.Nyumbu hovyo kabisa, jumatano ni siku ya kazi. Ina maana wafanyakazi haya maandamano hayawahusu?
Haya maandamano CCM huwa wanayapaisha wenyewe.Kama maandamano yatafanyika bila kuzuiliwa nitampongeza sana mama.
Wasaidizi wake walishayakemea na kuyalaani. Unawezaje kuamini kuwa sponsor ana utu iwapo wasaidizi wake wanakata funua mbele yake na hajali?Hata hivyo maandamano hayo hayakuwa kwenda kwake bali ofisi za UN kumshtakia yeye na serikali yake kuwa hasikilizi wenye mamlaka ya nchi ambao ni wananchi.
Lakini naona sasa hivi hali ni tofauti, wakubwa wote wako kimya.Haya maandamano CCM huwa wanayapaisha wenyewe.
Hivi kwa mfano wapinzani wakitaka kufanya maandamano yao ya amani, na serikali ikasema itawapa askari wa kuwaongoza barabarani mwanzo mpaka mwisho, wapinzani wakafanya maandamano yao wakamaliza, kutatokea nini cha ajabu cha kuitishia CCM hivyo?
Kipi ambacho wapinzani watasema kwenye maandamano haya ambacho hawajasema au hawawezi kusema kwenye mitandao na mikutano yao?
Naona kama jitihada za kuyazuia ndiyo zinayapa press zaidi na kuyapaisha kiumuhimu haya maandamano.
Chalamila anazo hizi taarifa ?
Ameandika Mbowe katika ukurasa wake wa mtandao wa X;
"Team yetu ya Chama ikiongozwa na Naibu Katibu Mkuu, Bara Mhe Benson Kigaila imekuwa na kikao na Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum, Dar Es Salaam ACP Jumanne Muliro na timu yake kuhusiana na Maandamano ya Amani yanayopangwa na kuratibiwa na CHADEMA siku ya Jumatano, 24 Januari 2024.
"Makubaliano yamefikiwa kuwa maandamano yaendelee kama yalivyopangwa.
"Nalipongeza Jeshi la Polisi kwa busara hii. Karibuni Watanzania wote, tuandamane kwa Amani."
Umeshiba?Chochote cha kihalifu endapo kitajitokeza nashauri " Iwe ni mwisho wa maandamano, na katiba iende kuondolewa kifungu kinachoruhusu maandamano" just simply....!
Rais kusema anataka 4Rs halafu kuachia maandamano ya amani kuzimwa atakuwa ana ji contradict.Lakini naona sasa hivi hali ni tofauti, wakubwa wote wako kimya.
Ngoja tuone.
Akhsante sana kwa muongozo.Utatumia gari lako binafsi mkuu, pole sana
Jeiwii wameruhusu?
Acha waendelee kujifurahisha tu maana watanzania wanaojitambua vyema wameshawapuuza kabisa CHADEMA.Sijaona comment ya Lucas mwashambwa. Nimesikitika sana!
Halafu tusikie wale wafanya usafi wa Chalamila wakileta zao
Ameandika Mbowe katika ukurasa wake wa mtandao wa X;
"Team yetu ya Chama ikiongozwa na Naibu Katibu Mkuu, Bara Mhe Benson Kigaila imekuwa na kikao na Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum, Dar Es Salaam ACP Jumanne Muliro na timu yake kuhusiana na Maandamano ya Amani yanayopangwa na kuratibiwa na CHADEMA siku ya Jumatano, 24 Januari 2024.
"Makubaliano yamefikiwa kuwa maandamano yaendelee kama yalivyopangwa.
"Nalipongeza Jeshi la Polisi kwa busara hii. Karibuni Watanzania wote, tuandamane kwa Amani."
Kwa hili mama ame score mno katika nyanja za Demokrasia na zile 4R nimeonekana kilichobaki ni kuondoa miswada baada ya serikali kutathmni sauti ya watanzania kupitia maandamano hayo.Kama maandamano yatafanyika bila kuzuiliwa nitampongeza sana mama.
Kwa hili nawapongeza polisi sababu sioni tatizo watu wakiandamana
Ameandika Mbowe katika ukurasa wake wa mtandao wa X;
"Team yetu ya Chama ikiongozwa na Naibu Katibu Mkuu, Bara Mhe Benson Kigaila imekuwa na kikao na Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum, Dar Es Salaam ACP Jumanne Muliro na timu yake kuhusiana na Maandamano ya Amani yanayopangwa na kuratibiwa na CHADEMA siku ya Jumatano, 24 Januari 2024.
"Makubaliano yamefikiwa kuwa maandamano yaendelee kama yalivyopangwa.
"Nalipongeza Jeshi la Polisi kwa busara hii. Karibuni Watanzania wote, tuandamane kwa Amani."
Tutakukuta kule UNMimi nina tatizo la miguu, naweza kuandamana nikiwa kwenye gari langu/kiti mwendo ama lazima nitembee!!??
Asante sana kwa taarifa hii, tutashiriki kikamilifu.