Pre GE2025 Mbowe: Makubaliano na Jeshi la Polisi yamefikiwa kuwa maandamano yataendelea kama yalivyopangwa

Pre GE2025 Mbowe: Makubaliano na Jeshi la Polisi yamefikiwa kuwa maandamano yataendelea kama yalivyopangwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Unakula kiapo cha kuifuata na kuilinda katiba lakini unawazuia wananchi kutumia haki yao ya kikatiba.....sasa unakuwa umeapa kuilinda katiba ipi.....au kuna katiba mbili ya watawala na ya watawaliwa..
.??
 
Hiyo sentence ya mwanzo haikuwa na mantiki. Au ndio siasa zenu hizi?
 
Fujo unazileta wewe
nakusihi mapema sana,
kipigo cha waandamanaji haramu january 24 ni jirani sana kushabihiana na cha panya rodi,
jiahadhari familia isihadhirike 😎
 
Mbowe anatudanganya au muriro ndio anatudanganya?, Kama mbowe anatudanganya wanachadema ni wazi amepoteza mwelekeo na hafai.
we hesabu tu hakuna andamano lolote january 24
 
Mwenyekiti yupo kazini kwa kutufanya mazuzu watanzania.

Hili la mandamano lipo organised na chama tawala hata zile harakati za kwenda ubalozi mbali mbali ni kiini macho na hili la MULIRO ni kiini macho, lengo kumpaisha KIZIMKAZI kama ameruhusu kuandamana.

Kuna sehemu yoyote Tundu kaunga mkono?

Na kwanini waamue kuruhusu wakati CHALAMILA aligoma mwanzoni?

Lini na wapi chama tawala ili ruhusu mandamano kirahisi hivi?

Mwenyekiti bado yupo kwenye payroll
 
Mwenyekiti yupo kazini kwa kutufanya mazuzu watanzania.

Hili la mandamano lipo organised na chama tawala hata zile harakati za kwenda ubalozi mbali mbali ni kiini macho na hili la MULIRO ni kiini macho, lengo kumpaisha KIZIMKAZI kama ameruhusu kuandamana.

Mwenyekiti bado yupo kwenye payroll
Mmmmmgh
 
Ameandika Mbowe katika ukurasa wake wa mtandao wa X;

"Team yetu ya Chama ikiongozwa na Naibu Katibu Mkuu, Bara Mhe Benson Kigaila imekuwa na kikao na Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum, Dar Es Salaam ACP Jumanne Muliro na timu yake kuhusiana na Maandamano ya Amani yanayopangwa na kuratibiwa na CHADEMA siku ya Jumatano, 24 Januari 2024.

"Makubaliano yamefikiwa kuwa maandamano yaendelee kama yalivyopangwa.

"Nalipongeza Jeshi la Polisi kwa busara hii. Karibuni Watanzania wote, tuandamane kwa Amani."

Pia Soma; Jeshi la Polisi: Hatujakubali au kukataa maandamano, tutawapa majibu tarehe 23
Hongera jeshi la polisi
 
Back
Top Bottom