Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio yeye.Samahani jamani naulizia kitu ambacho hakiendani na mada, hivi huyu Benson Kigaila si yule ambae mke wake ni miongoni mwa wale tunaowaita COVID 19!? Nijibuni then nitasema kitu kwa manufaa ya wengi.
Kwamba ni njama hii🤣 kama ina sound hivi maana chama cha majizi kinavotapa tapa kukubali mdahalo inatia wasiwasi kiasiHapo kuna mamluki watatumwa makusudi na kufanya uhalifu ili ionekane makatazo ya kufanya maandamano yote hapo nyuma yalikuwa sahihi
Endelea kuogesha watoto hapo kwa shemeji Tuwache Nzagamba barabarani.....Chochote cha kihalifu endapo kitajitokeza nashauri " Iwe ni mwisho wa maandamano, na katiba iende kuondolewa kifungu kinachoruhusu maandamano" just simply....!
Huko kwenye mikutano ya muhalifu Makonda ni weekend?Nyumbu hovyo kabisa, jumatano ni siku ya kazi. Ina maana wafanyakazi haya maandamano hayawahusu?
Hajasoma,usijipe umuhimu usiokuwa nao.Asante sana kwa taarifa hii, tutashiriki kikamilifu.
Natoa pongezi zangu za dhati kwa Rais Samia, baada ya kuusoma ushauri huu Maandamano ni Haki ya Vyama vya Siasa, Serikali itoe kila ushirikiano kwa CHADEMA hata kama uelekeo ni Ikulu
Atakuwa amekubaliana na ushauri huu. Hivyo sasa wito wangu huu Kufuatia Umuhimu wa Maandamano ya UKUTA: Nimehamasika, Nitashiriki, Tujitokeze kwa Wingi! Ila...!
Uendelee,
Haya shime, tujitokeze kwa wingi kushiriki maandamano muhimu sana haya.
P
UVCCM wamenuna, sasa wanaanza kuchawia mvua iharibu.
Ameandika Mbowe katika ukurasa wake wa mtandao wa X;
"Team yetu ya Chama ikiongozwa na Naibu Katibu Mkuu, Bara Mhe Benson Kigaila imekuwa na kikao na Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum, Dar Es Salaam ACP Jumanne Muliro na timu yake kuhusiana na Maandamano ya Amani yanayopangwa na kuratibiwa na CHADEMA siku ya Jumatano, 24 Januari 2024.
"Makubaliano yamefikiwa kuwa maandamano yaendelee kama yalivyopangwa.
"Nalipongeza Jeshi la Polisi kwa busara hii. Karibuni Watanzania wote, tuandamane kwa Amani."
Ni wapi uliwahi kuona mandamano yakaisha tu bila kuleta hasara japo kidogo! Unaishi sayari gani wewe!Chochote cha kihalifu endapo kitajitokeza nashauri " Iwe ni mwisho wa maandamano, na katiba iende kuondolewa kifungu kinachoruhusu maandamano" just simply....!
Acha roho mbayaChochote cha kihalifu endapo kitajitokeza nashauri " Iwe ni mwisho wa maandamano, na katiba iende kuondolewa kifungu kinachoruhusu maandamano" just simply....!
usichelewe sasa ili uanze kufurahishwa mapema zaid 😀Hili ni jema sana,Maamuzi mazuri ya Amiri Jeshi Mkuu, Jeshi la Polisi na viongozi wa CDM. Kazi Iendelee.
Mmhh una imani kuwa jeshi la police linaweza kuruhusu maandamano ya cdm?Pamoja na kutaka kulitumia jeshi letu la wananchi JWTZ kuzuia maandamano yanayoandaliwa na Chadema tarehe 24/01/2024, muafaka umefikiwa baina ya Polisi na Chadema na kwamba maandamano yapo pale pale kama yalivyopangwa.
Makubaliano yamefikiwa kuwa maandamano yaendelee kama yalivyopangwa. Nalipongeza Jeshi la Polisi kwa busara hii. Karibuni Watanzania wote, tuandamane kwa amani" Freeman Mbowe