Pre GE2025 Mbowe: Makubaliano na Jeshi la Polisi yamefikiwa kuwa maandamano yataendelea kama yalivyopangwa

Pre GE2025 Mbowe: Makubaliano na Jeshi la Polisi yamefikiwa kuwa maandamano yataendelea kama yalivyopangwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Asante sana kwa taarifa hii, tutashiriki kikamilifu.
Natoa pongezi zangu za dhati kwa Rais Samia, baada ya kuusoma ushauri huu Maandamano ni Haki ya Vyama vya Siasa, Serikali itoe kila ushirikiano kwa CHADEMA hata kama uelekeo ni Ikulu
Atakuwa amekubaliana na ushauri huu. Hivyo sasa wito wangu huu Kufuatia Umuhimu wa Maandamano ya UKUTA: Nimehamasika, Nitashiriki, Tujitokeze kwa Wingi! Ila...!
Uendelee,

Haya shime, tujitokeze kwa wingi kushiriki maandamano muhimu sana haya.

P
Jeshi hilihili la police liruhusu maandamano ya cdm? Mbona itakuwa maajabu ya Dunia?
 
Chochote cha kihalifu endapo kitajitokeza nashauri " Iwe ni mwisho wa maandamano, na katiba iende kuondolewa kifungu kinachoruhusu maandamano" just simply....!
Uhalifu unao u- speculate utafanywa na uvccm au policcm walioandaliwa kwa jukumu Hilo ili baadae ionekane mtabiri mashuhuri kuliko marehemu sheikh Yahaya! Nyoosha tu maelezo utaeleweka usiogope!
 
Maskini vile vyama kumi na tatu sijui vitaficha wapi nyuso zao....

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema kuwa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limeruhusu maandamano yaliyopangwa kufanyika Januari 24 mwaka huu yafanyike.

Amesema chama hicho leo kimefanya kikao na Kamanda Jumanne Muliro na amelipongeza Jeshi la Polisi kwa busara hiyo.
 
hakuna kitu kama icho acha kupotosha jamii 😎

hakuna nyumbu wala panyarodi ataruhusiwa kuleta fujo wala uharibifu Dar es salaam january 24,
labda sio J4 Muliro wa Tanzania alieruhusu hiyo ujambazi
 
Huwa hawaombi vibali bali wanalitaarifu jeshi la Polisi. Kisha hujadiliana na jeshi la polisi namna gani maandamano yafanyike katika kuhakikisha kunakuwa na usalama.
Ndiyo kuomba kibali kwenyewe huko!
 
Ulikwishajiuliza punguani mpo wangapi? Isije ikawa umebakia pekee yako halafu unaamini bado mpo wengi.
I can confirm to you without fear of contradictions hakuana maafikiano yeyote,
na hakuna nyumbu wala panyarodi atakae sogeza pua yake roadini january 24 na asinyumbuliwe vizuri ili akawaonyeshe home kwao jinsi virungu visivyo na macho 😀
 
Mbowe anatudanganya au muriro ndio anatudanganya?, Kama mbowe anatudanganya wanachadema ni wazi amepoteza mwelekeo na hafai.
 
Back
Top Bottom